Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maumivu yamnyima ushindi Hyvon

Mwanariadha wa Kenya Hyvon Ngetich ameshindwa kutwaa ubigwa wa mbio za marathoni ya Austin huko Texas.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Maajabu ya mwanariadha Hyvon Ngetich wa Kenya

“Nchi yangu haikunituma maili zaidi ya 5,000 kuanza mbio, bali ilinituma zaidi ya maili 5,000 kumaliza mbio,” hiyo ilikuwa ni kauli ya mwanariadha wa Tanzania, John Steven Akwari aliyoitoa mwaka 1968 baada ya kumaliza mbio za marathon katika michezo ya Olimpiki.

 

10 years ago

Vijimambo

MKENYA HYVON NGETICH AMALIZIA MARATHON KWA KUTAMBAA



Mwanariadha wa mbio ndefu Hyvon Ngetich alimaliza mita 50 za mwisho kwa kutambaa baada ya kuishiwa na nguvu akiwa karibu na mstari wa kumalizia.Ingawa mwanariadha wa masafa marefu kutoka Kenya Hyvon Ngetich hakufanikiwa kushinda mbio za masafa marefu za Austin mwaka huu bila shaka alifanikiwa kuteka nyoyo za watu kutokana na ujasiri wake wa kutambaa na kuhakikisha kuwa amemaliza mbio hizo.
Hyvon Ngetich mwenye umri wa miaka 29, aliishiwa na nguvu akiwa mita 50 kutoka kwenye mstari wa...

 

9 years ago

Mtanzania

Yanga yamnyima usingizi Kerr

kerr kazini simba 34JUDITH PETER NA ABDUCADO EMMANUEL DAR ES SALAAM

KOCHA Mkuu wa timu ya Simba, Dylan Kerr, amesema bado ana wakati mgumu wa kupanga kikosi cha kwanza kutokana na ubora na viwango vya wachezaji wake.

Kerr amekiri kuwa pambano la Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya watani wake Yanga litakalofanyika Uwanja wa Taifa,
Dar es Salaam Jumamosi hii litakuwa na upinzani tofauti na mechi ambazo tayari wamecheza.

Kuelekea mchezo huo wa aina yake, Simba itaingia uwanjani ikiwa imeshinda mechi zake tatu za...

 

11 years ago

Mwananchi

Al Ahly yamnyima usingizi Hans

Kocha wa Yanga, Hans Van Der Pluijm amesema haifikirii Komorozine ya Comoro kwani ni timu dhaifu na anachowaza sasa ni jinsi atakavyowakabili mabingwa watetezi Afrika, Al Ahly ya Misri.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mahakama yamnyima haki za tendo la ndoa

Mahakama nchini Uingereza imemzuia mwanamume mmoja kufanya tendo la ndoa na mke wake ambaye ana matatizo ya kiakili

 

9 years ago

BBCSwahili

Club Brugge yamnyima usingizi van Gaal

Louis van Gaal amesema presha ni kubwa mchezo dhidi ya Club Brugge katika hatua ya mtoano ligi ya mabingwa ulaya.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Bajeti ya maumivu

HATIMAYE Waziri wa Fedha na Uchumi, Saada Mkuya, juzi aliwasilisha Bajeti Kuu ya Serikali ambayo kwa mtazamo wa haraka haina jipya kwani imeendelea kuacha maumivu kwa mfanyakazi na mwananchi wa...

 

10 years ago

Mtanzania

Gwajima maumivu

Na Waandishi Wetu, Dar es Salaam
Ni maumivu. Ndivyo unavyoweza kusema baada ya Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima kutoka Hospitali ya TMJ alikokuwa amelazwa kwa siku tano kwa kutumia baiskeli ya wagonjwa (wheelchair) kwenda Kituo cha Polisi Oysterbay kuhojiwa kwa mara ya pili.
Askofu Gwajima, alipandishwa kwenye baiskeli hiyo, baada ya kupelekewa na mmoja wa wafuasi ambaye alikuwa amevalia mavazi ya kichungaji.
Wakati akipelekwa katika gari Askofu Gwajima, alionekana...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani