Azam yamalizana na Stewart, atua na mpishi wake
![](http://api.ning.com:80/files/EWMw8iXl*iVn57JuI46d47ZC53qi7by8gLk7ujCRCip0ViGS9xTO4iAlctWYzqbRoTYp3z57lJjRfLOLAKzvSnMc*OMypIed/jjjj.jpg)
Kocha mpya wa Azam, Muingereza Stewart Hall. Na Hans Mloli, Dar es Salaam AZAM FC inatarajia kuingia mkataba na kocha wake mpya, Muingereza, Stewart Hall leo lakini kingine kipya ni kwamba kocha huyo atatua na mpishi wake maalum wa timu pamoja na benchi zima la ufundi kutoka nchini Uingereza. Taarifa zilizolifikia Championi Jumatatu kutoka kwa mmoja wa mabosi wa juu wa Azam, zimeeleza kuwa Stewart ameamua kufanya hivyo kwa...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi16 Sep
Stewart aiponda Azam FC
9 years ago
Mtanzania14 Sep
Stewart agundua dosari Azam
NA MSHAMU NGOJWIKE, DAR ES SALAAM
KOCHA Mkuu wa Azam FC, Stewart Hall raia wa Uingereza, amegundua dosari ndani ya kikosi chake huku akieleza kuwa hajaridhishwa na ubora wa nyota wake kutokana na uwezo walioonyesha katika mechi ya ufunguzi wa michuano ya Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Tanzania Prisons.
Azam ambao wameanza mkakati wa kuwania ubingwa wa Ligi Kuu Bara baada ya kushindwa kuutetea msimu uliopita, juzi waliwakaribisha Prisons kwenye Uwanja wa Azam, Complex na kufanikiwa kuibuka...
11 years ago
Mwananchi05 Jul
Chuji atua Azam
11 years ago
Tanzania Daima30 Apr
Kavumbagu atua Azam FC
MABINGWA wa soka Tanzania Bara, Azam FC, wamemtwaa mshambuliaji mahiri wa Yanga, Didier Kavumbagu na kumwaga wino kukipiga Azam Complex kwa mwaka mmoja. Kavumbagu alitua Yanga mwaka 2013 akitokea Atletico...
11 years ago
CloudsFM03 Jul
ATHUMANI IDDI 'CHUJI' ATUA AZAM FC
Aliyekuwa kiungo wa Yanga SC, Athumani Iddi 'Chuji' akiwa mzoezini na klabu bingwa ya Tanzania Bara, Azam FC asubuhi ya leo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam.
Chuji akifanya yake leo mazoezini.
PICHA NA BINZUBEIRY
10 years ago
Mwananchi13 Nov
Wawa atua Azam, Kiemba agomewa
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/v6wcuBb1nvsY*NzdpX3PpIAr8BHFkeoE98wR0LzG0vzn3You91v*Y4PUsEzSzD1XjfEtjv4lhk6F39XWsnNhZSHTIX8-ftDs/CHARLESHIRARY.jpg)
CHARLES HILLARY ATUA RASMI AZAM TV
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LoK3NXOIwpGx9JpJ7m7KyRErXfInaUu7cAB9B0uXK3vw3fy8sWXD0kVR0RQWoHP8mPPEWWJbOKswZTIH8-xffeSCQxdE07GZ/domayo.jpg?width=650)
KIUNGO FRANK DOMAYO NAYE ATUA AZAM FC
10 years ago
Mwananchi28 May
Kim anukia Simba, Hall atua Azam