MASTAA WAMPIGIA SALUTI DIAMOND
![](http://api.ning.com:80/files/R5SqbRTCmAGRKbkk-556n21jmKt*10WgjG1jSyqG1FAzQpCqk5izLP44pVBtepa7FmqHHMKw1gtQci2O*lXZyMvFqqPsdmmV/Diamond2.gif)
Na Gladness Mallya BAADA ya Jumamosi iliyopita msanii wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kunyakua tuzo tatu kwenye tuzo za Channel O zijulikanazo kama Channel O Africa Music Video Awards 2014 (CHOAMVA), zilizofanyika Afrika Kusini mwishoni mwa wiki iliyopita, mastaa mbalimbali nje na ndani ya nchi wamempigia saluti. Msanii wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akipozi . Diamond...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/zLSzH-96bg8t7cfSo1X*yFthhhJWGlvmexM4IG3smT*lRT-yJvPx8UZc*KCQ1NNBv9IuB-0fIEkmAKNwlCnim2KkocHjZ6uC/kajala.jpg)
RAY, JB WAMPIGIA SALUTI KAJALA
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/E1SZFmSJIID9o5kPiGhu6nX7FmmK221qhArsc9eQ*F5IRwnHLlhFQXf5ErCi5fqhUw0PFn1a*XhqQolEQVbRMw2xjiPcAFBA/mpoto.jpg?width=650)
MRISHO MPOTO, WAZUNGU WAMPIGIA SALUTI, WAMPELEKA MAREKANI -6
9 years ago
Global Publishers19 Dec
Wema ampigia saluti Diamond
Wema Sepetu ‘Madam’
Stori: Imelda Mtema
MTOTO mzuri Bongo Movies, Wema Sepetu ‘Madam’ ameonesha kumpigia saluti mpenzi wake wa zamani, Nasibu Abdul ‘Diamond’ baada ya kuguswa na ubora wa wimbo wake mpya uitwao Utanipenda kwa kuposti video mtandaoni ikimuonesha akiuimba wimbo huo.
Nasibu Abdul ‘Diamond’.
Kwenye video hiyo, Madam anaonekana akiwa na shosti wake mwigizaji Aunt Ezekiel wakiimba wimbo huo kwa staili ya kupokezana huku wakiwa wamejilaza kitandani.
Mmoja wa marafiki wa Madam...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/TL-la4qMC-2FIK*O1HSmfQefyiip2yiBWTZO-4IbypDOBlkX*a5XDP2eNaqF87kDIR7Pr*7fVlEOXtc2digEjAcma1vk1T26/Diamond.jpg)
MASTAA WAMCHANA DIAMOND
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/OmzXdzxeBqz6S05InkBIYExJEniSrZNl*eniZCCF20al662xExmk7tX13AGQlcVLNXzoR4Do6wq5jFDOVXu2NDucqmiTTy0G/adiamond.jpg?width=650)
MASTAA WAJITONGOZESHA KWA DIAMOND
9 years ago
Bongo529 Dec
Diamond aongoza orodha ya mastaa wanaoishi Afrika wenye followers wengi zaidi Instagram
![1663203_863176703798731_1287169950_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/1663203_863176703798731_1287169950_n-300x194.jpg)
Diamond Platnumz si tu msanii aliyechukua tuzo kubwa zaidi kuliko wasanii wote wa Afrika mwaka huu (MTV EMA – Best Worldwide Act: Africa/India), bali pia ndiye msanii anayeishi barani Afrika mwenye followers wengi zaidi kwenye mtandao wa Instagram kwa sasa.
Awali nafasi hiyo ilikuwa ikishikiliwa na msanii wa Nigeria, Davido.
Hata hivyo orodha ya mastaa waliofikisha followers milioni moja imeongozwa na watanzania.
Hii ni orodha kamili kwa mujibu wa namba za December, 29.
1. Diamond...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/jbaar29oQX4jSRY6YfW7em-7IhgR*RyZy4RnuTXX3rkWJUgpyjVQQ93XC77gHUIlbNipoxuoJrEwSLHkfbeUr-21p67bZCy1/p.jpg?width=650)
pluijm ampigia saluti Coutinho
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-bwNIMx9x2XI/VJixnofLzxI/AAAAAAAG5L4/e-w666WzG_g/s72-c/Picha-na-8%2B(1).jpg)
JE WAJUA ASILI YA SALUTI YA ASKARI?
![](http://3.bp.blogspot.com/-bwNIMx9x2XI/VJixnofLzxI/AAAAAAAG5L4/e-w666WzG_g/s1600/Picha-na-8%2B(1).jpg)