Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Madereva waula, Serikali yamalizana nao

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Serikali yamalizana na wapagazi

Serikali imefikia maazimio saba yatakayowawezesha waongoza utalii na wapagazi kupata ujira wao stahiki na kwa wakati.

 

10 years ago

Dewji Blog

Ugonjwa wa Ebola na jitihada za Serikali katika kupambana nao

PIX 1

Rais Jakaya Mrisho Kikwete (kulia) akisalimiana na Wauguzi waliovalia mavazi maalumu tayari kutoa huduma kwa  abiria  atayekutwa na ugonjwa wa Ebola  mara atapowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam.

Na Benedict Liwenga, Maelezo-DSM

Ebola ni ugonjwa unaosababishwa na virusi vya homa ya hemoraji ikimaanisha ugonjwa wa kumwagika damu bila kuganda (Viral Haemorrhagic Fevers).

Kwa mujibu wa taarifa mbalimbali, ugonjwa huu ni hatari na unasababishwa na...

 

11 years ago

GPL

Yanga yamalizana na mrithi wa Twite

Beki wa Yanga, Mbuyu Twite. Na Hans Mloli
DALILI za wazi za Yanga kuonyesha kukata tamaa ya kuendelea kuwa na beki wake, Mnyarwanda Mbuyu Twite, zimefikia kwenye kiwango cha juu baada ya kukubali kuachia aondoke kwa kuwa imeshindwa dau analohitaji, lakini sasa imeenda mbele zaidi kwa kutafuta mrithi wake mapema. Twite amekuwa akiwaniwa na Azam FC kwa muda mrefu na tayari ameshafanya mazungumo na viongozi wa klabu zote, lakini...

 

10 years ago

Mwananchi

Vita ya Serikali, madereva mbichi

>Vita ya Serikali na madereva inaonekana bado haijapata suluhisho baada ya tamko lililotolewa jana kupingwa vikali na waendeshaji hao wa mabasi ya abiria wakidai limejaa siasa.

 

10 years ago

GPL

Azam yamalizana na Stewart, atua na mpishi wake

Kocha mpya wa Azam, Muingereza Stewart Hall. Na Hans Mloli, Dar es Salaam
AZAM FC inatarajia kuingia mkataba na kocha wake mpya, Muingereza, Stewart Hall leo lakini kingine kipya ni kwamba kocha huyo atatua na mpishi wake maalum wa timu pamoja na benchi zima la ufundi kutoka nchini Uingereza. Taarifa zilizolifikia Championi Jumatatu kutoka kwa mmoja wa mabosi wa juu wa Azam, zimeeleza kuwa Stewart ameamua kufanya hivyo kwa...

 

9 years ago

StarTV

Serikali kupima watumishi, madereva, wanafunzi

 

Serikali inatarajia kuanza kupima watumishi wa umma, madereva na wanafunzi kama wanatumia dawa za kulevya ili kukabiliana na changamoto zinazosababishwa na utumiaji wa dawa hizo katika jamii.

Dawa za kulevya zinadaiwa kuchangia kudumaza nguvu kazi ya Taifa kutokana na vijana kujiingiza katika utumiaji wa dawa hizo na hivyo kusababisha kukosekana kwa raslimali watu na uchumi kusuasua.

 

Kuongezeka kwa matumizi ya dawa za kulevya leo ni ishara hatari ya kwamba jamii yetu ina kasoro, licha ya...

 

10 years ago

Habarileo

Serikali yarejesha shule kwa madereva

Waziri wa Kazi na Ajira Gaudensia Kabaka akizungumza na madereva katika kituo cha mabasi ya kwenda mkoani cha Ubungo (UBT) wakati wa mgomo wa madereva wa mabasi.SERIKALI imerejesha mafunzo ya madereva kila baada ya miaka mitatu wakati wa kumalizika kwa muda wa leseni zao, huku ikifafanua kuwa elimu watakayoipata ina umuhimu katika kazi zao, kutokana na mabadiliko mbalimbali yanayotokea katika sekta hiyo.

 

9 years ago

Michuzi

SERIKALI YAWATAKA MADEREVA WA BRT KUZINGATIA MAFUNZO

 Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Said Meck Sadiki akizungumza katika uzinduzi wa semina ya mafunzo ya madereva wa mabasi yaendayo haraka (BRT) leo jijini Dar es salaam,  juu ya kuanza kwa kipindi cha mpito cha mradi huo Oktoba mwaka huu, Semina itakayofanyika Agosti 23 mwaka huu jijini Dar es salaam. Waziri Mkuu, tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na mgeni rasmi  Hawa Ghasia akizungumza katika uzinduzi wa mafunzo ya madereva wa mradi wa mabasi yaendayo haraka (BRT) waliokaa mbele, kushoto...

 

10 years ago

Dewji Blog

Serikali yawapiga msasa madereva wanaosafirisha kemikali

1

Mkemia Mkuu wa Serikali Prof. Samweli Manyele akifungua mafunzo ya siku mbili kwa mdereva wa magari yanayosafirisha kemikali ndani na nje ya nchi, mafunzo yanayolenga kuwajengea uwezo wa usafirishaji salama wa kemikali za viwandani na Majumbani. Katikati ni Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara  Bw. George Kasinga  toka ofisi hiyo na wa mwisho kulia ni Meneja wa Kanda ya Mashariki Bw. Daniel Ndiyo.

Frank Mvungi-Maelezo

Serikali inaendelea kuimarisha mifumo yausafirishaji wa Kemikali ndani na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani