Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MATUSI YA MITANDAONI BADO NI TATIZO NCHINI

Salma Omar Yusuf anayedaiwa kumtusi Nadya. SUALA la matumizi ya mitandao ya kijamii katika kujielimisha, kuhabarika na kuburudika kwa sasa limegeuka na kuwa uwanja wa kutupiana matusi. Nadya Masoud Mohammed mlalamikaji. Kwa sasa watumiaji wamebadilika na kutumia mitandao ya kijamii katika kuharibu maadili ya jamii hasa ya Waafrika na kusahau malengo makuu ya kuanzishwa kwa mitandao hiyo. Mbali na taasisi mbalimbali… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Rushwa bado ni tatizo nchini

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Utawala Bora, Kapteni Mstaafu George Mkuchika amesema, rushwa ni changamoto ambayo bado inalikabili taifa, hivyo hukwamisha sera ya utawala bora na kuharibu sifa ya nchi katika medani ya kimataifa katika kudhibiti na kupambana na rushwa.

 

10 years ago

Habarileo

Tatizo la watoto kuungua bado kubwa nchini

TATIZO la watoto walio chini ya umri wa miaka mitano kuungua, limetajwa kuwa kubwa, kutokana na kile kilichoelezwa ni uzembe wa ama wazazi au walezi.

 

9 years ago

Mwananchi

Jaji Mkuu: Mahakama nchini bado zinakabiliwa na tatizo la rushwa

Jaji Mkuu wa Tanzania, Mohamed Othman Chande, amesema baadhi ya Mahakama nchini bado zinakabiliwa na tatizo la rushwa kutokana na watendaji wake kuendekeza vitendo hivyo na kuwakosesha haki wananchi.

 

10 years ago

Michuzi

TATIZO LA RUSHWA YA NGONO BADO NI TATIZO TANZANIA.

Jaji mstaafu wa mahakama ya rufaa nchini tanzania mama EUSEBIA MUNUO  ambaye alikuwa ndiye mkufunzi katika mafunzo hayo yaliyoendeshwa leo jijini Dar es salaam  Rushwa ya ngono pamoja na matumizi mabaya ya madaraka yametajwa kuwa ni moja kati ya matatizo makubwa ambayo yamezidi kuweka mizizi nchini tanzania na kuwaadhiri wasichana wengi huku sheria ikishindwa kuweka wazi adhabu mahususi ili kuwabana wanaohusika katika swala hilo. Hayo yamesemwa leo jijini dare s salaam na Jaji...

 

11 years ago

Mwananchi

Microsoft yaja na jibu la tatizo la wizi mitandaoni

Kampuni ya Microsoft, inayojishughulisha na utengenezaji wa kompyuta pamoja na programu, imebuni mbinu mpya ya kukabiliana na wizi wa mitandaoni ambao umezisababishia hasara benki, kampuni na watu binafsi katika maeneo mengi duniani

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ukeketaji bado tatizo

UKEKETAJI ni mila potofu inayodhaniwa kwamba ikifanywa ni heshima pindi mwanamke atakapoolewa. Lakini ukeketaji una madhara kwa wanaofanyiwa, ikiwemo maambukizi ya virusi vya ukimwi (VVU) kutokana na kuchangia nyenzo za...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Unyanyasaji wa wanawake bado tatizo

IMEELEZWA kuwa wanawake wengi duniani bado wananyanyaswa kijinsia kwa sababu za kijamii, kiuchumi na kipato licha ya kuwepo kwa elimu kuhusu haki zao. Hayo yalizungumzwa jana na John Mapesa Naibu...

 

10 years ago

Michuzi

Mh. Pindi Chana azindua kampeni ya Mpe riziki si matusi yenye lengo la kuondoa lugha chafu na matusi kwa wanawake wa sokoni

Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Mhe. Dkt. Pindi Chana (Mb) akizundua kampeni ya Mpe riziki si matusi yenye lengo la kuondoa lugha chafu na matusi kwa wanawake wa sokoni na wanaofanya shughuli zao katika sekta zisizo rasmi. Uzinduzi huo umefanyika katika ukumbi wa Belinda Jijini Dar es salaam tarehe 27 Februari 2015. Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Mhe. Dkt. Pindi Chana akizungumza mara baada ya kuzindua kampeni ya Mpe riziki si matusi yenye lengo la...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani