Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mawakala wapinga mgomo wa wapagazi

MGOMO uliotangazwa na Chama cha Wapagazi Tanzania (TPO) wa kugoma kutoa huduma kwa watalii katika Mlima Kilimanjaro na Mlima Meru, umeanza kuwaumiza vichwa mawakala wa shuguli za utalii katika mikoa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Serikali yazima mgomo wa wapagazi

SERIKALI imetangaza kusitisha mgomo wa wapagazi wa mlima Kilimanjaro, uliokuwa unatarajiwa kuanza kwa kushirikisha zaidi ya wapagazi 15,000 wa Mlima Kilimanjaro na Meru.

 

11 years ago

Mwananchi

Wapagazi K’njaro waandaa mgomo

Chama cha Wapagazi Kilimanjaro (Kiato), kimelishutumu Shirika la Tanzania Porters Organization(TPO), kwa hatua yake ya kutangaza mgomo nchi nzima, kikisema mgomo huo utavuruga sekta ya utalii.

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali yafanikiwa kuzima mgomo wa wapagazi Arusha

Serikali imefanikiwa kusitisha mgomo wa wapagazi uliotarajiwa kuanza leo ukiwashirikisha zaidi ya wapagazi 15,000 wa Mlima Kilimanjaro na Meru.

 

10 years ago

Dewji Blog

Mgomo wa wapiga debe na mawakala wa mabasi mjini Singida

DSC03459

Korongo kubwa lililopo katikati ya kituo kikuu cha mabasi yaendayo mikoani linalotishia usalama wa watumiaji wa kituo hicho pamoja na magari.

DSC03467

Baadhi ya mawe yaliyotegwa na mawakala na wapiga bede  kwenye lango la kuingilia kituo kikuu cha mabasi yaendayo mikoani cha mjini Singida, kwa lengo la kuishinikiza manispaa iweze kuboresha miundo mbinu iliyoharibiwa na mvua zinazoendela kunyesha hivi sasa. DSC03472 DSC03488 Baadhi ya askari polisi waliofika kituo kikuu cha mabasi yaendayo mikoani kutuliza mgomo...

 

10 years ago

Mwananchi

Serikali yamalizana na wapagazi

Serikali imefikia maazimio saba yatakayowawezesha waongoza utalii na wapagazi kupata ujira wao stahiki na kwa wakati.

 

9 years ago

Mwananchi

Mishahara ya wapagazi, waongoza watalii yapanda

Hatimaye mgogoro wa malipo ya waongoza na wabeba mizigo ya watalii umemalizika, baada ya mawakala wa utalii na wadau kufikia makubaliano ya kuwaongezea ujira kuanzia Januari mosi mwakani.

 

11 years ago

Mwananchi

Wapagazi Meru, Kilimanjaro kugoma Machi 7

Wapagazi wa Mlima Kilimanjaro na Meru, wametoa siku 30 kwa kampuni zinazopokea watalii wanaopanda milima hiyo kuanza kuwalipa Sh15,000 kwa siku, vinginevyo watagoma.

 

10 years ago

Vijimambo

VYAMA VYA WAONGOZA WATALII NA WAPAGAZI TANZANIA WATOA SIKU 30 KWA SERIKALI KUSHUGHULIKIA MADAI YAO.

Mwenyekiti wa Chama cha waongoza watalii mkoa wa Kilimanjaro (KGA) Respicius Baitwa akizungumza katika mkutano wa vyama vinayofanya shughuli za Utalii katika hifadhi za taifa juu ya kusudio la kutaka kusitisha kutoa huduma katika hifadhi kutokana na malalamiko yao kutofanyiwa kazi hadi sasa.Baadhi ya wajumbe walioshiriki mkutano huo uliofanyika katika Hotel ya Uhuru mjini Moshi.
Katibu wa KGA ,James Mong'ateko akizungumza katika mkutano huo.Wajumbe wengine wa vyama vinayofanya shughuli za...

 

11 years ago

Habarileo

Mawakala marufuku kuajiri

SERIKALI imepiga marufuku utaratibu wa mawakala kuwaajiri wafanyakazi wanaowatafutia kazi. Aidha, kampuni na mawakala husika waliopo katika utaratibu huu kwa sasa wanapaswa kuwahamisha wafanyakazi waliokodishwa kutoka kwa wakala kwenda kwa kampuni husika kazi inayotakiwa kufanyika ndani ya mwezi mmoja.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani