Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MASTAA WAMCHANA DIAMOND

STORI: Mwandishi Wetu/Amani IMEKULA kwake! Wasanii wa sinema na Bongo Fleva wamemchana vibaya staa wa muziki wa kizazi kipya, Nasibu Abdul ‘Diamond’ kwamba si mtokaji kwenye misiba ya wenzake. Staa wa muziki wa kizazi kipya, Nasibu Abdul ‘Diamond’. Wakizungumza na Amani kwenye maziko ya baba mzazi wa Mbongo Fleva, Abdul Sykes ‘Dully Sykes’, Ebby Sykes, Jumatatu iliyopita, wasanii hao...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MASTAA WAMPIGIA SALUTI DIAMOND

Na Gladness Mallya
BAADA ya Jumamosi iliyopita msanii wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kunyakua tuzo tatu kwenye tuzo za Channel O zijulikanazo kama Channel O Africa Music Video Awards 2014 (CHOAMVA), zilizofanyika Afrika Kusini mwishoni mwa wiki iliyopita, mastaa mbalimbali nje na ndani ya nchi wamempigia saluti. Msanii wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akipozi . Diamond...

 

11 years ago

GPL

MASTAA WAJITONGOZESHA KWA DIAMOND

Stori: Chande Abdallah na Gladness Mallya KUMBE! Aliyejipachika kuwa dada wa hiyari wa Mbongo-Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ ambaye ni zao la Shindano la Kimwana Manywele, Halima Haruna ‘Kimwana’ amefungukia ishu ya mastaa kibao kujitongozesha wenyewe kwa jamaa huyo. Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akiwa na dada yake wa hiyari, Halima Kimwana. Halima Kimwana alielezea...

 

9 years ago

Mwananchi

Scholes, Ferdinand wamchana van Gaal, ajitetea

Manchester United imetolewa kwenye mashindano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya kipigo cha mabao 3-2 kutoka Wolfsburg ya Ujerumani juzi usiku, wachezaji wa zamani, Paul  Scholes, Ferdinand wamemchamba kocha Louis van Gaal.

 

9 years ago

Bongo5

Diamond aongoza orodha ya mastaa wanaoishi Afrika wenye followers wengi zaidi Instagram

1663203_863176703798731_1287169950_n

Diamond Platnumz si tu msanii aliyechukua tuzo kubwa zaidi kuliko wasanii wote wa Afrika mwaka huu (MTV EMA – Best Worldwide Act: Africa/India), bali pia ndiye msanii anayeishi barani Afrika mwenye followers wengi zaidi kwenye mtandao wa Instagram kwa sasa.

1663203_863176703798731_1287169950_n

Awali nafasi hiyo ilikuwa ikishikiliwa na msanii wa Nigeria, Davido.

Hata hivyo orodha ya mastaa waliofikisha followers milioni moja imeongozwa na watanzania.

Hii ni orodha kamili kwa mujibu wa namba za December, 29.

1. Diamond...

 

11 years ago

Bongo5

‘Unafanya kazi na mkata viuno’ — Mashabiki wamchana Roma kurekodi wimbo na Bob Junior

Inaonekana mashabiki wa Roma Mkatoliki hawajaafikiana na uamuzi wake wa kurekodi wimbo na Rais wa Masharobaro, Bob Junior. Roma ameiambia Bongo5 kuwa kwa miaka saba amekuwa akifanya muziki wake bila matatizo lakini kitendo cha kurekodi wimbo na Bob Junior kimegeuka kero kwa wengine. “Baada ya kusema nafanya kazi na Bob Junior kuna kitu ambacho kimetengenezeka […]

 

9 years ago

Bongo5

Swizz Beatz ampongeza Diamond kwa kumuita ‘King’ baada ya kushinda tuzo za MTV EMA, soma pongezi za mastaa wengine hapa

Diamond ameutafuna mfupa uliowashinda wengi. Hakuna msanii yeyote kutoka Afrika Mashariki, Magharibi na Kusini aliyewahi kushinda kipengele cha Worldwide Act, Africa/India kwenye tuzo za MTV EMA. Ushindi huo mkubwa unaomfanya sasa awe msanii namba moja Afrika. “Hii sio tunzo yangu ni tunzo ya wewe na mimi maana bila kura yako nisingeweza kabisa kushinda,” anasema Diamond. […]

 

11 years ago

GPL

ISHU YA MASTAA KUJIUZA CATHY AWALAUMU MASTAA WA KIUME

Na Mayasa Mariwata
MKONGWE kwenye tasnia ya filamu Bongo, Subrina Rupia ‘Cathy’ amewalaumu vikali mastaa wa kiume Bongo kuwa ndiyo chanzo kikubwa cha tasnia kutawaliwa na mastaa wa kike wanaojiuza. Mkongwe kwenye tasnia ya filamu Bongo, Subrina Rupia ‘Cathy’ Akizungumzia kuhusiana na kuwepo kwa madai ya wasanii wa kike Bongo Movie kujiuza, Cathy alisema hawezi kuweka wazi kama anawajua wahusika au...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani