Mayunga EPK Episode 1
![](http://img.youtube.com/vi/UO8cjgTOmP4/default.jpg)
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/2Jzu9m5No5U/default.jpg)
9 years ago
Mtanzania24 Aug
Mayunga Nalimi afiwa na mama
MSHINDI wa shindano ya muziki la Airtel Trace Star, Nalimi Mayunga, amefiwa na mama yake aliyekuwa akiishi mkoani Tabora.
Katika ukurasa wake ya facebook msanii huyo alituma picha akiwa katika basi la kuelekea Tabora na maneno yalisomeka kwamba: “Mwenyezi Mungu tunakuomba utufanyie wepesi katika safari yetu hii kuelekea Tabora natuweze kumuhifadhi salama mama yangu inshallah na ninakushukuru kwa kila jambo unipangialo kwani ni wewe pekee unayejua kesho ya mwanadamu na hatima yake, mpokee...
9 years ago
Bongo520 Nov
Mayunga awasili Universal Studios, Marekani
![12071061_988050144600464_876144960_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/12071061_988050144600464_876144960_n-300x194.jpg)
Mshindi wa shindano la Airtel Trace Music Star, Mayunga ameonesha furaha yake baada ya kufika kwa mara kwanza kwenye ofisi za Universal Studios, Hollywood nchini Marekani.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Mayunga alipost picha na kuandika:
Kwa mara ya kwanza ndani ya UNIVERSAL STUDIOS… HOLLYWOOD OOW asante sana mungu sante sana @Airtel Trace music star pia asante sans watu wangu wa zuri.Unajuwa nini usiache mtu yeyote akusimamishie ndoto zako kwa sababu nilikuwa na ndoto kwamba sikumoja...
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/GeVUGEaHeRE/default.jpg)
Mpigie kura Kijana Mayunga katika #‎AirtelTRACEStar
Video link, Instagram: https://instagram.com/p/0XCapjGBUb/?taken-by=airtel_tanzania
9 years ago
Mtanzania05 Jan
Dk. Mayunga: Viwanja 1200, 000 havina hati
NA KOKU DAVID, DAR ES SALAAM
NAIBU Katibu Mkuu wa Wizara Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dk. Sellasie Mayunga amesema kati ya viwanja 1,816,009, vilivyopimwa kati ya hivyo vyenye hati ni 586,000 tu.
Akizungumza na waandishi wa habari, Dar es salaam jana kabla ya makabidhiano ya ofisi ya Naibu Katibu Mkuu mpya, Dk. Moses Kusiluka ambaye hata hivyo hakuhudhuria makabidhiano hayo, Dk. Mayunga alisema ufinyu wa bajeti katika wizara hiyo, unachangia kuzorota kwa baadhi ya kazi, ingawa kuna...
9 years ago
Bongo502 Dec
Akon amenipa mwanga mkubwa kimuziki – Mayunga
![Pic 3](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/Pic-3-300x194.jpg)
Mshindi wa Airtel Trace Music Stars, Mayunga amesema kukutana na Akon nchini Marekani kumempa mwanga kimuziki.
Mayunga akisalimiana na Mkurugenzi wa mawasiliano wa Airtel Bi Beatrice Singano Malya
Muimbaji huyo aliyerejea nchini kutoka Marekani, alikutana na Akon nyumbani kwake Los Angeles na kurekodi naye wimbo.
Akiwa huko, Mayunga amesema alipata mafunzo mengi ya muziki.
“Fursa hii imenipa mwanga zaidi katika namna ya kufikiri na kujipanga ili kuzifikia ndoto zangu katika tasnia ya...
9 years ago
Mtanzania17 Nov
Nalimi Mayunga: Ndoto yangu kimataifa imetimia
NA KOKU DAVID
MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Nalimi Mayunga ambaye ni mshindi wa shindano la ‘Airtel Trace Music Stars Afrika’, amesema hatawaangusha Watanzania na kwamba ataipeperusha vizuri bendera ya Tanzania nchini Marekani.
Msanii huyo ameondoka jana kuelekea nchini Marekani ambako atafanya kazi na nguli wa muziki wa Rnb duniani, Aliaume Damala ‘Akon’ na atakaa huko kwa wiki moja.
Akizungumza jijini Dar es Salaam kabla ya kuondoka, Mayunga alisema kuwa ndoto yake ya kufanya kazi ya...