MBOTO: SIJAWAHI KUTOKA NA AUNT EZEKIEL

KAMA kawa, kama dawa, wiki iliyopita tulimleta kwenu ‘komediani’ kiraka Bongo, Haji Salum almaarufu Mboto ambaye mulimuuliza maswali magumu ambayo wiki hii anayajibu na kuchambua moja baada ya lingine. UNGANA NAYE… ATAOA LINI? Mboto wewe ni mchekeshaji mahiri kunako kiwanda cha maigizo Bongo, je, unategemea kuoa lini? Salim Liundi, Dar, 0658110395 MBOTO: Asante, suala la kuoa siyo la kukurupuka kwa hiyo...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
MBOTO: SIJAWAHI KUTOKA NA MSANII
11 years ago
Bongo Movies08 Aug
Aunt Ezekiel aelezea tuhuma za kutoka na Dancer wa Diamond Plantumz
Mwigizaji wa filamu nchini Aunty ezekiel ameelezea tuhuma zilizozogaa siku kadhaa zilizopita kuwa anatoka na mcheza shoo wa mwananuziki Diamond Platnumz – Mozes iyobo kama ifuatavyo
Kupitia kwenye kipindi cha redio cha Clouds Fm cha Gossip cop, mwanadada huyu amefunguka na kusema kuwa yeye na Moses ni marafiki tu na wapo karibu sana ila sio kuwa wana mahusiano ya kimapenzi kama watu wananavyodai
Akiongea na gossip cop, aunty alielezea kuwa ndo yake na Mume wake bado ipo vizuri na hawezI...
10 years ago
Mtanzania09 Apr
Mimba yamchosha Aunt Ezekiel
NA GEORGE KAYALA
MKALI wa filamu ya Chozi la Mwanjaa, Aunt Ezekiel, amesema kwamba anatamani kujifungua, kwani amechoshwa na mimba yake, kwa sababu imemfanya ashindwe kupata kazi ya kucheza filamu nyingine.
Akizungumza na MTANZANIA jana, msanii huyo alisema kuwa mialiko ya kucheza filamu imekata na sasa haingizi kipato chochote, badala yake pesa inatoka, hali ambayo inamfanya atamani ajifungue ili aondokane na adha hiyo.
“Siyo siri nimechoshwa na hii mimba, natamani hata leo nijifungue,...
11 years ago
GPL
AUNT EZEKIEL AZICHAPA UKUMBINI
10 years ago
GPL
MIMBA YAMTIBUA AUNT EZEKIEL
11 years ago
GPL
AUNT EZEKIEL NA UKWELI MCHUNGU!
10 years ago
Bongo Movies14 Mar
Watu Wamvaa Aunt Ezekiel
Kutokana na uzushi ulioenea kuwa staa wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel amejifungua, ndugu, jamaa na marafiki kibao walijazana nyumbani kwake, Mwananyamala jijini Dar es Salaam juzi Alhamisi ili kumpa pongezi, lakini walipokuta habari tofauti walimvaa na kumlaumu kwa kuwadanganya.
Jumatano usiku katika mtandao wa kijamii wa Instagram, msanii Aunt Ezekiel ambaye ni mke wa mtu aliyepata ujauzito mumewe akiwa jela, alitupia picha ikimuonyesha akiwa na kitoto kichanga, ambacho watu wengi...
11 years ago
GPL
PUB YA AUNT EZEKIEL CHALI
11 years ago
GPL
AUNT EZEKIEL ATAMANI KUOKOKA!