Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Masheha watabadilika lini?

DUNIA hii ina viumbe vya kila aina na hutofautiana kwa kila namna kuanzia kimwili, kiakili, kitabia, mwendo na hata vyakula. Leo nataka nijikite zaidi katika tofauti ya kitabia baina ya...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

WAKALA WA CHAKULA DAWA NA VIPODOZI WATOA ELIMU KWA MASHEHA WA WILAYA YA MJINI

Na Khadija Khamis
Mkurugenzi wa Wakala wa Chakula Dawa na Vipodozi  Zanzibar  Dkt. Khamis Ali Omar amewataka wananchi kujitahadhari na matumizi ya chakula na dawa  ambazo zimemaliza muda na vipodozi ambavyo havijathibitishwa  ili kuepuka maradhi yatokanayo na sumu .

Hayo aliyasema huko katika Ofisi ya Mkuu wa  Wilaya ya Mjini,  Sebleni wakati akitoa Mafunzo ya usalama wa chakula dawa na vipodozi  kwa Masheha wa Wilaya hiyo  na kuwataka ushirikiano wa pamoja ili kuhakikisha wanathibitisha ...

 

11 years ago

GPL

SINEMA ZA KIBONGO LINI ZITABADILIKA?

Baadhi ya wasanii wa Bongo Muvi. KWENU,
Watayarishaji wa sinema za Kibongo. Hongereni sana na kazi. Mimi nipo sawa na mishe zangu zinaendelea vyema kabisa. Leo nimewakumbuka kwa barua kwa lengo la kuwekana sawa kidogo.
Ni kweli kuna tofauti kubwa sana katika sinema zetu za sasa na zile za miaka mitano iliyopita lakini kiukweli bado kuna changamoto nyingi.  Kuna makosa mengi madogomadogo ambayo yanaachwa na yanaweza...

 

11 years ago

GPL

LINI BANZA STONE UTATUHURUMIA?

Mwanamuziki Ramadhani Masanja ‘Banza Stone’. RAMADHANI Masanja ‘Banza Stone’ ni mwanamuziki mkubwa wa muziki wa dansi la kileo. Dansi la kileo ninamaanisha hili linalopigwa na bendi zinazochombeza na sebene za Kikongo. Sina uhakika sana, lakini sidhani kama itakuwa sahihi kwa shabiki wa muziki huu, kumuondoa Le General katika Tatu Bora, kama ataamua kuwapanga mastaa wake kwa namba, kutokana na uwezo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mizaha hii ya JK hadi lini?

MTU yeyote aliyezoea mizaha (maneno au vitendo vya kumfanyia mtu masihara; goya, utani, dhihaka) hawawezi kuhangaika kumtafakari sana Rais wetu Jakaya Kikwete. Kwa mtu wa aina hiyo kila atakachokisema au...

 

11 years ago

GPL

AJALI HIZI ZITAISHA LINI?

Gari aina ya Toyota Hilux limetumbukia kwenye mtaro uliopo Sinza-Makaburini jijini Dar es Salaam baada ya dereva aliyekuwa akiliendesha gari hiyo kushindwa kulimudu. Pichani wasamaria wema wakishirikiana kulinasua gari hilo. (PICHA : RICHARD BUKOS / GPL)

 

11 years ago

Tanzania Daima

Lini mtaamua kuwa siriazi?

NAAPA muda mwingi mnautumia kwenye utani kuliko kuwa siriazi watu wangu. Mnabisha hata kwenye hili? Watu wako kwenye mambo mazito ninyi mnaleta utani? Naapa nimechoka kusikia vituko vya walimwengu.  Hivi...

 

11 years ago

Mwananchi

Wahoji umeme utakuja lini

Wakazi wa Vijiji vya Nanyamba na Mpapura Wilaya ya Mtwara mkoani hapa, wamelitaka Shirika la Ugavi wa Umeme (Tanesco) kuharakisha mpango wa usambazaji umeme ili kuongeza kasi ya maendeleo ya kiuchumi na kuboresha huduma za kijamii vijijini humo.

 

9 years ago

Raia Tanzania

Aibu hii Dar mpaka lini?

TAKRIBAN watu watano wameripotiwa kufa kwa ugonjwa wa kipindupindu wilayani Kinondoni, Dar es Salaam, huku wengine 34 wakiugua ugonjwa huo.

Kwa mujibu wa taarifa, wagonjwa hao wanatoka maeneo ya Kijitonyama, Kimara, Manzese, Tandale, Saranga, Makumbusho, Kimara na Mwananyamala.

Imezoeleka ugonjwa huu kuibuka wakati wa msimu wa mvua kutokana na mazingira kwa kipindi hicho kuwa machafu kwa sababu ya majitaka yanayozagaa ovyo mitaani.

Hata hivyo, kipindupindu ni ugonjwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani