Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Master Mkwasa atambulishwa rasmi

Katibu Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa miguu Tanzania Mwesigwa Selestine amemtambulisha kocha Charles Boniface Mkwasa

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Mkwasa akabidhiwa Yanga rasmi

Kocha mpya msaidizi wa Yanga, Charles Mkwasa na mwenzake wa makipa, Juma Pondamali watatambulishwa kwa wachezaji leo asubuhi kwenye Uwanja wa Kijitonyama (Bora), Dar es Salaam.

 

9 years ago

Mwananchi

Mkwasa aiacha rasmi Yanga

Yametimia. Ni dhahiri kocha msaidizi wa Yanga, Charles Boniface Mkwasa ameachana na klabu hiyo.

 

11 years ago

GPL

MKWASA, PONDAMALI WAANZA KAZI RASMI YANGA

Kocha msaidizi wa Yanga, Charles Boniface Mkwasa akiwaongoza wachezaji wake katika mazoezi leo. Yanga wakiendelea na mazoezi chini ya Mkwasa katika Uwanja wa Bora uliopo Mabatini-Kijitonyama jijini Dar…

 

9 years ago

Bongo5

Mkwasa apewa mkataba rasmi kuinoa Taifa Stars

TFF imefikia makubaliano na kocha Charles Boniface Mkwasa ya kumpa mkataba rasmi baada ya kuridhika na utendaji wake katika kukinoa kikosi cha timu ya Taifa Stars. Mkwasa amepata mkataba wa kuifundisha timu hiyo kwa kipindi cha mwaka mmoja na nusu kuanzia Oktoba Mosi mwaka huu na kumalizika Machi 31, 2017. Baada ya kusaini mkataba huo, […]

 

11 years ago

Tanzania Daima

Zitto atambulishwa ACT 

KATIBU Mkuu wa Chama cha Alliance for Change and Transparance (ACT-Tanzania), Samson Mwigamba, ameweka hadharani dhamira ya chama hicho kuongozwa na Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe. Ingawa Mwigamba hakutaja...

 

10 years ago

Michuzi

MWAKILISHI MPYA WA WHO ZANZIBAR ATAMBULISHWA

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mwakilishi  wa Mpya wa Shirika la Afya Duniani (WHO) hapa Zanzibar Dr. Andemichael Ghirmay Redae alipofika kutambulishwa na Mwakilishi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Nchini Tanzania Rofaro Chatora (katikati) halfa hiyo ilifanyika leo  Ikulu Mjini Zanzibar leo.[Picha na Ikulu.] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza  Mwakilishi  wa Shirika la Afya...

 

10 years ago

GPL

OKWI ATAMBULISHWA KLABU YA SONDERJYSKE YA DENMARK

Aliyekuwa mshambuliaji wa timu ya Simba SC, Emmanuel Okwi ametambulishwa katika klabu ya Sonderjyske inayoshiriki katika ligi kuu ya Denmark.

 

10 years ago

Vijimambo

magufuli atambulishwa kwa wakazi wa DODOMA

Mgombea wa Urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Mhe.John Pombe Magufulu pamoja na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye wakiwasalimia wananchi waliojitokeza kwenye uwanja wa Jamhuri mjini DodomaMhe. Magufuli akiwapa mikono wananchi waliojitokeza kwa wingi kuja kumsalimia na kumuona mgombea huyo wa CCM.Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasalimu wananchi wa Dodoma kwenye uwanja wa Jamhuri mjini DodomaMgombea wa Urais wa CCM Mhe. John Magufuli akizungumza wakazi wa Dodoma ikiwa sehemu yake...

 

10 years ago

Michuzi

MGOMBEA URAIS WA UKAWA ATAMBULISHWA JIJINI MBEYA LEO

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Mh. Edward Lowassa akiwapumbia maelfu ya wafuasi na wapenzi wa vyama vinavyounda UKAWA waliofurika kwa wingi kwenye Uwanja wa Rwanda Nzovwe, Jijini  Mbeya leo Agosti 14, 2014. Mh. Lowassa na Mgombea mwenza wake Dkt. Juma Haji Duni, walikuwa jijini humo kwa ajili ya zoezi la kutafuta wadhamini wa Tume na kutambulishwa kwa wananchi. Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini, Mh. Joseph Mbilinyi "Sugu"...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani