Msofe adai mkutano TBF ni batili
>Katibu Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Kikapu nchini (TBF), Alexandar Msofe amedai kuwa mkutano wa bodi unaoanza leo mkoani Dodoma ni batili.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo08 Sep
Masha adai mashtaka dhidi yake ni batili
ALIYEWAHI kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Lawrence Masha (45) amewasilisha mahakamani pingamizi juu ya kesi inayomkabili ya kutumia lugha ya matusi kwa maofisa wa Jeshi la Polisi, akisema mashitaka aliyofunguliwa ni batili.
11 years ago
Mwananchi30 Jan
Uongozi wa sasa BFT batili
10 years ago
Mwananchi29 Sep
Sumatra: Mikataba ya madereva batili
9 years ago
Habarileo05 Nov
Wahojiwa kwa kuhamasisha maandamano batili
JESHI la Polisi mkoani Rukwa limewashikilia kwa mahojiano Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mkoani humo, Zeno Nkoswe, viongozi wengine wawili wa chama hicho, pamoja na wanachama watano kwa kuhamasisha maandamano yaliyokatazwa.
10 years ago
Tanzania Daima13 Nov
Dosari gani hiufanya ndoa kuwa batili?
DUNIANI kote ndoa ni taasisi ya muhimu katika maisha ya kila mwanadamu, ni kitu ambacho hakikwepeki katika hatua ya maisha ya binadamu hasa aliye kamilifu. Kutokana na umuhimu wake huo,...
9 years ago
Mwananchi11 Sep
Papa Francis: Ndoa batili, inawezekana, ila…
11 years ago
TheCitizen28 Apr
Let’s help TBF make EA tourney a success
11 years ago
TheCitizen30 Jan
NBL to tip off in April, TBF says
11 years ago
Tanzania Daima18 Dec
Uchaguzi TBF waingia dosari
WAKATI Shirikisho la Mpira wa Kikapu Tanzania (TBF), likitangaza kufanyika kwa uchaguzi wake mkuu Desemba 28 mwaka huu mjini Dodoma, makocha wa mchezo huo wameibuka na kuliomba Baraza la Michezo...