Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mauaji ya Albino; tumekuwa taifa la wajinga

KUNA andiko katika Biblia Takatifu lisemalo kuwa; watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa. Hivi ndivyo jamii yetu inavyoangamia. Tunashindwa kufanyakazi na kujishughulisha ili kujikomboa kiuchumi lakini wapo baadhi ya wachache...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Taifa linashuka thamani kwa mauaji ya albino

VITENDO vya ukiukwaji wa haki za binadamu kwa watu wenye ulemavu wa ngozi (albino) vimekuwa vikipigiwa kelele kwa miaka mingi sasa lakini vinaoneka kukosa ufumbuzi. Mauaji ya watu hao wenye...

 

10 years ago

Mwananchi

MAUAJI ALBINO: Albino: Adhabu ya kifo sawa

>Mbunge wa Lindi Mjini, Salum Barwany amemwomba Rais Jakaya Kikwete kusaini hukumu ya kunyongwa hadi kufa inayowakabili watu wanne waliopatikana na hatia ya kumuua mtu mwenye ulemavu wa ngozi.

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

MAUAJI YA ALBINO


 Wapiga ramli 225  wanaswa na polisi
NA MWANDISHI WETU
JUHUDI za kukomesha matukio ya kihalifu ya kuwaua watu wenye ulemavu wa ngozi ‘Albino’, zimeanza kuzaa matunda baada ya Jeshi la Polisi kuwashikilia wapiga ramli 225.
Kushikiliwa kwa wapiga ramli hao kunatokana na operesheni inayoendeshwa na polisi ya kupambana na vitendo vya kikatili ili kuhakikisha matukio hayo hayaendelei kutokea.
Taarifa iliyotolewa jana mjini Dar es Salaam na Msemaji wa Jeshi la Polisi, Advera Bulimba, ilisema wapiga...

 

10 years ago

Vijimambo

Kongamano la mauaji ya albino

Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Al-Shaymaa Kwegyir, akizungumza na wanazuoni wa Chuo Kikuu cha Kumbukumbu cha Hubert Kairuki hawapo pichanai, katika kongamano la kujadili nini kifanyike kutokomeza mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi (albino) lililofanyika jana chuoni hapo. Kushoto ni Makamu Mkuu wa Chuo hicho Keto Mshigeni na Kulia ni Kokushubika Kairuki. Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Al-Shaymaa Kwegyir, katikati akiwa kwenye kongamano la wanazuoni wa Chuo Kikuu cha Kumbukumbu cha Hubert...

 

10 years ago

Mtanzania

JK alaani mauaji ya albino

jakayaNa Elizabeth Hombo, Dar es Salaam
RAIS Jakaya Kikwete amesema anasikitishwa na kitendo kilichoibuka upya cha mauaji ya albino baada ya hali kuwa tulivu mwaka 2011.
Amesema kutokana na hali hiyo amekubali kukutana na viongozi wa Chama cha Watu Wenye Ulemavu wa Ngozi nchini (Albino), ili kuweza kusikiliza maoni yao juu ya namna bora ya kumaliza tatizo hilo.
Rais Kikwete alitoa kauli hiyo jana katika hotuba yake ya mwisho wa mwezi, ambapo alisema ni lazima jamii ilaani vikali mauaji dhidi ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Mauaji ya albino Tanzania

Nalipiga baragumu, nchi yetu Tanzania, Nina moja la muhimu, nataka kusimulia, Naisema Kaumu, kwa nguvu nalikemea, Mauaji ya albino, acheni mbaya dhamira.  

 

10 years ago

Mwananchi

Waganga walaani mauaji ya albino

Siku chache baada ya Mkuu wa Mkoa wa Geita, Fatma Mwassa kutamka kuwafutia vibali waganga wa kienyeji huku wenzao 32 wakishikiliwa na polisi kutokana na kuibuka kwa mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi (albino), Chama cha Waganga wa Tiba Asilia Tanzania (Chawatiata) tawi la mji wa Katoro wilayani Geita, kimeomba Serikali kuwachukulia hatua kali wanaobainika kuhusika na vitendo hivyo badala ya kuwafutia vibali waganga wote.

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Mauaji ya albino yavuka mipaka

                                                                         


NA MWANDISHI MAALUM, BLANTYREWAKATI Rais Jakaya Kikwete akitangaza vita na mtandao hatari unaojihusisha na utekaji na mauaji ya walemavu wa ngozi (albino), matukio hayo kwa sasa yameshika kasi nchini Malawi. Juzi, wakati akihutubia taifa katika hotuba yake ya mwisho wa mwezi, Rais Kikwete alisema serikali itahakikisha inasambaratisha mtandao huo na kuwataka watanzania wote kushiriki kwenye vita hiyo. Hata hivyo,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani