Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mbowe atembeza ‘bakuli’ kwa ajili ya kuingia Ikulu

Mbeya. Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe ametangaza mpango maalumu wa wapenzi na wanachama wa chama hicho kuchangia Sh10,000 kwa mwezi ili kupata fedha za kutosha kukiendesha chama ikwa lengo la kuiondoa CCM madarakani kupitia Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kwa njia ya kura.Mbowe alitoa kauli hiyo juzi wakati akihutubia mamia ya wakazi na wafuasi wa chama hicho  katika mkutano wa hadhara uliofanyika Viwanja vya Ruanda Nzovwe jijini Mbeya.Akifafanua kuhusu michango hiyo kwa kutumia...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

HARAKATI: Mbowe atembeza ‘bakuli’ kwa ajili ya kuingia Ikulu

>Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe ametangaza mpango maalumu wa wapenzi na wanachama wa chama hicho kuchangia Sh10,000 kwa mwezi ili kupata fedha za kutosha kukiendesha chama ikwa lengo la kuiondoa CCM madarakani kupitia Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kwa njia ya kura.

 

11 years ago

GPL

MAMA KANUMBA ATEMBEZA BAKULI

Na Mayasa Mariwata
MAMA wa msanii nguli wa filamu nchini marehemu ‘Steven Kanumba’ Frola Mtegoa amesema yuko katika mkakati wa kuandaa filamu inayohusu maisha ya mwanaye kiasi cha kufikia hatua ya kuomba msaada ‘kutembeza bakuli’. Mama mzazi wa marehemu ‘Steven Kanumba’ Frola Mtegoa. Akizungumza na paparazi wetu mama huyo alisema kwamba, anapata wakati mgumu kukamilisha jambo hilo...

 

9 years ago

GPL

UGUMU WA LOWASSA KUINGIA IKULU

Na Mwandishi Wetu WAKATI wafuasi wa vyama vya upinzani vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi ( Ukawa) wakiwa na shangwe kutokana na kumpata Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa kama mgombea wake wa urais katika uchaguzi mkuu wa Oktoba, ugumu wa kiongozi huyo kuingia ikulu umebainishwa, Uwazi lina habari kamili.  ....Soma zaidi====>http://bit.ly/1IYZQ26 ...

 

10 years ago

Vijimambo

Mkakati wa Chadema kuingia Ikulu

Viongozi wa Chadema wakizungumza na vyombo vya habari siku za hivi karibuni. Picha na MaktabaDar es Salaam. Siku moja baada ya katibu mkuu wa Chadema, Dk Willbrod Slaa kuwataka Watanzania wajiandae kwa “Serikali Mpya” aliyodai itapatikana Oktoba 31 baada ya Uchaguzi Mkuu, gazeti la Mwananchi limebaini mkakati wa ushindi unaopangwa na chama hicho cha upinzani.Hadi sasa, Chadema ndio chama kinachoongoza kwa upande wa upinzani kulingana na matokeo ya Uchaguzi Mkuu uliopita na wa Serikali za...

 

10 years ago

Habarileo

Lowassa: Masikini hafai kuingia Ikulu

Edward LowassaMGOMBEA anayewania kuteuliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwania urais wa Tanzania katika uchaguzi mkuu wa baadaye mwaka huu, Edward Lowassa jana alifanikiwa kupata wanachama 22,750 wa kumdhamini mkoani Singida na kusisitiza anaomba kwenda Ikulu ili amalize umasikini unaowakabili Watanzania, huku akisema Watanzania wasichague kiongozi masikini.

 

9 years ago

Mwananchi

Lowassa: Chadema imeiva kuingia Ikulu

Mgombea urais wa Chadema na kwa mwavuli wa Ukawa, Edward Lowassa amesema mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe amekijengea mizizi imara chama chake na sasa kimeiva kuingia Ikulu Oktoba 25.

 

10 years ago

Mwananchi

Lowassa anavyowapa Ukawa jeuri kuingia Ikulu

Sasa ni rasmi, waziri mkuu wa zamani, Edward Lowassa ndiye mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chadema. Mwanasiasa huyo mkongwe na ambaye amekuwa gumzo ndani ya CCM, alikitosa chama hicho na kujiunga na upinzani.

 

10 years ago

Mwananchi

Itakuwa kazi kumzuia Lowassa kuingia ikulu

Makala iliyokuwa na kichwa cha habari “Kwa nini Lowassa anaweza kuwa rais” iliwakuna wengi, lakini kama ilivyotarajiwa iliwaudhi wengine na walionyesha hasira zao kwa kutuma ujumbe mchafu.

 

10 years ago

Vijimambo

JANUARY MAKAMBA SIFA LUKUKI ALIZONAZO NA CHANGAMOTO ZA KUINGIA IKULU

January Makamba
MWAKA mmoja uliopita nilikutana na mwanasiasa kijana January Yusuf Makamba na kumuuliza kama ana wazo la kugombea urais; jibu lake lilikuwa ni: “Ni wazo sahihi.”

Sikumwelewa alimaanisha nini, lakini habari zilizopo mtaani hivi sasa kuwa anakusudia kuchukua fomu za kuomba uteuzi ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na hatimaye kuingia kwenye kinyang’anyiro cha kugombea urais nimeelewa kuwa jibu lake wakati ule lilimaanisha; NDIYO.

Ni wazi mtu kuamka na wazo la aina hii, kwamba na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani