Mbaroni kwa kusambaza ujumbe wa WhatsApp
Sheria ya makosa ya mtandao ya mwaka 2015 imebisha hodi mjini Moshi baada ya mgombea Udiwani kata ya Soweto, Collins Mayyutta kushitakiwa kwa kosa linaloangukia chini ya sheria hiyo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo08 Jan
WHATSAPP YANUNJA REKODI YA "UJUMBE"
![](http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/660/amz/worldservice/live/assets/images/2014/11/10/141110112420_whatsapp_640x360_afp_nocredit.jpg)
10 years ago
BBCSwahili07 Jan
Whatsapp yavunja rekodi ya 'ujumbe'
Kila siku zaidi ujumbe billioni 30 za mtandao wa WhatsApp hutumwa kulingana na takwimu mpya zilizotolewa
10 years ago
BBCSwahili20 Mar
Ujumbe wa WhatsApp wasababisha talaka
Mwanamume mmoja nchini Saudia amempa talaka mkewe kutokana na ujumbe wake katika mtandao wa WhatsApp.
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-Tp0ASyzxAJo/VhYZuuybTuI/AAAAAAAH9jQ/N8fmWjaXhSc/s72-c/y0KrpoL8.png)
DW YAKANUSHA UJUMBE UNAOSAMBAA FACEBOOK NA WHATSAPP
![](http://1.bp.blogspot.com/-Tp0ASyzxAJo/VhYZuuybTuI/AAAAAAAH9jQ/N8fmWjaXhSc/s200/y0KrpoL8.png)
Kuna ujumbe unaosambazwa kwa njia wa Whatsapp katika mitandao ya kijamii kwamba DW inakusanya maoni kuhusu wagombea wawili wakuu wa uchaguzi wa Tanzania, John Magufuli wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Edward Lowassa anayewakilisha Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA). Tungependa kuwajulisha hatufanyi utafiti wowote wa maoni kuhusu wagombea hao.
10 years ago
Bongo507 Nov
Whatsapp yaongeza alama ya kuonesha ujumbe umesomwa na muda uliosomwa
Whatsapp wamewapunguzia sababu ya kujitetea wale wote wenye tabia za kutojibu message kwa kisingizio kuwa hawakuziona hata kama zilionesha tiki mbili kuashiaria zimefika. Sasa Whats App imeongeza alama ya kuonesha kuwa ujumbe umesomwa na muda ambao umesomwa. Kuanzia sasa ujumbe ambao tayari umepokelewa na kusomwa utakuwa unaonesha tiki mbili za blue upande wa kulia chini […]
5 years ago
MichuziSBL waiunga mkono Wizara ya Afya kusambaza ujumbe kuhusu Covid-19
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-hVWCzik_Sg0/VIBvd5XykVI/AAAAAAAG1Ro/dByxP8Zr2D0/s72-c/001.CHALINZE%2B%2BMEDIA.jpg)
MBUNGE WA CHALINZE ATOA WITO KWA MAKAMBUNI YA MAWASILIANO KUSAMBAZA HUDUMA KWA WATEJA WAKE
![](http://2.bp.blogspot.com/-hVWCzik_Sg0/VIBvd5XykVI/AAAAAAAG1Ro/dByxP8Zr2D0/s1600/001.CHALINZE%2B%2BMEDIA.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-mfQsFKDwG0I/VIBvd2T99mI/AAAAAAAG1Rk/7uD7fZKY6QY/s1600/002.CHALINZE%2BMEDIA.jpg)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/UxG8FbEp4zYBVQBdr3skIgqcwM--jdmipehh4JSPDTEN2xI-TDCU3eDyqOXgl4tQpN33S1JLJtjGYEXq1Y7aUA-q7B2si*by/1001.CHALINZEMEDIA.jpg?width=650)
MBUNGE WA CHALINZE ATOA WITO KWA MAKAMPUNI YA MAWASILIANO KUSAMBAZA HUDUMA KWA WATEJA WAKE
 Mbunge wa Jimbo la Chalinze mkoani Pwani Mh. Ridhiwani Kikwete (kushoto) akikata utepe kuashiria uzinduzi wa duka jipya la Vodacom Tanzania lililopo Chalinze Mjini. Katikati ni Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania Matina Nkurlu (kulia) na Mkuu wa Idara ya Uuzaji na usambazaji bidhaa wa kampuni hiyo Upendo Richard. Hafla hiyo imefanyika leo mkoani humo.… ...
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-Y-Y9ifUGtHo/U9ARugrHlKI/AAAAAAAF5R0/idyh0jccGuU/s72-c/unnamed+(23).jpg)
WAKUSUDIA KUSAMBAZA HUDUMA YA MAKTABA KWA WENGI
Baada ya kuridhishwa na matumizi mazuri na mafanikio makubwa ya Maktaba yao ya kwanza waliyoifungua mwaka 2009 katika kijiji cha Ngongongare Mkoani Arusha, Taasisis isiyo ya kiserikali ya The Crawford Smith Foundation yenye makazi yake nchini Marekani na ambayo ndiyo inayosimamia mradi wa uanzishwa na uendeshaji wa Maktaba hususani katika maeneo ya vijijini, sasa inakusudia kujenga maktaba nyingine sita katika maeneo mbalimbali nchini Tanzania. Maktaba hiyo ya kwanza...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania