Mawakala marufuku kuajiri
SERIKALI imepiga marufuku utaratibu wa mawakala kuwaajiri wafanyakazi wanaowatafutia kazi. Aidha, kampuni na mawakala husika waliopo katika utaratibu huu kwa sasa wanapaswa kuwahamisha wafanyakazi waliokodishwa kutoka kwa wakala kwenda kwa kampuni husika kazi inayotakiwa kufanyika ndani ya mwezi mmoja.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo11 Mar
‘Marufuku mawakala wa ajira kuajiri’
SERIKALI imesisitiza kuwa suala la kupiga marufuku utaratibu wa mawakala wa ajira, kuwaajiri wafanyakazi wanaowatafutia kazi bado liko palepale. Akizungumza leo, Msemaji wa Wizara ya Kazi na Ajira, Ridhiwan Wema alisema kwa sasa wizara iko katika hatua ya kuchambua maombi ya usajili wa kampuni na wakala na kuwa baada ya hapo watachukua hatua stahiki kwa watakaokaidi agizo la Serikali.
10 years ago
Dewji Blog16 Sep
TBS kuajiri watumishi 200
Afisa Uhusiano wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS) Bi. Roida Andusamile akitoa wito kwa waandishi wa Habari (hawapo pichani) kuendelea kuelemisha umma kuhusu madhara ya matumizi ya nguo za mdani za mtumba. Kulia ni Kaimu Mkurugenzi Udhibiti Ubora wa Shirika hilo Bi. Mary Meela.
Frank Mvungi-Maelezo
Shirika la viwango Tanzania (TBS) linatarajia kuajiri watumishi 200 katika harakati za kuimarisha utendaji wa shirika hilo.
Hayo yamesemwa na Kaimu Mkurugenzi wa udhibiti ubora wa shirika hilo...
10 years ago
Mwananchi21 Feb
Serikali kuajiri walimu 35,000 sekondari
9 years ago
Mwananchi25 Dec
TCRA: Acheni kuajiri watangazaji kanjanja
9 years ago
Mwananchi30 Dec
Kigwangalla atoa miezi 3 kuajiri watumishi
9 years ago
Habarileo07 Dec
MUHAS waomba kuajiri watumishi kampasi kuu
CHUO Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi, Muhimbili (MUHAS) kimeiomba serikali kutoa kibali kianze kuajiri watumishi wa Kampasi Kuu ya Mloganzila nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam katika mwaka huu wa fedha.
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-V5Ov98U2v1s/VOdugM4LC8I/AAAAAAAHE2Y/0RZJ6cVPhs4/s72-c/IMG_4991.jpg)
SERIKALI KUAJIRI WALIMU 35,000 - WAZIRI MKUU
![](http://1.bp.blogspot.com/-V5Ov98U2v1s/VOdugM4LC8I/AAAAAAAHE2Y/0RZJ6cVPhs4/s1600/IMG_4991.jpg)
Ametoa kauli hiyo jana jioni (Alhamisi, Februari 19, 2015) wakati akizungumza na mamia ya wakazi wa kata ya Kiwere, mara baada ya kukagua ujenzi wa maabara na kuzindua nyumba nne za walimu kwenye shule ya sekondari ya Kiwere, tarafa ya Kalenga, wilayani Iringa.
Waziri Mkuu alisema walimu hao watagawanywa kwenye shule kulingana...
9 years ago
Habarileo12 Sep
ZFA yazibana timu kuajiri makocha wa makipa
CHAMA cha Soka Zanzibar (ZFA) Taifa kimezitaka timu kujipanga kuwa na makocha wa makipa ili kila timu iwe na mwalimu atakayeshughulikia makipa pekee.
11 years ago
Mwananchi20 Apr
Serikali kuajiri wapya 11,000 sekta ya afya