Mauaji hotelini Arusha yatufumbue macho
WIKI iliyopita jijini Arusha kulitokea mauaji ya aina yake ndani ya hoteli moja maarufu katikati ya jiji, ambapo mfanyabiashara mmoja kijana alichinjwa na kisha muuaji wake akaondoka na kichwa, viganja, sehemu za siri na matiti.
Mauaji hayo yaliyovuta hisia za wakazi wengi wa jiji hilo ni ya aina yake kuwahi kutokea ndani ya hoteli katika siku za hivi karibuni na yaliwatia hofu wakazi na pia wageni wa jiji hilo maarufu kwa biashara na utalii katika ukanda huu wa Afrika...
Raia Tanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi07 Jun
Ya Rombo na yatufumbue macho sote
9 years ago
StarTV01 Sep
Taarifa juu ya Kijana aliyekutwa amefariki hotelini Jijini Arusha.
Mtu mmoja mfanyabiashara wa mabegi jijini Arusha amekutwa amefariki dunia katika chumba cha hoteli huku akiwa amekatwa baadhi ya viungo vya mwili wake.
Kijana huyo aliyetambulika kwa jina moja la Mandela anaekadiriwa kuwa na umri kati ya miaka kumi na tisa na thelathini anayesadikika kuwa ni mfanyabiashara wa mabegi jijini Arusha amekutwa katika chumba cha hoteli ya Asquare Belmont huku baadhi ya viungo vyake vya mwili vikiwa vimekatwa,ikiwemo viganja vya mikono, sehemu za siri na...
10 years ago
Mwananchi23 Mar
Lema: Kinana amepigwa changa la macho Arusha
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-WP6iF2F-vss/VPdgFLJ9KFI/AAAAAAABnDE/hLJqJw_HNF0/s72-c/1036.jpg)
Madaktari wa Macho kutoka Shirika la Specsavers Watowa Huduma ya Macho kwa Wananchi Skuli ya Kiembesamaki Zanzibar
![](http://3.bp.blogspot.com/-WP6iF2F-vss/VPdgFLJ9KFI/AAAAAAABnDE/hLJqJw_HNF0/s640/1036.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-V1UQiJ_mNtc/VPdgJn3vryI/AAAAAAABnDM/zPWV8-VZLwQ/s640/1031.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-RMNp-NXmTOY/VPdgKSJSpbI/AAAAAAABnDU/hEyIWj4H6do/s640/1005.jpg)
9 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-bYNeliYF8NM/VekpLbG1ZnI/AAAAAAABUyY/8sspRL5Ao8Q/s72-c/275bLiberatus-Sabas.jpg)
ALIYEFANYA MAUAJI YA KINYAMA JIJINI ARUSHA AKAMATWA
![](http://1.bp.blogspot.com/-bYNeliYF8NM/VekpLbG1ZnI/AAAAAAABUyY/8sspRL5Ao8Q/s640/275bLiberatus-Sabas.jpg)
Mtuhumiwa mauaji ya kutisha ya kumkata viungo vya mwili marehemu zikiwemo sehemu za siri, viganja vya mikono na matiti mauaji yaliotokea kwenye hotel ya A Square Belmot amekamatwa na jeshi la polisi mkoani Arusha.
Akiongea na vyombo vya habari ofisini kwake kamanda wa polisi, Naibu kamishna wa jeshi la polisi mkoani hapa Liberatus Sabas (pichani) alisema kuwa mtuhumiwa alikamatwa juzi majira ya asubuhi katika eneo la TRA House jijini hapa.
Kamanda Sabas alisema kuwa...
9 years ago
Mtanzania04 Sep
Padri mtarajiwa akamatwa kwa mauaji Arusha
NA JANETH MUSHI, ARUSHA
JESHI la Polisi mkoani Arusha linamshikilia mwanafunzi wa mwaka wa tano wa masomo ya falsafa katika Chuo cha Dini cha Kanisa Katoliki kilichopo Segerea, Dar es Salaam kwa tuhuma za mauaji.
Elijus Lyatuu (31), anashikiliwa kwa tuhuma za kumuua Alfred Kimbaa (18) maarufu kwa jina la Mandela mwanzoni mwa wiki katika Hoteli ya A Square Belmont katikati ya Jiji la Arusha.
Mtuhumiwa huyo anadaiwa alimuua Kimbaa usiku wa kuamkia Jumatatu katika hoteli hiyo na kuchukua baadhi...
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-6rYIJZ9kmEY/VeloXU5D-CI/AAAAAAAC-eA/icSQwmYIR_Y/s72-c/sabas-may10-201328.jpg)
MTUHUMIWA WA MAUAJI YA KUTISHA YALIYOTOKEA MKOANI ARUSHA AKAMATWA
![](http://4.bp.blogspot.com/-6rYIJZ9kmEY/VeloXU5D-CI/AAAAAAAC-eA/icSQwmYIR_Y/s640/sabas-may10-201328.jpg)
Akiongea na vyombo vya habari ofisini kwake kamanda wa polisi, Naibu kamishna wa jeshi la polisi mkoani hapa Liberatus Sabas alisema kuwa mtuhumiwa alikamatwa juzi majira ya asubuhi katika eneo la TRA House jijini Arusha.
Sabas ...
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-69ZEnctRvmI/VZU_irfwd5I/AAAAAAAHmcI/HcmRLh5It7U/s72-c/sabas-may10-201328.jpg)
MUTUHUMIWA WA MAUAJI YA KUTISHA YALIYOTOKEA MKOANI ARUSHA AKAMATWA
![](http://2.bp.blogspot.com/-69ZEnctRvmI/VZU_irfwd5I/AAAAAAAHmcI/HcmRLh5It7U/s640/sabas-may10-201328.jpg)
Na Woinde Shizza,
wa libeneke la kaskazini blog
Mtuhumiwa mauaji ya kutisha ya kumkata viungo vya mwili marehemu zikiwemo sehemu za siri, viganja vya mikono na matiti mauaji yaliotokea kwenye hotel ya A Square Belmot amekamatwa na jeshi la polisi mkoani Arusha.
Akiongea na vyombo vya habari ofisini kwake kamanda wa polisi, Naibu kamishna wa jeshi la polisi mkoani hapa Liberatus Sabas (pichani) alisema kuwa mtuhumiwa alikamatwa juzi majira ya asubuhi katika eneo la TRA House jijini hapa....
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-9YTPB79eNT0/VBlsAAVgjdI/AAAAAAAGkDw/QxSzT-kFR1Q/s72-c/unnamed%2B(54).jpg)
Mahakama ya Umoja wa Mataifa ya Mauaji ya Kimbari ya Rwanda (UN-ICTR) Yatoa Msaada wa Kompyuta Arusha
Ofisi ya ya Mkuu wa Mkoa yenyewe iliongezewa gari moja la deraya na ulinzi. Makabidhiano hayo yalifanya mjini Arusha...