Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Matokeo ya kura za maoni yaheshimiwe

Kura za maoni ambazo zimekuwa zikiendelea ndani ya vyama mbalimbali vya siasa nchini, vikiwamo CCM, CUF na Chadema ambayo matokeo yake yametolewa au kuanza kutolewa zimeanza kutoa mwelekeo kuwa kuna kila uwezekano kwamba mwaka huu tutakuwa na wabunge wapya wengi wakiwamo vijana.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

TLS: Maoni ya wananchi yaheshimiwe

Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS) kimelitaka Bunge Maalumu la Katiba kuheshimu maoni ya wananchi yaliyomo katika Rasimu ya Mabadiliko ya Katiba.

 

11 years ago

Mwananchi

Maoni ya wananchi yaheshimiwe-Wito

Imebaki kama wiki mbili hivi Bunge la Katiba lianze tena vikao vyake mjini Dodoma, huku kukiwa hakuna maridhiano kati ya pande mbili zinazotofautiana kuhusu Rasimu ya Pili ya Katiba.

 

10 years ago

Mwananchi

Ukawa kususia Kura ya Maoni ni matokeo tu

Kufikia leo, itakuwa zimesalia siku 35 kabla Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuruhusu asasi za kiraia kutoa elimu ya uraia juu ya Katiba Inayopendekezwa, hii ikiwa ni kwa mujibu wa kifungu cha 5 cha Sheria ya Kura ya Maoni. Ndani ya siku hizi 35 na kwa utaratibu wa kawaida inapasa tuwe tayari na wapigakura wetu ambao taarifa zao zimeboreshwa na wale walitimiza miaka 18 wameandikishwa upya na kila mtu ana kitambulisho chake.

 

11 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: MATOKEO KURA ZA MAONI CCM JIMBO LA CHALINZE:,RIDHIWANI KIKWETE ASHINDA

Ndugu Ridhiwani Kikwete ameshinda kwa kishindo katika kinyang'anyiro cha kuwania kuteuliwa kuwa mgombea wa ubunge jimbo la Chalinze kupitia CCM. Katika uchaguzi huo uliofanyika leo kijijini Msata.  Ridhiwani   Kikwete amepata kura kura 758 kati ya kura 1321 zilizopigwa huku mpinzani wake wa karibu mdau wa soka Shaaban Iman Madega akiwa na kura 335. Wapiga kura za maoni kumchagua mgombea wa kiti cha Ubunge cha Chalinze wakiwa tayari kupiga kura zao leo Msata, Chalinze




 

10 years ago

Michuzi

News alert: Stephen Wasira aongoza kura za maoni Kura ya Maoni CCM-Bunda Mjini

 Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika Mhe. Stephen Wasira akishangiliwa na wapiga kura wake baada ya kuibuka kidedea kwenye kura za maoni leo huko Bunda mjini. Matokea yalikuwa hivi:

Stephen Wasira 6, 429Robert Maboto  6, 206Christopher Sanya 1, 140Xavier Rugina 846Simon Odunga 547Magesa Mugeta 446Peres Magiri  385Brian Baraka 263

 Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika Mhe. Stephen Wasira akiwashukuru wapiga kura wake baada ya kuibuka kidedea kwenye kura za maoni leo huko Bunda...

 

11 years ago

Mwananchi

Maoni ya wananchi yakipuuzwa, wataikataa kwa kura ya maoni

>Mjumbe wa Bunge la Katiba, Profesa Anna Tibaijuka ametahadharisha kuwa wananchi wanaweza kuikataa Katiba kwenye kura ya maoni kama maoni yao yatawekwa kando.

 

9 years ago

BBCSwahili

Maoni ya Watanzania kuhusu kura za maoni

Watanzania wamegawanyika kuhusu kura za maoni ambazo zinafanywa nchini humo huku uchaguzi mkuu ukikaribia.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani