Waandaaji warudi kwenye misingi, wajitathimi
Kufuatia kuandikwa rasmi kwa sera ya Taifa ya Utamaduni na iliyokuwa Wizara ya Elimu na Utamaduni chini ya Waziri Prosesa Juma Kapuya mnamo mwaka 1997, kumekuwa na ongezeko kubwa la wadau wa Sanaa na burudani wakitaka kujihusisha na matukio au shughuli mbalimbali katika sekta hii.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
MASTAA WARUDI KWENYE VIVAZI VYA KIMTEGO
11 years ago
Mwananchi28 Apr
MAONI: TFF isimame kwenye misingi iliyojengwa
11 years ago
Tanzania Daima07 May
Wadau: Waandaaji KTMA hawakujipanga
BAADHI ya wadau wa muziki wa kizazi kipya nchini ambao walishuhudia utoaji wa tuzo za Kilimanjaro Tanzania Music Award (KTMA 2014), zilizofanyika mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam, wamedai...
11 years ago
Michuzi
Mahojiano na waandaaji wa SWAHILI FESTIVAL Marekani

PHOTO CREDITS DMK Blog Karibu katika mahojiano kati ya Mubelwa Bandio na waandaaji wa SWAHILI FESTIVAL iliyofanyika Sept 21 jijini Bladensburg, jimbo la Maryland nchini Marekani Karibu.
10 years ago
Bongo Movies13 Apr
Riyama Awapa Makavu Waandaaji Hawa wa Filamu
Staa wa Bongo Movies, Riyama Ally amewatupia dongo baadahi ya waandaaji wa filamu ambao huwa wababaishaji kwenye kuwalipa wasanii mara baada ya kumaliza kazi, akijitolea mfano wa yeye kufanyima hivyo mara kadhaa kitendo ambacho anasema kinawarudisha sana nyuma wasanii.
Riyama ametobao hilo mtandao mara baada ya kubandika picha hiyo hapo juu akiwa mzigoni na kuandika haya.
“Kazini najichekesha tu ila nimechoka hoi wallah Dah........ HATARIIIIII
Halafu unamalizia kushuti prodiucer ana...
10 years ago
Mwananchi10 Nov
MAONI: Waandaaji Miss Tanzania wajitathmini upya
9 years ago
Michuzi
RC KILIMANJARO AWASIFU WAANDAAJI WA BONANZA LA MADESHO DAY



11 years ago
Habarileo25 Jun
'Ukawa warudi bungeni'
MWENYEKITI wa Chama Cha Kijamii (CCK) na Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, Constantine Akitanda amesema juhudi zao walizoanzisha na chama cha NRA, zimelenga kuhakikisha kuwa wajumbe wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), wanarejea bungeni.