Mauaji kachero wa Serikali gizani
NA JANETH MUSHI, ARUSHA
SIKU tatu tangu Mkuu wa Idara ya Ulinzi wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA), Emily Kisamo, kuuawa kwa kuchinjwa na kichwa kutengenishwa na kiwiliwili, giza bado limetanda juu ya sababu za mauaji hayo.
Mwili wa marehemu Kisamo uliokotwa juzi katika eneo la Kikwarukwaru, Kata ya Lemara jijini hapa ukiwa umefichwa ndani ya gari lake.
Juzi Kamanda Polisi Mkoa wa Arusha, Liberatus Sabas, alipotafutwa kwa njia ya simu alithibitisha kutokea kwa tukio hilo, ambapo alisema...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania22 Dec
Mke wa kachero aliyeuawa akamatwa
NA ELIYA MBONEA, ARUSHA
SALOME Lukumay ambaye ni mke wa aliyekuwa kachero mkuu wa kitengo cha intelijensia cha Mamlaka ya Hifadhi za Taifa (TANAPA), marehemu Emily Kisamo, anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha kwa ajili ya mahojiano.
Mbali na Salome, taarifa zinasema jeshi hilo linawashikilia watu wengine wawili kwa ajili ya mahojiano juu ya kifo cha Kisamo.
Vyanzo mbalimbali vya habari jijini hapa wakiwamo baadhi ya marafiki wa marehemu Kisamo, waliiambia MTANZANIA kwa sharti la...
10 years ago
Habarileo16 Oct
Kachero Kenya atoa ushahidi kortini Dar
MKUU wa Uchunguzi wa Maandishi wa Jeshi la Polisi Kenya, John Kimani ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam kuwa saini zinazodaiwa kusainiwa na Ramadhani Balenga katika hati ya uhamishaji umiliki wa kiwanja pamoja na mkataba wa mauziano ni za kughushi.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/HRXB3pTHxIrOHI*fxPKDuuDKAdCjq8P*WdkgQaTFeL44un4u93oeV3MdHsC0OrPPOnx4-BpPxzWavILU5SR0Pz8QcX2XWymV/TanzaniaForeignMinisterBernardKMembe.jpg?width=650)
BERNARD MEMBE: KACHERO ANAYEWANIA URAIS ANAVYOFAA AU ASIVYOFAA
10 years ago
Tanzania Daima16 Nov
Serikali imeshindwa kuzuia mauaji Kiteto?
MAUAJI ya mara kwa mara yanayoendelea wilayani ya Kiteto bila ya jitihada za makusudi kuyakomesha yanaashiria kushindwa kuwajibika kwa baadhi ya viongozi na taasisi wanazoziongoza Tunaelezwa kuanzia Februari hadi sasa...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-HobwrHXn9D0/VGd-CohKN3I/AAAAAAAGxic/jAyTinksJ0o/s72-c/unnamed%2B(43).jpg)
MAUAJI KITETO SASA BASI - SERIKALI
![](http://1.bp.blogspot.com/-HobwrHXn9D0/VGd-CohKN3I/AAAAAAAGxic/jAyTinksJ0o/s1600/unnamed%2B(43).jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-z9FenSZQuKY/VGd-C_h2SmI/AAAAAAAGxiU/qU1aAYiQiEQ/s1600/unnamed%2B(44).jpg)
11 years ago
Tanzania Daima08 Apr
Mkono aishukia serikali mauaji ya wanawake
MBUNGE wa Musoma Vijijini, Nimrod Mkono, ameishutumu serikali kwa kushindwa kudhibiti vitendo vya mauaji ya kikatili wanayofanyiwa wanawake katika baadhi ya vijiji vya Tarafa ya Nyanja huku akisema serikali imekuwa...
11 years ago
GPL18 Mar
ANGALIA KACHERO WA OFM AKITOA TAARIFA JINSI KIJANA ALIVYOFUMANIWA, AKAVISHWA KANGA, KUTEMBEZWA MITAANI
10 years ago
Tanzania Daima14 Nov
Mauaji tena Kiteto, Serikali yawaangukia viongozi wa siasa
WAKATI mkulima Hassan Kondeya ameuawa jana na kundi la wafugaji wa kabila la Masai, Serikali imetoa kauli kuhusiana na hali tete ya mauaji ya mara kwa mara wilayani humo. Akitoa...
9 years ago
Mtanzania16 Dec
Sh bilioni 65.7 za makontena gizani
*Ni za ufisadi wa Bil. 80/- ulioibuliwa na Majaliwa
Na Fredy Azzah, Dar es Salaam
WAKATI vita dhidi ya wakwepa kodi katika Bandari ya Dar es Salaam ikipamba moto, umeibuka utata wa Sh bilioni 80 ambazo Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, alisema ni kodi ya makontena 329 kutoka kwa wafanyabiashara 58, walioyatoa bandarini bila kuyalipia kodi.
Akitoa ufafanuzi wa ukusanyaji wa fedha hizo, Desemba 12, Kaimu Kamishna wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Dk. Philip Mpango, aliwaeleza waandishi wa...