MASTAA WARUDI KWENYE VIVAZI VYA KIMTEGO

Stori: Hamida Hassan Ndani ya mwezi mtukufu mastaa wengi walionekana kuvaa kiheshima huku wakijisitiri sehemu zao nyeti lakini cha ajabu mara baada ya mfungo, baadhi wamerejea mavazi yao ya kimitego. Video queen Agnes Masogange akipozi. Uchunguzi uliofanywa na Ijumaa mara baada ya Sikukuu ya Idd kupita umebaini baadhi wamerejea kwenye mavazi yao ya kihasara, mazingira yanayoashiria kuwa, walihamia kwenye mavazi ya kiheshima...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo9 years ago
Bongo501 Dec
TACAIDS yadai mastaa wapo kwenye hatari zaidi ya kuathirika na virusi vya Ukimwi (Video)

Wakati dunia leo inaadhimisha siku ya Ukimwi duniani, December 1, Tume ya Kudhibiti Ukimwi nchini, (TACAIDS) imesema watu maarufu wakiwemo wasanii ni watu walio kwenye hatari kubwa zaidi ya kupata maambukizi ya virusi vya Ukimwi kutokana na ushawishi wao na hivyo wanatakiwa kupewa elimu.
Mwenyekiti wa TACAIDS, Dr. Fatma Mrisho
Akizungumza na taasisi ya Global Shapers Community Dar es Salaam, Mwenyekiti TACAIDS, Dr. Fatma Mrisho, alisema ushawishi wa wasanii hao unawafanya watamaniwe na watu...
10 years ago
Mwananchi17 Jan
Waandaaji warudi kwenye misingi, wajitathimi
10 years ago
VijimamboVIVAZI KWENYE SHEREHE YA KUUKARIBISHA mwaka 2015 YA JUMUIYA YA WATANZANIA DMV
10 years ago
Vijimambo10 years ago
VijimamboTASWIRA YA VIVAZI VILIVYO TAMBA KWENYE SHEREHE YA MIAKA 38 YA KUZALIWA KWA CCM ZILIZOFANYIKA NEW YORK
11 years ago
GPL
MASTAA 15 WA FILAMU WALIOFULIA KWENYE GEMU
10 years ago
GPL
SABABU 10 ZA MASTAA WA KIKE KUTODUMU KWENYE NDOA!