Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MASHUJAA BAND KUZUNGUKA NCHI NZIMA

Bendi ya Mashujaa inatarajia kuzunguka nchi nzima ikitoa burudani ya kutosha kwa mashabiki wake kuanzia Sikukuu ya Idd Mosi. Ziara hiyo ni zawadi kwa mashabiki wa bendi hiyo nchini Tanzania.

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Mbunge aapa kuzunguka nchi nzima

Mbunge wa Rombo (Chadema), Joseph Selasini ameapa kuzunguka nchi nzima kuwahamasisha Watanzania kudai kufufuliwa kwa Taifa la Tanganyika na kuipigia kura ya hapana Katiba Inayopendekezwa.

 

9 years ago

Mwananchi

Lowassa kuzunguka nchi nzima kuanzia kesho

Aliyekuwa mgombea urais wa Chadema akiungwa mkono na vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Edward Lowassa ataanza ziara ya kuzunguka nchi nzima kuwashukuru Watanzania kwa kumpigia kura katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25 na kesho atakuwa Tanga.

 

5 years ago

Michuzi

TLP WAJIPANGA KUZUNGUKA NCHI NZIMA, KUHAMASISHA KUJENGA CHAMA

Katibu Itikadi na Uenezi wa TLP Geofrey Stephen akizungumza na vyombo vya habari mkoani hapa akielezea mikakati ya chama hicho kuelekea uchaguzi mkuu wa Rais Wabunge na madiwani mwezi wa Oktoba picha zote na Ahmed Mahmoud Arusha. Waandishi wa habari wakifuatilia wakati Karibu wa Itikadi na Uenezi TLP taifa akiongea nao leo jijini Arusha. Katibu wa TLP mkoa wa Arusha Kinanzaro Mwanga akiwa na Katibu wa Itikadi na Uenezi taifa wa TLP Geofrey Stephen wakiongea na vyombo vya habari kuelezea...

 

11 years ago

Mwananchi

Chadema kutikisa nchi; Helikopta tatu kurushwa nchi nzima

>Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kuanzia leo, kinarusha helkopta tatu kwa siku 14 mfululizo, katika  kutekeleza kampeni iliyopewa jina la Operesheni Pamoja Daima (ODB) itakayoendeshwa katika mikoa yote nchini.

 

10 years ago

Michuzi

Rogert Hegga 'Katapila' ajiunga na Mashujaa Band 'Wana Kibega'

BENDI ya muziki wa dansi hapa nchini,Mashujaa Band 'Wana Kibega' leo imemtangaza Aliyekuwa mwanamuziki na mtunzi wa bendi ya Ruvu Stars, Rogert Hegga 'Katapila' kujiunga rasmi katika bendi hiyo.
Mkurugenzi wa bendi ya Mashujaa, Maximilian Luhanga, alisema kuwa Hegga amejiunga rasmi na bendi hiyo na watamtambulisha katika onyesho maalumu litakalofanyika Aprili 5.
Luhanga alisema kwamba kujiunga kwa msanii huyo ni moja ya mikakati ya kuiimarisha Mashujaa ili iweze kuwa bendi bora hapa...

 

10 years ago

Vijimambo

BILEKU MPASI KUTOKA CONGO (DRC) NA MASHUJAA BAND KUFANYA ONESHO LA PAMOJA DISEMBA 12

Rais wa Band ya Mashujaa, Chalz Baba (kushoto), akitoa burudani mbele ya wanahabari Dar es Salaam leo, kuhusu onesho hilo litakalofanyika katika ukumbi huo.. Kutoka kulia ni Meneja Mauzo wa Kampuni ya Bia ya Mabibo, Joseph Emanuel na Ofisa Uhusiano wa Band ya Mashujaa, King Dodo la Buche. Ofisa Uhusiano wa Band ya Mashujaa, King Dodo la Buche (katikati) akizungumza na waandishi wa habari kuhusu onesho hilo. Kulia ni Meneja Mauzo wa Kampuni ya Bia ya Mabibo, Joseph Emanuel na Rais wa Band ya...

 

10 years ago

GPL

MWANAMUZIKI BILEKU, MASHUJAA BAND KUFANYA ONESHO LA PAMOJA DISEMBA 12-2014 UKUMBI WA ASCAPE 1 MIKOCHENI JIJINI DAR

Rais wa Band ya Mashujaa, Chalz  Baba. 
 Rais wa Band ya Mashujaa, Chalz  Baba (kushoto), akitoa burudani mbele ya wanahabari Dar es Salaam leo, kuhusu onesho hilo litakalofanyika katika ukumbi huo.. Kutoka kulia ni Meneja Mauzo wa Kampuni ya Bia ya Mabibo, Joseph Emanuel na…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani