Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TCRA: Acheni kuajiri watangazaji kanjanja

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), imevitaka vyombo vya habari vya utangazaji, kuajiri watu wanaojua maadili ya kazi yao ili kulinda heshima ya sekta ya utangazaji.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Angela Kanjanja afariki dunia

>Mchezaji wa Timu ya Taifa ya Wanawake ‘Twiga Stars’ Angela Kanjanja maarufu ‘Angela Majanga’ amefariki dunia usiku wa kuamkia jana kwenye Hospitali ya Wilaya ya Mwananyamala.

 

11 years ago

Tanzania Daima

CCM acheni kupiga mayowe, acheni wananchi waamue

MAPENDEKEZO ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba inayoongozwa na  Jaji Joseph Warioba, yanaonekana kuwatia kiwewe baadhi ya viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliopo visiwani Zanzibar. Ukizisikiliza kauli zao juu...

 

11 years ago

Habarileo

Mawakala marufuku kuajiri

SERIKALI imepiga marufuku utaratibu wa mawakala kuwaajiri wafanyakazi wanaowatafutia kazi. Aidha, kampuni na mawakala husika waliopo katika utaratibu huu kwa sasa wanapaswa kuwahamisha wafanyakazi waliokodishwa kutoka kwa wakala kwenda kwa kampuni husika kazi inayotakiwa kufanyika ndani ya mwezi mmoja.

 

11 years ago

Habarileo

‘Marufuku mawakala wa ajira kuajiri’

SERIKALI imesisitiza kuwa suala la kupiga marufuku utaratibu wa mawakala wa ajira, kuwaajiri wafanyakazi wanaowatafutia kazi bado liko palepale. Akizungumza leo, Msemaji wa Wizara ya Kazi na Ajira, Ridhiwan Wema alisema kwa sasa wizara iko katika hatua ya kuchambua maombi ya usajili wa kampuni na wakala na kuwa baada ya hapo watachukua hatua stahiki kwa watakaokaidi agizo la Serikali.

 

10 years ago

Dewji Blog

TBS kuajiri watumishi 200

22

Afisa Uhusiano wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS) Bi. Roida Andusamile akitoa wito kwa waandishi wa Habari (hawapo pichani) kuendelea kuelemisha umma kuhusu madhara ya matumizi ya nguo za mdani za mtumba. Kulia ni Kaimu Mkurugenzi Udhibiti Ubora wa Shirika hilo Bi. Mary Meela.

Frank Mvungi-Maelezo

Shirika la viwango Tanzania (TBS) linatarajia kuajiri watumishi 200 katika harakati za kuimarisha utendaji wa shirika hilo.

Hayo yamesemwa na Kaimu Mkurugenzi wa udhibiti ubora wa shirika hilo...

 

10 years ago

Habarileo

Watangazaji waiponza Times Fm

KAMATI ya Maudhui ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), imetoa onyo kali kwa kituo cha Redio cha Times Fm, pamoja na faini ya kulipa kiasi cha Sh milioni 1, kutokana na kukiuka vifungu vya maadili na kanuni za utangazaji, vilivyopo katika leseni ya utangazaji inayotolewa na mamlaka hiyo.

 

9 years ago

Mwananchi

Kigwangalla atoa miezi 3 kuajiri watumishi

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk Hamisi Kigwangalla ameuagiza uongozi wa Kituo cha Afya cha Kambarage mjini Shinyanga kuhakikisha unapata watumishi wa kutosha ndani ya kipindi cha miezi mitatu.

 

10 years ago

Mwananchi

Serikali kuajiri walimu 35,000 sekondari

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda amesema Serikali imepanga kuajiri walimu zaidi ya 35,000 kwa ajili ya shule za sekondari ili kukabiliana na tatizo la uhaba wa walimu nchini.

 

10 years ago

BBCSwahili

Wanafunzi watangazaji katika BBC

Kila mwaka BBC hutoa fursa kwa wanafunzi wa kati ya miaka 11 na miaka 16 walio na ndoto ya kuwa waandishi wa habari kupata mafunzo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani