Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Matokeo ya Al Ahly yawe mwanzo mpya Yanga SC

TIMU ya soka ya Yanga imerejea nchini juzi ikitokea Misri ambako Jumapili iliaga michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa mikwaju ya penalti na Ahly katika mechi ya marudiano ya...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Yanga: Tutashambulia mwanzo mwisho leo

Alexandria, Misri. Kocha wa Yanga, Hans Van Pluijm amesema mbinu pekee ya kujilinda katika mchezo wa leo wa Ligi ya Mabingwa dhidi ya Al Ahly ni kushambulia tu.

 

11 years ago

GPL

Yanga: Tuliwadanganya Al Ahly

Na Khadija Mngwai TIMU ya Yanga imeibuka na kusema kuwa waliwadanganya Al Ahly ya Misri wanayotarajia kukutana nayo Machi Mosi, mwaka huu kufuatia kutumia mfumo tofauti na ule wanaotarajia kuutumia pindi watakapokutana na timu hiyo. Mashushushu wa Al Ahly, walitua nchini kwa ajili ya kuiangalia Yanga ilipokuwa ikivaana na Komorozine katika mechi ya awali ya michuano ya Klabu Bingwa Afrika na kufanikiwa kuichapa mabao 7-0.
Yanga...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tofauti ya Yanga na Al Ahly

MABINGWA wa Ligi Kuu Tanzania bara, Yanga, wametinga raundi ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Wamefika hatua hiyo baada ya kuwatupa nje Komorozine ya Domoni, Comoro kwa kuwanyuka jumla...

 

11 years ago

BBCSwahili

Yanga kupepetana na Al-Ahly

Yanga ya Tanzania, leo wanakabiliana na al-Ahly ya Misri katika mchezo wa kombe la mabingwa Afrika

 

11 years ago

BBCSwahili

Yanga yaibwaga Al-Ahly 1-0

Timu Yanga imevunja mwiko wa kutozifunga timu za Afrika Kaskazini kwa kuichapa Al-Alhly ya Misri 1-0

 

11 years ago

GPL

Yanga SC yailipa Al Ahly Sh milioni 16

Na Mwandishi Wetu
MABINGWA wa soka Tanzania, Yanga wamelazimika kumwaga kitita cha dola 10,000 (zaidi ya Sh milioni 16) kuwapa Al Ahly kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa Afrika, Jumamosi. Timu hizo zitapambana kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam na tayari mabingwa hao wa Afrika wametua nchini, tayari kupambana na mabingwa hao wa Tanzania waliopania kuuangusha mbuyu huo. Habari za uhakika kutoka ndani ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Kasi ya Yanga yawavuruga Al Ahly

>Beki wa Al- Ahly, Said Ahmed Shedid amesema mechi ya marudiano itakuwa ngumu kwao kutokana na kasi ya washambuliaji wa Yanga pamoja na uwezekano wa mechi hiyo kuchezwa nje ya Cairo na El Gouna.

 

11 years ago

GPL

Yanga yashtukia uongo wa Al Ahly

Kocha Mkuu wa Yanga, Hans van Der Pluijm. Na Hans Mloli
KOCHA Mkuu wa Yanga, Hans van Der Pluijm, amewashtukia Al Ahly na kukiri kwamba waliwadanganya Yanga kwa kudai watakuja na winga wao Emad Motaeb, lakini haikuwa hivyo. Al Ahly ilitoa taarifa mbalimbali kwenye vyombo vya habari vya Cairo kwamba itatua na winga wao hatari Motaeb jijini Dar es Salaam kwa ajili ya mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Yanga lakini...

 

11 years ago

Mwananchi

Ahly: Kuitoa Yanga ni bahati tu

Kocha wa Al Ahly, Mohamed Youssef amesifu umakini na nidhamu ya hali juu ya mchezo ilioonyeshwa na wachezaji wa Yanga na kusema ushindi wa timu yake ulikuwa wa ‘ngekewa’ na si uwezo wa uwanjani.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani