Mawaziri Wassira, Kebwe wabwagwa
MAWAZIRI wawili wa Serikali ya Awamu ya Nne, wamebwagwa katika kinyang’anyiro cha ubunge baada ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kuchukua majimbo ya Bunda Mjini na Serengeti.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo03 Aug
Mawaziri wabwagwa
MATOKEO ya awali ya kura za maoni kwa wagombea udiwani na ubunge kupitia chama tawala, yameanza kuanikwa, huku yakionesha kuwa baadhi ya mawaziri, wabunge na watendaji katika chama na serikali wameangushwa.
11 years ago
Mwananchi20 Dec
Mawaziri 4 wabwagwa sakata la Tokomeza Ujangili
11 years ago
Habarileo07 Jun
Waliomshitaki Pinda wabwagwa
MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imetupilia mbali kesi ya kikatiba iliyokuwa inamkabili Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, kwa kuwa waliofungua kesi hiyo hawana haki kisheria.
11 years ago
BBCSwahili14 Dec
Arsenal wabwagwa na Man City 6-3
10 years ago
Tanzania Daima12 Sep
Dk. Kebwe azindua ‘Tuimarishe Afya’
NAIBU Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Kebwe Stephen, amezindua mradi ujulikanao kama ‘Tuimarishe Afya’ mkoani hapa, akisema Tanzania inashika nafasi ya pili barani Afrika katika usambazaji dawa...
9 years ago
Mwananchi29 Oct
Dk Kebwe kupinga matokeo mahakamani
9 years ago
Mtanzania25 Aug
Dk. Kebwe afurahia Ukawa kutoelewana Serengeti
NA BENJAMIN MASESE
MGOMBEA ubunge Serengeti kwa tiketi ya CCM, Dk. Steven Kebwe amesema anafurahia kuona Ukawa ukishindwa kuelewana na chama kinachosimamisha mgombea Serengeti.
Amesema hadi sasa vyama hivyo vipo katika mvutano mkubwa kati ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Chama cha NCCR Mageuzi na Chama cha Wananchi (CUF), kitendo ambacho kimesababisha kuwapo makundi.
Akizungumza na MTANZANIA jana kwa simu kuhusu siku anayotarajia kuzindua kampeni jimboni humo, Dk....
11 years ago
TheCitizen10 May
20,000 plus fistula cases treated in a year: Kebwe
11 years ago
Tanzania Daima27 Mar
Kebwe: Ustawi wa jamii si kusuluhisha ndoa pekee
NAIBU Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Kebwe Stephe Kebwe, amesema ustawi wa jamii haupo kwa ajili ya kusuluhisha masuala ya ndoa pekee, bali kuna mambo mbalimbali kama msongo...