MAUAJI YA KENYA YANALENGA KUZUA UHASAMA WA KIDINI
MSHAURI wa Rais Uhuru Kenyatta wa nchini Kenya, Abdikadir Mohammed amesema kuwa mauaji ya watu 28 waliokuwa wakisafiri kwenye basi nchini humo jana yalilenga kusababisha vita vya kidini.
Kwenye mahojiano na BBC Abdikadir Mohammed alitoa wito kwa Wakenya kutoka madhehebu yote kuungana pamoja dhidi ya kile alichokitaja kuwa vitendo vya uhalifu.
Wapiganaji wa kundi la Al-Shabaab waliwapiga risasi wasafiri ambao walishindwa kukariri Koran.
Al-Shabaab ilisema kuwa shambulizi hilo lilikuwa la...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/cMo845SLBX2Em51TgpFcLnkVOZh8zpUp*KR4CSUAItlj95cLoE4OzwruvqjEDrn-U8tJn5isFVUHYZBhpoFXn1EvbkvMIzV8/1.jpg)
MSHAURI WA RAIS UHURU: MAUAJI YA KENYA YANALENGA KUZUA UHASAMA WA KIDINI
10 years ago
BBCSwahili23 Nov
Mauaji yanalenga kuzua uhasama wa kidini
9 years ago
Mwananchi05 Jan
Mauaji ya ‘Tajiri Mtoto’ yaendelea kuzua utata
11 years ago
BBCSwahili11 Aug
Uhasama baada ya Tohara ya lazima Kenya
10 years ago
BBCSwahili26 Sep
Chuo cha kidini chafungwa Kenya
10 years ago
BBCSwahili09 Dec
Al Jazeera yaihusisha Kenya na mauaji
10 years ago
BBCSwahili03 Jan
Mshukiwa wa mauaji Kenya na TZ afariki
10 years ago
Mtanzania03 Dec
Al-Shabaab wafanya mauaji ya kutisha Kenya
![Kundi la Al-shabaab](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/07/Kundi-la-Al-shabaab.jpg)
Kundi la Al-shabaab
MANDELA, Kenya
MAUAJI ya kutisha yameendelea kutikisa nchini Kenya baada ya jana asubuhi kundi la wanamgambo la Al-Shabaab kuua watu 36 katika machimbo ya mawe huko Koromey, Kaunti ya Mandera.
Watu waliouawa wote hawakuwa Waislamu na wengi wao wanatoka eneo la Chaka, Kiganjo katika Kaunti ya Nyeri.
Shambulio hilo baya lililotokea karibu na mpaka wa Somalia limekuja ikiwa ni wiki moja tu baada ya kundi hilo kuua watu wengine 28 kwenye kaunti hiyo.
Watu hao waliuawa baada...
11 years ago
BBCSwahili22 Jun
Mauaji mengine Kenya, 20 wauawa Wajir