Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mauaji yanalenga kuzua uhasama wa kidini

Mshauri wa rais wa kenya Abdulkadir Mohammed amesema muaji yanalenga kuzua uhasama wa kidini kenya

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MAUAJI YA KENYA YANALENGA KUZUA UHASAMA WA KIDINI

MSHAURI wa Rais Uhuru Kenyatta wa nchini Kenya, Abdikadir Mohammed amesema kuwa mauaji ya watu 28 waliokuwa wakisafiri kwenye basi nchini humo jana yalilenga kusababisha vita vya kidini.

Kwenye mahojiano na BBC Abdikadir Mohammed alitoa wito kwa Wakenya kutoka madhehebu yote kuungana pamoja dhidi ya kile alichokitaja kuwa vitendo vya uhalifu.

Wapiganaji wa kundi la Al-Shabaab waliwapiga risasi wasafiri ambao walishindwa kukariri Koran.

Al-Shabaab ilisema kuwa shambulizi hilo lilikuwa la...

 

10 years ago

GPL

MSHAURI WA RAIS UHURU: MAUAJI YA KENYA YANALENGA KUZUA UHASAMA WA KIDINI

Baadhi ya miili ya abiria waliouawa jana na Al-Shabaab eneo la Mandera, Kenya. Basi lililotekwa na Al-Shabaab eneo la Mandera likiwa njiani kuelekea Nairobi.…

 

9 years ago

Mwananchi

Mauaji ya ‘Tajiri Mtoto’ yaendelea kuzua utata

Mtandao wa kikundi kinachozalisha pombe kali bandia kinachodaiwa kuwa na uhusiano na baadhi ya watumishi wasiowaaminifu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), unahusishwa na mipango ya kumuua mfanyabiashara Joseph Mahole maarufu ‘Tajiri Mtoto’.

 

10 years ago

BBCSwahili

Tamasha la J LO lazidi kuzua zogo Rabat

Waziri mkuu nchini Morocco ameamrisha kufanywa uchunguzi kuhusu matangazo ya runinga ya tamasha ya mwanamuziki Jennifer Lopez

 

10 years ago

BBCSwahili

Poyet aadhibiwa kwa kuzua purukushani

Kocha wa Sunderland Gus Poyet ameadhibiwa kwa kumshambulia mwenzake wa Hull City

 

11 years ago

Mwananchi

Matukio yaliyotikisa na kuzua gumzo 2013

>Zimebaki siku chache kabla ya kuuaga mwaka 2013, mwaka ambao umekuwa na matukio mengi yaliyoitikisa nchi ya Tanzania, huku mengine yakiipa sifa kubwa.

 

10 years ago

Mwananchi

Mwisho wa uhasama

Baada ya miongo ya miaka ya kutokuwepo uhusiano wa kibalozi, Marekani sasa imetangaza kuwa inataka irejeshe uhusiano wake na Cuba uwe wa kawaida.

 

10 years ago

Mwananchi

Mtoto aliyezamia katika ndege azidi kuzua utata

Sakata la mtoto aliyezamia ndege kutoka Dar es Salaam kwenda Zanzibar, Karine Godfrey (ambaye sasa imefahamika kwa jina la Happiness Rioba )limechukua sura mpya baada ya mama yake mzazi, Sara Zefhania kujitokeza na kusema kuwa mwanaye hakupanda ndege.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani