Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali yamalizana na wapagazi

Serikali imefikia maazimio saba yatakayowawezesha waongoza utalii na wapagazi kupata ujira wao stahiki na kwa wakati.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

11 years ago

Habarileo

Serikali yazima mgomo wa wapagazi

SERIKALI imetangaza kusitisha mgomo wa wapagazi wa mlima Kilimanjaro, uliokuwa unatarajiwa kuanza kwa kushirikisha zaidi ya wapagazi 15,000 wa Mlima Kilimanjaro na Meru.

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali yafanikiwa kuzima mgomo wa wapagazi Arusha

Serikali imefanikiwa kusitisha mgomo wa wapagazi uliotarajiwa kuanza leo ukiwashirikisha zaidi ya wapagazi 15,000 wa Mlima Kilimanjaro na Meru.

 

10 years ago

Vijimambo

VYAMA VYA WAONGOZA WATALII NA WAPAGAZI TANZANIA WATOA SIKU 30 KWA SERIKALI KUSHUGHULIKIA MADAI YAO.

Mwenyekiti wa Chama cha waongoza watalii mkoa wa Kilimanjaro (KGA) Respicius Baitwa akizungumza katika mkutano wa vyama vinayofanya shughuli za Utalii katika hifadhi za taifa juu ya kusudio la kutaka kusitisha kutoa huduma katika hifadhi kutokana na malalamiko yao kutofanyiwa kazi hadi sasa.Baadhi ya wajumbe walioshiriki mkutano huo uliofanyika katika Hotel ya Uhuru mjini Moshi.
Katibu wa KGA ,James Mong'ateko akizungumza katika mkutano huo.Wajumbe wengine wa vyama vinayofanya shughuli za...

 

11 years ago

GPL

Yanga yamalizana na mrithi wa Twite

Beki wa Yanga, Mbuyu Twite. Na Hans Mloli
DALILI za wazi za Yanga kuonyesha kukata tamaa ya kuendelea kuwa na beki wake, Mnyarwanda Mbuyu Twite, zimefikia kwenye kiwango cha juu baada ya kukubali kuachia aondoke kwa kuwa imeshindwa dau analohitaji, lakini sasa imeenda mbele zaidi kwa kutafuta mrithi wake mapema. Twite amekuwa akiwaniwa na Azam FC kwa muda mrefu na tayari ameshafanya mazungumo na viongozi wa klabu zote, lakini...

 

10 years ago

GPL

Azam yamalizana na Stewart, atua na mpishi wake

Kocha mpya wa Azam, Muingereza Stewart Hall. Na Hans Mloli, Dar es Salaam
AZAM FC inatarajia kuingia mkataba na kocha wake mpya, Muingereza, Stewart Hall leo lakini kingine kipya ni kwamba kocha huyo atatua na mpishi wake maalum wa timu pamoja na benchi zima la ufundi kutoka nchini Uingereza. Taarifa zilizolifikia Championi Jumatatu kutoka kwa mmoja wa mabosi wa juu wa Azam, zimeeleza kuwa Stewart ameamua kufanya hivyo kwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Wapagazi K’njaro waandaa mgomo

Chama cha Wapagazi Kilimanjaro (Kiato), kimelishutumu Shirika la Tanzania Porters Organization(TPO), kwa hatua yake ya kutangaza mgomo nchi nzima, kikisema mgomo huo utavuruga sekta ya utalii.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mawakala wapinga mgomo wa wapagazi

MGOMO uliotangazwa na Chama cha Wapagazi Tanzania (TPO) wa kugoma kutoa huduma kwa watalii katika Mlima Kilimanjaro na Mlima Meru, umeanza kuwaumiza vichwa mawakala wa shuguli za utalii katika mikoa...

 

11 years ago

Mwananchi

Wapagazi Meru, Kilimanjaro kugoma Machi 7

Wapagazi wa Mlima Kilimanjaro na Meru, wametoa siku 30 kwa kampuni zinazopokea watalii wanaopanda milima hiyo kuanza kuwalipa Sh15,000 kwa siku, vinginevyo watagoma.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani