Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MBIO ZA MBUZI ZA HISANI ZATIMUA VUMBI JIJINI DAR

Mbuzi wakitimua mbio ili kumpata mshindi wa shindano lililopewa jina la ‘The Kilitime Stakes’ lililodhaminiwa kampuni ya Bia Tanzania (TBL), wakati wa mashindano ya mwaka huu ya mbio za mbuzi jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Mbuzi wakishindana katika mbio za  ‘the Toyota value+ grand national’ wakati wa mashindano ya mwaka huu ya mbio za mbuzi za hisani  jijini Dar es Salaam. Mbio hizo...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Tigo yadhamini mashindano ya mbio za Mbuzi jijini Dar

4

Vijana wakikimbiza Mbuzi ili kupata mshindi wa mbio hizo wakati wa tamasha la mbio za Mbuzi (Goat Race) lillilofanyika Dar es Salaam.

3

Vijana wakiingiza Mbuzi katika eneo la kukimbilia wakati wa tamasha la mbio za Mbuzi (Goat Race) lilofanyika jijini Dar es Salaam.

6

Meneja Mawasiliano wa Kampuni ya Simu za mkononi ya Tigo John Wanyancha (kushoto) akikabidhi hundi kwa mmiliki wa Mbuzi aliyeshinda, Mark Golding kutoka kampuni ya PM Group.

1

Meneja Mawasiliano wa Kampuni ya simu za mkononi ya...

 

11 years ago

Dewji Blog

Mashindano ya mbio za Mbuzi “Blue Smilerace” kwa udhamini wa Tigo yafana jijini Dar

DSC_0475

Mbuzi wakishindana kwenye mbio za Mbuzi zilizopewa jina la “blue smilerace” zilizodhaminiwa na kampuni ya mawasiliano ya simu za mikononi Tigo.

DSC_0822

Mkurugenzi wa kampuni ya ya mawasiliano ya simu za mikononi ya Tigo Bw. Diego Gutierrez akimkabidhi cheti cha mchango wa hisani kwa  Meneja wa Mawasiliano wa CCBRT Bi.Alexandra Cairns kwenye mashindano ya mbio za mbuzi yaliyofana mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam.

DSC_0833

Mkurugenzi wa kampuni ya mawasiliano simu za mikononi ya Tigo Bw. Diego...

 

11 years ago

GPL

MBUZI WASABABISHA KERO KWA WAENDESHA MAGARI KAWE JIJINI DAR

Mbuzi wakiwa barabarani maeneo ya Kawe, Dar .
Gari likijaribu kumkwepa mbuzi maeneo ya Kawe, Dar.…

 

9 years ago

Michuzi

MASHINDANO YA BASEBALL KUANZA KUTIMUA VUMBI IJUMAA WIKI HII JIJINI DAR.

Na Nyakongo Manyama- MAELEZO.MASHINDANO ya Kitaifa ya Awamu ya Tatu ya Mchezo wa Baseball yanatarajiwa kuanza Ijumaa ya wiki hii jijini Dar es salaam.
Kauli hiyo imetolewa na Katibu Mkuu wa Chama cha Mchezo wa Baseball nchini Alpherio Nchimbi leo jijini Dar es salaam wakati wa mkutano na waandishi wa habari.
Amesema kuwa mashindano yatashirikisha timu tisa kutoka Tanzania bara na Visiwani na yanatarajiwa kufunguliwa na Balozi wa Japani nchini Tanzania Mhe. Masaharu Yoshida.
Kwa mujibu wa Katibu...

 

9 years ago

Michuzi

MBIO ZA RIADHA ZA MOUNT MERU MARATHON KUTIMUA VUMBI OCTOBA 4 ARUSHA

Na Woinde Shizza,ArushaBaada ya kutokuwepo kwa mbio za riadha zijulikanazo kama mount meru Marathon kwa miaka 15 sasa ,hatimaye wadau wa mchezo wamjitokeza na kurudisha mbio hizo ambazo zinatarajiwa kufanyika  octoba 4 jijini Arusha.Mbio hizo za km 21 zilifanyika mara ya mwisho mwaka 2000,ambapo hazikuendelea tena kutokana na kukosa wadhamini hali iliyopelekea kukosa hamasa kwa wanariadha  mabalimbali.
Katibu wa chama cha riadha mkoani hapa  Alfredo Shahanga alisema kwuwa mbio hizo ni za...

 

10 years ago

Michuzi

Kilele cha Mbio za Uhuru chafanyika jijini Dar

Mshindi wa kwanza wa mbio za kilometa 21 katika mashindano ya Uhuru Marathon 2014,Fabian Joseph akimaliza mbio hizo katika viwanja vya Leaders Club,kuliko fanyika kilele cha mbio hizo.Fabian ameibuka kidedea baada ya kuwaacha nyuma washiriki wenzake 10.Baadhi ya washiriki wa mbio hizo wakiingia katika viwanya vya Leaders Club,jijini Dar es Salaam kumalizia ngwe. Mgeni Rasmi katika mashindano ya Uhuru Marathon,Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo,Dkt. Fenella Mukangara akitoa hotuba...

 

10 years ago

Michuzi

Mbio za Uhuru Marathon zazinduliwa rasmi leo jijini Dar

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo,Prof. Elisante Ole Gabriel akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzunduzi wa Mbio za Uhuru Marathon,uliofanyika leo kwenye hoteli ya Kebby's,Mwenge jijini Dar es Salaam.Mbio hizo ambazo zinaenda sambamba na Maadhimisho ya Uhuru wa Taifa letu la Tanzania,zitafanyika Desemba 8,2014 katika viwanja vya Leaders Club,jijini Dar es salaam.Wengine pichani ni Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Riadha Tanzania,Bi. Ombeni Zavala...

 

10 years ago

Dewji Blog

Dkt. Bilal ashiriki hafla ya chakula cha jioni cha hisani kuchangia mfuko wa kampeni wa jitolee kwa ajili ya kinamama wa Afrika, Jijini Dar

01

Makamua wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati wa hafla ya Chakula cha Hisani kwa ajili ya kuchangia Mfuko wa Kampeni ya Jitolee kwa ajili ya Akinamama wa Afrika, iliyofanyika kwenye Hoteli ya Serena jana usiku Oktoba 9, 2014 jijini Dar es Salaam. (Picha na OMR).

03

1

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Cheti, Mkurugenzi Mtendaji wa Push Mobile, Freddie Manento, wakati wa hafla ya Chakula...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani