Mashine ya kuvunia nafaka tofauti (COMBINE HARVESTER) inauzwa
![](http://1.bp.blogspot.com/-mpxLkyLJ97I/Vn-ISwPS_XI/AAAAAAAIO04/f6emPYlXFRk/s72-c/7f6c2b42-646b-4ae2-a207-636b0299597b.jpg)
Mashine hiinIpo imara sana na inafaa sana kwa mazingira ya hapa kwetu Tanzania na inaweza kuishi muda mrefu na ni rahisi sana kuifanyia matengenezo pindi inapo haribika... Tumeileta kutoka Denmark na haijatumika hapa Tanzania bei ni rahisi na ya faida kwani ukivuna msimu moja tu kwa kiasi cha ekari 350 utakua umerejesha hiyo hela,,. Kama ni mkulima ikikupita hii utakuja kuikumbuka kwani ni moja ya zana chache hapa nyumbani.. Mashine hii ipo MBWENI DaresalaamBEI NI MIL..34...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-sOPqgIkEWeI/VFk0AcvCUwI/AAAAAAAGvgs/x3QFSMKxi88/s72-c/unnamed%2B(11).jpg)
Mashine ya kuprint picha inauzwa
![](http://4.bp.blogspot.com/-sOPqgIkEWeI/VFk0AcvCUwI/AAAAAAAGvgs/x3QFSMKxi88/s1600/unnamed%2B(11).jpg)
Ni Used Noritsu 3501. Ina uwezo wa kuprint size zifuatazo:
4×6,5×7, 6×8, 8×10 and 8×12
Kwa mawasiliano piga no 0684472115
10 years ago
Mwananchi28 Jan
Wakulima watakiwa kutumia zana za kuvunia
10 years ago
Dewji Blog11 Mar
AUDIO: Jaji Lubuva akanusha vikali taarifa ya gazeti ‘Mkandarasi wa mashine za BVR amegoma kuleta mashine nchini’
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Mstaafu Damiani Lubuva akitoa kanusho kuhusiana na Mkandarasi wa BVR kugoma kuleta vifaa, achachamaa kutokana na habari iliyoandikwa na gazeti la Tanzania Daima.
5 years ago
StarTV19 Feb
Bei ya nafaka yapanda Mbeya.
11 years ago
Habarileo22 Jun
'Tanzania ina nafaka za kutosha'
TANZANIA ina hifadhi ya kutosha ya chakula cha mazao ya nafaka, kinachofikia tani 244,830. Chakula hicho kilichohifadhiwa katika Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula nchini (NFRA).
5 years ago
SB Nation29 Feb
Tristan Wirfs, Mekhi Becton broke offensive lineman NFL Combine records
11 years ago
Habarileo29 Apr
NFRA yaongeza uwezo wa kuhifadhi nafaka
WAKALA wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) wameongeza uwezo wa kuhifadhi nafaka kutoka tani 241,000 za sasa hadi tani 400,000 mwaka 2016.
10 years ago
Habarileo04 Dec
Mradi kuhifadhi nafaka kisasa wazinduliwa
MRADI wa Sh milioni 900 utakaowezesha wakulima wadogo wa Nyanda za Juu Kusini na Kaskazini wa kuhifadhi nafaka kwa kutumia teknolojia bunifu ulizinduliwa katika kijiji Cha Ibumula wilayani Wanging’ombe mkoani Njombe, juzi.
10 years ago
Habarileo25 Apr
Wafurahishwa na matokeo ya majaribio ya kuhifadhi nafaka
MAJARIBIO ya kuhifadhi nafaka kwa teknolojia isiyotumia kemikali iliyofanywa na Wakala wa Taifa wa hifadhi ya chakula (NFRA) mjini Dodoma yameonesha mafanikio makubwa na kutoa mwanya wa kuendelezwa kwa matumizi ya teknolojia hiyo.