Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rwanda yasitisha mashtaka dhidi ya raia 17 wa Uganda

Wizara ya Mambo ya Nje ya Rwanda imetangaza kuwa, nchi hiyo imesitisha mashtaka dhidi ya raia 17 wa Uganda waliokamatwa nchini humo.

Hatua hiyo inakuja siku moja baada ya kuachiliwa huru raia 13 wa Rwanda waliokuwa wanashikiliwa nchini Uganda.

Taarifa hiyo imesema kupitia ubalozi wake mjini Kampala, serikali ya Rwanda imekaribisha kuachiwa huru kwa raia wake 13 na kurejeshwa Rwanda watuhumiwa wawili wa ugaidi waliohusika na shambulizi la Kinigi lililotokea Oktoba mwaka 2019.

Mapema mwezi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Makubaliano kati ya Kagame na Museveni: Serikali ya Uganda yawaachilia raia 13 wa Rwanda

Serikali ya Uganda imewaachia huru raia wengine 13 wa Rwanda waliokuwa wamezuiliwa katika mahabusu zake wakituhumiwa kwa makosa mbalimbali.

 

10 years ago

Vijimambo

MASHTAKA 7 DHIDI YA LOWASSA


Na. M. M. MwanakijijiWapo Watanzania ambao wanaamini na wanamtaka Mbunge wa Monduli na Waziri Mkuu wa zamani Edward Lowassa awe rais wa awamu ya tano. Wana sababu zao za kufanya hivyo na wana haki zote za kumfanyia kampeni, kumuunga mkono, kumchangia na hata kujitolea kumsaidia apite kwenye mchakato ndani ya CCM na hata kwenye Uchaguzi Mkuu baadaye mwaka huu. Haki hii ya kumchagua kiongozi unayemtaka ni haki ya msingi ya Kikatiba.Wapo pia Watanzania ambao hawaamini na hawamtaki Lowassa kuwa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mashtaka dhidi ya Assange yaondolewa

Kiongozi wa mashtaka wa Sweden amemuondolea mashtaka mmiliki wa mtandao wa Wikileaks, Julian Assange

 

9 years ago

Habarileo

Masha adai mashtaka dhidi yake ni batili

ALIYEWAHI kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Lawrence Masha (45) amewasilisha mahakamani pingamizi juu ya kesi inayomkabili ya kutumia lugha ya matusi kwa maofisa wa Jeshi la Polisi, akisema mashitaka aliyofunguliwa ni batili.

 

5 years ago

Michuzi

ZITTO KABWE AHUKUMIWA LEO DHIDI YA MASHTAKA MATATU

Na Karama Kenyunko Michuzi TV MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuhukumu Mbunge wa jimbo la Kigoma Mjini kwa tiketi ya ACT Wazalendo Ztitto Kabwe, kutotoa na kutoandika maneno ya uchochezi kwa muda wa mwaka mmoja.
Zitto amehukumiwa leo mahakamani hapo baada ya kutiwa hatiani katika mashitaka matatu yaliyokuwa yanamkabili.
Hukumu hiyo imesomwa leo Mei 29, 2020 na Hakimu Mkazi Mkuu Huruma Shaidi baada ya kuridhika na ushahidi wa mashahidi 15 wa upande wa mashtaka na kuzingatia utetezi wa Zitto...

 

10 years ago

BBCSwahili

Raia wa Rwanda na Kenya huru kuingia UG

Uganda imeondoa ada ya kibali cha kufanyia kazi nchini humo pamoja na mahitaji ya viza miongoni mwa raia wa Kenya na Rwanda

 

9 years ago

BBCSwahili

Kagame: Raia wa Rwanda walitaka wenyewe

Rais wa Rwanda Paul Kagame ametetea uamuzi wa taifa hilo kuandaa kura ya maoni kuhusu muhula wa rais akisema lilikuwa wazo la Wanyarwanda.

 

9 years ago

BBCSwahili

Raia wa Rwanda walio ng’ambo wapiga kura

Raia wa Rwanda wanaoishi nje ya nchi wanapiga kura ya maoni ya marekebisho ya katiba, ambayo yakiidhinishwa yatamruhusu Rais Paul Kagame kuwania urais kwa muhula wa tatu.

 

10 years ago

BBCSwahili

Raia wa Uganda kupewa mafunzo ya kijeshi

Museveni ameviagiza vikosi vya usalama kutoa mafunzo ya kijeshi kwa raia kwa lengo lakupigana vita dhidi ya kundi la kigaidi la Al Shabaab.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani