Maajabu ya mwanariadha Hyvon Ngetich wa Kenya
“Nchi yangu haikunituma maili zaidi ya 5,000 kuanza mbio, bali ilinituma zaidi ya maili 5,000 kumaliza mbio,†hiyo ilikuwa ni kauli ya mwanariadha wa Tanzania, John Steven Akwari aliyoitoa mwaka 1968 baada ya kumaliza mbio za marathon katika michezo ya Olimpiki.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/a3NuNObIX7Q/default.jpg)
MKENYA HYVON NGETICH AMALIZIA MARATHON KWA KUTAMBAA
Mwanariadha wa mbio ndefu Hyvon Ngetich alimaliza mita 50 za mwisho kwa kutambaa baada ya kuishiwa na nguvu akiwa karibu na mstari wa kumalizia.Ingawa mwanariadha wa masafa marefu kutoka Kenya Hyvon Ngetich hakufanikiwa kushinda mbio za masafa marefu za Austin mwaka huu bila shaka alifanikiwa kuteka nyoyo za watu kutokana na ujasiri wake wa kutambaa na kuhakikisha kuwa amemaliza mbio hizo.
Hyvon Ngetich mwenye umri wa miaka 29, aliishiwa na nguvu akiwa mita 50 kutoka kwenye mstari wa...
10 years ago
BBCSwahili20 Dec
Mwanariadha wa Kenya alitumia dawa
Mwanaridha wa mbio za marathon raia wa Kenya Rita Jeptoo amegunduliwa kuwa alitumia dawa zinazosisimua misuli.
10 years ago
BBCSwahili01 Nov
Mwanariadha wa kenya adaiwa kutumia dawa
Mwanariadha wa mbio za marathon kutoka kenya Rita Jeptoo amepatikana kuwa alitumia dawa za kusisimua misuli zilizopigwa marufuku
5 years ago
BBCSwahili03 Apr
Virusi vya corona: Mwanariadha wa Kenya Wilson Kipsang akamatwa kwa kulewa wakati wa amri ya kutotoka nje
Aliyekua bingwa wa mbio za marathon nchini Kenya Wilson Kipsang ameachiliwa kwa dhamana baada ya kushtakiwa kwa kukiuka amri ya kutotoka nje
10 years ago
BBCSwahili18 Feb
Maumivu yamnyima ushindi Hyvon
Mwanariadha wa Kenya Hyvon Ngetich ameshindwa kutwaa ubigwa wa mbio za marathoni ya Austin huko Texas.
10 years ago
BBCSwahili17 Feb
Ngetich apigana hadi mwisho marathon
Ujasiri wa mwanariadha wa Kenya katika mbio za marathon huko Texas, Hyvon Ngetich umemzawadia
10 years ago
Mwananchi01 Dec
Ni mwanariadha aliyeiteka dunia
Jina Dennis Kipruto Kimetto linaweza kuwa geni kwa wengi, lakini huyu ni mwanadamu wa aina yake katika riadha.
10 years ago
BBCSwahili08 Mar
Mwanariadha wa S Leone akamatwa UK
Mwanariadha wa mbio fupi kutoka Sierra Leone ambaye amekuwa akilala katika barabara za mji wa Uingereza huenda akafukuzwa
11 years ago
Mwananchi17 May
Mwanariadha wa kike achumbia msichana
Mwanariadha maarufu wa kike nchini Afrika Kusini, Caster Semenya haishi kuandamwa na visa, wakati huu akidaiwa kwamba amejipatia mchumba wa kike.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania