Ya Rombo na yatufumbue macho sote
Wenye kufuatilia taarifa za habari mbalimbali naamini wamesikia habari za wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro katika nchi yetu hii ya Tanzania. Tumepata taarifa ya kwamba huko unywaji wa pombe haramu ya gongo umekithiri na kwamba tayari idadi kubwa ya watu haswa wanaume wameathirika.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Raia Tanzania07 Sep
Mauaji hotelini Arusha yatufumbue macho
WIKI iliyopita jijini Arusha kulitokea mauaji ya aina yake ndani ya hoteli moja maarufu katikati ya jiji, ambapo mfanyabiashara mmoja kijana alichinjwa na kisha muuaji wake akaondoka na kichwa, viganja, sehemu za siri na matiti.
Mauaji hayo yaliyovuta hisia za wakazi wengi wa jiji hilo ni ya aina yake kuwahi kutokea ndani ya hoteli katika siku za hivi karibuni na yaliwatia hofu wakazi na pia wageni wa jiji hilo maarufu kwa biashara na utalii katika ukanda huu wa Afrika...
10 years ago
Vijimambo
Madaktari wa Macho kutoka Shirika la Specsavers Watowa Huduma ya Macho kwa Wananchi Skuli ya Kiembesamaki Zanzibar



10 years ago
Mwananchi25 Nov
Utii wa sheria ni jukumu letu sote
5 years ago
Mwananchi27 Feb
Bomba la mafuta ni letu, tulilinde sote
11 years ago
Michuzi.jpg)
SOTE TUWAJIBIKE LINAPOKUJA SUALA LA UTAWALA BORA-TANZANIA
5 years ago
CCM Blog
10 years ago
GPL
NEMC YASEMA UTUNZAJI MAZINGIRA NI JUKUMU LETU SOTE
10 years ago
Michuzi13 Nov
uwepo mfumo wa kutuwajibisha sote watoaji na wapokeaji wa misaada -TANZANIA
.jpg)
.jpg)
10 years ago
Mwananchi21 Dec
Kuliimarisha Taifa ni jukumu letu sote, hofu hii inatoka wapi?