Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mastaa Nigeria wampongeza rais mpya

RaisBADI MCHOMOLO NA MTANDAO
NYOTA mbalimbali wa filamu na muziki nchini Nigeria, wamempongeza Rais mteule wa Nigeria, Jenerali Muhammad Buhari.
Licha ya kupongeza huko, mastaa hao kwa nyakati tofauti waliandika katika kurasa za mitandao yao wakimpongeza Rais aliyemaliza muda wake, Good luck Jonathan kwa kukubali kuachia nafasi hiyo kwa amani.
Wasanii waliopongeza hilo kupitia mitandanoni ni pamoja na Peter na Paul ndugu wanaounda kundi la P Square, Davido pamoja na wasanii wengine wengi wa filamu.

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Historia fupi ya rais mpya wa Nigeria

Je unamjua kiongozi mpya wa Nigeria jenerali Muhammadu Buhari wa chama cha upinzani cha APC aliyemshinda Goodluck Jonathan katika uchaguzi uliopita ?

 

10 years ago

BBCSwahili

Raia wa Nigeria kuchagua rais mpya

Mamilioni ya wapiga kura hii leo wanapiga kura nchini Nigeria kwenye uchaguzi wa urais wa kinyang'anyiro kikali

 

10 years ago

BBCSwahili

Muhammad Buhari ndiye rais mpya wa Nigeria

Goodluck amekiri kushindwa katika uchaguzi huo ulioshuhudia ushindani mkali

 

10 years ago

BBCSwahili

Jenerali Buhari ndiye rais mpya wa Nigeria

Mgombea wa Upinzani nchini Nigeria, Muhammadu Buhari wa chama cha upinzani cha APC amemshinda Goodluck Jonathan katika uchaguzi uliokuwa na ushindani mkubwa

 

10 years ago

BBCSwahili

FIFA yamuunga rais mpya wa soka Nigeria

Rais wa FIFA Sepp Blatter amemuunga mkono Amaju Pinnick kama rais mpya wa shirikisho la soka nchini Nigeria NFF.

 

10 years ago

GPL

JENERALI MUHAMMAD BUHARI: RAIS MPYA NIGERIA

Rais mteule wa Nigeria Jenerali Muhammadu Buhari. Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi nchini Nigeria, INEC, Attahiru Jega amemtangaza rasmi Kiongozi wa wa chama cha upinzani cha Nigeria Jenerali Muhammadu Buhari kuwa rais wa taifa hilo kubwa barani Afrika baada ya kumbwaga rais wa zamani Goodluck Jonathan. Wafuasi wa Jenerali Buhari wakishangilia… ...

 

10 years ago

Dewji Blog

HABARI ZILIZOTUFIKIA HIVI PUNDE: Muhammad Buhari ndiye rais mpya wa Nigeria

Buhari

Pichani ni Jenerali Muhammadu Buhari akiwa katika wakati wa kampeni muda mfupi kabla ya kupiga kura.

Kiongozi wa wa chama cha upinzani cha Nigeria jenerali Muhammadu Buhari ameshinda kura za urais na kumuondoa rais aliyeko Goodluck Jonathan mamlakani.

Tayari rais anayeondoka madarakani Goodluck Jonathan amekwisha mpigia simu mpinzani wake Jenerali Buhari na kumpongeza kwa ushindi huo wa kihistoria.

Hii ndiyo mara kwanza katika historia ya taifa hilo kwa rais wa nchi hiyo kung’olewa...

 

11 years ago

Michuzi

WALIOSOMA USSR WAMPONGEZA BALOZI MPYA WA MALAYSIA DKT. AZIZI MRIMA

WATAALAMU MBALIMBALI NCHINI WALIOSOMA USSR WALIFANYA SHEREHE KUBWA SIKU YA JUMAMOSI TAREHE 08.08.2014 KWENYE HOTEL YA ANGITTHI ILIYOPO KWENYE BARABARA YA ALLY HASSAN MWINYI MAENEO YA VICTORIA JIJINI DAR-ES-SALAAM.
KATIKA SHEREHE HIYO ILIYOANZA SAA 12.30 JIONI HADI SAA 5.45 USIKU, WASOMI HAO WAKIONESHA IMANI KUBWA KWA DTR. AZIZI MRIMA KWA KUMPONGEZA NA KUMPA ZAWADI KWA KUTEULIWA KWAKE KUWA BALOZI WA TANZANIA NNCHINI MALAYSIA NA KUAHIDI KUMPA USHIRIKIANO WA KARIBU KATIKA KAZI ZAKE ZA...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani