Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MATUMIZI BAYOGESI BADO KIZUNGUMKUTI MINDUTULIENI, PWANI



Na Nyamiti Kayora

Kwa miaka zaidi ya 30 Margreth Ibrahimu, mama wa watoto 7, amekuwa akitumia kuni kupikia na mara chache sana mkaa.

Kijiji cha Mindutulieni kilichopo kata ya Lugoba, wilayani Chalinze Mkoani Pwani anachokaa Magreth tangua kuanzishwa kwake mwaka 1980 hakijawahi kuwa na nishati nyingine ya kupikia zaidi ya kuni na mkaa.

Kwa mujibu wa Ripoti ya Hali ya Upatikanaji wa Nishati Tanzania Bara ya mwaka 2016 inaonesha kuwa kaya 7 kati ya kumi mkoani Pwani zinatumia kuni na mkaa kama...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Escrow bado kizungumkuti

Hali bado ni tete kwa mawaziri wakati Rais Jakaya Kikwete akiwasiliana na viongozi waandamizi kabla ya kutangaza mabadiliko ya Baraza la Mawaziri baada ya kuwa na vikao kadhaa jana na vigogo katika kile kinachoonekana kupata ushauri.

 

11 years ago

BBCSwahili

Mazungumzo ya Sudan-K bado kizungumkuti

Awamu mpya ya mazungumzo yanayolenga kumaliza mapigano ya ya miezi sita nchini Sudan Kusini imeahirishwa mara moja baada ya serikali na waasi kutoa mamasharti mapya.

 

11 years ago

Mwananchi

Upanuzi wa Bandari bado kizungumkuti

>Upanuzi wa Gati namba 13 na 14 katika Bandari ya Dar es Salaam, uliosababisha kung’olewa kwa aliyekuwa Waziri wa Uchukuzi, Omary Nundu, umeendelea kupata vikwazo baada ya kampuni ya Kichina iliyopewa zabuni ya upanuzi huo kutofika kwa kazi hiyo.

 

10 years ago

Mwananchi

Zanzibar ,ukuza ji utalii bado kizungumkuti

Safari hii nilitembelea mashamba ya viungo na mapango ya Manga Pwani na mabafu ya Hamamni yaliyokuwa yakitumiwa na mke wa Mfalme Sayyid Said miaka ya 1847 na baadaye.

 

9 years ago

Dewji Blog

Mazishi ya Mawazo bado kizungumkuti, CHADEMA kutinga mahakamani


Na:George Binagi-GB Pazzo @BMG

Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema kimesitisha shughuli za mazishi ya aliekuwa Mwenyekiti wa Chama hicho Mkoani Geita marehemu Alphonce Mawazo, baada ya jeshi la polisi Mkoani Mwanza kuzuia zoezi la kuuaga mwili wake lililokuwa limepangwa kufanyika juzi jumamosi Jijini Mwanza.

Mwenyekiti wa Chama hicho Taifa, Freeman Mbowe alibainisha hayo jana wakati akizungumza na Wanahabari Mkoani Mwanza, ili kutoa msimamo wa Chama baada ya kuwepo kwa mazungumzo baina...

 

10 years ago

StarTV

Matumizi Nishati ya Umeme, idadi ya watumiaji bado yasuasua.

Na Magreth Tengule,

Rombo.

 

Tanzania imesalia kuwa miongoni mwa nchi chache barani Afrika ambazo zina idadi ndogo ya watumiaji wa nishati ya umeme.

 

Kwa mujibu wa takwimu za Serikali za mara kwa mara ni asilimia 17 pekee ya wananchi wote wanaofikiwa na huduma hiyo.

 

Katika kuhakikisha huduma ya umeme inazidi kuwafikia watu wengi hasa wale wanaoishi maeneo ya pembezoni, Chama cha Mapinduzi CCM kimesema kitazidi kuibana Serikali ielekeze nguvu kwenye utekelezaji wa mradi wa umeme vijijini...

 

10 years ago

Michuzi

MICHANGO BADO YAHITAJIKA UJENZI WA MSIKITI KIJIJI CHA KIMBANGULILE MKURANGA PWANI

 Huu ndio msikiti wa Masjid Fisabillah ya Mlamleni uliopo Kijiji cha Kimbangulile, Wilaya ya Mkuranga , Mkoa wa Pwani.  Ujenzi wa Msikiti ukiwa umeanza.Hivi ndivyo ujenzi ulipofikia katika ujenzi huo na bado fedha zinahitajika kwaajili ya kuendelea. 
TUNAMSHUKURU  Mwenyezi Mungu kwa Pumzi anayo endelea kutupa.
Ufuatao ni Mrejesho wa Michango yenu ya Ujenzi wa Msikiti wa Masjid Fisabillah ya Mlamleni , Mkoa wa Pwani , Wilaya ya Mkuranga , Kijiji cha Kimbangulile.


Ikumbukwe kupitia Blogs na...

 

9 years ago

Michuzi

WANAWAKE NA WATOTO WA KIKE BADO WAPO NYUMA KATIKA MATUMIZI YA TEHAMA

Balozi Tuvako Manongi, Mwakilishi wa Kudumu wa   Tanzania katika Umoja wa Mataifa  akizungumza wakati wa Mkutano wa Ngazi ya Juu wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kuhusu Teknolojia ya  Habari na Mawasiliano kwa Maendeleo. Mkutano huo wa siku mbili umefanyika hapa Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa jijini New York, Marekani
Na  Mwandishi Maalum,  New York

Wanawake na watoto wa kike wanaelezwa kama kundi ambalo bado  halijanufaika ipasavyo na  matumizi ya   Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (...

 

11 years ago

Habarileo

Kiwanda cha bayogesi chazinduliwa Dar

KAMPUNI inayouza gesi katika Afrika Mashariki ya Simgas, jana ilizindua kiwanda chake cha kutengeneza baogesi kilichopo barabara ya Pugu katika Makao Makuu ya Kampuni mwenza ya Silafrica.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani