MATANGAZO YA WAGANGA HADI VITUONI
LICHA ya matangazo ya waganga wa kienyeji kusheheni kila kona jijini hapa, kamera yetu leo hii imelinasa moja ya tangazo hilo la mganga wa kienyeji likiwa mahali pa kumpumzikia abiria katika kituo cha daladala Afrika Sana, Sinza. Hali hiyo inaonesha ni jinsi gani waganga wa kienyeji wamekuwa wakiongezeka kwa kasi kila siku jijini Dar huku vitu kama: kuwaunganisha watu na Freemason, mafanikio, pesa za majini vikiwa kama silaha...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo25 Dec
Matangazo ya waganga wa jadi yapigwa marufuku
SERIKALI imepiga marufuku matangazo yote ya tiba asili na tiba mbadala katika vyombo vya habari na mitandao ya kijamii kuanzia jana. Aidha, wale wote wenye vibali wanatakiwa kuwasilisha vibali na matangazo hivyo katika Baraza la Tiba Asili na Tiba Mbadala kwa ajili ya kuvifanyia mapitio upya.
11 years ago
MichuziULIPO TUPO NA BENKI YA CRDB HADI HADI VIWANJA VYA SABASABA
Ofisa wa Benki ya CRDB...
9 years ago
Raia Mwema07 Oct
Tujadili matokeo kubandikwa vituoni
SEPTEMBA 17, 2015, nilisoma taarifa ya January Makamba kwenye gazeti la NIPASHE (uk. 03).
Joseph Magata
9 years ago
Habarileo01 Oct
Tangazeni matokeo vituoni -NEC
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema katika kuonesha uwazi katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 25 mwaka huu, imebariki vyombo vya habari kutangaza matokeo katika vituo vya kupigia kura. Hatua hiyo itawawezesha wananchi kujua matokeo ya vituo vyao na kura za wagombea, hivyo kuondoa malalamiko.
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-FzSnDwlnNpU/VXce905JnKI/AAAAAAAAfs8/NMafMEUqZ7g/s72-c/dr%2Bmalecela%2B3.jpg)
Dkt Mwele: Kutoka binti mwenye ndoto kuwa mtafiti hadi mwanasayansi wa kimataifa hadi mwania #Urais2015
![](http://2.bp.blogspot.com/-FzSnDwlnNpU/VXce905JnKI/AAAAAAAAfs8/NMafMEUqZ7g/s640/dr%2Bmalecela%2B3.jpg)
10 years ago
Mwananchi05 May
Kidato cha sita wasota vituoni
9 years ago
Habarileo20 Oct
Magufuli: Nendeni vituoni kifua mbele
MGOMBEA urais kupitia CCM, Dk John Magufuli amewataka wananchi hasa wanawake, vijana na wazee kutotishika na maneno ya kuwazuia wasiende kumpigia kura na kuwataka waende vituoni kifua mbele, kumchagua kuwa Rais wa Awamu ya Tano ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania.
10 years ago
Habarileo26 May
Kigoma/Ujiji walala vituoni kujiandikisha
WAKATI uandikishaji wa wapigakura katika daftari la kudumu la mpigakura ukiwa umeanza kwenye kata sita za manispaa ya Kigoma/Ujiji, wananchi wamekuwa wakilala kwenye vituo vya uandikishaji ili kuhakikisha hawakosi kuandikishwa.
9 years ago
Mwananchi20 Sep
Kubandika matokeo ya urais vituoni kumechelewa