Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mbowe: Taratibu zikikiukwa tutakataa matokeo

DSC_4901SHABANI MATUTU NA MAULI MUYENJWA, DAR ES SALAAM

MWENYEKITI mwenza wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Freeman Mbowe, amesema Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), hakitakubali matokeo ya uchaguzi mkuu kama kutakuwa na ukiukwaji wa taratibu.

Alitoa msimamo huo jana jijini Dar es Salaam wakati wa shughuli ya kuuaga mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti

mwenza wa Ukawa, Dk. Emmanuel Makaidi, aliyefariki dunia mwanzoni mwa wiki mkoani Lindi.

Mbowe ambaye pia ni mwenyekiti wa Chadema, alisema...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Uhuru Newspaper

Matokeo yamtikisa Mbowe



Mrema, Mbatia wapotezanaEscrow sasa yamliza KafulilaNape: Hizo ni salamu kwa wapinzani  
HALI si shwari kwa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), baada ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuzoea viti vingi kwenye maeneo ambayo ni ngome za vigogo wa umoja huo.
Mkoa wa Kilimanjaro, ambako wanatoka Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na Mwenyekiti wa NCCR-MAGEUZI, James Mbatia, wameangukia pua na kuondoka kimya kimya kurejea Dar es Salaam, baada ya matokeo kutangazwa.
Mbatia, ambaye...

 

10 years ago

Mtanzania

Msajili: Pingamizi la Mbowe, matokeo ya kunipuuza

Freeman Mbowe

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe

PATRICIA KIMELEMETA NA NORA DAMIAN, DAR ES SALAAM

SIKU moja baada ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, kuwekewa pingamizi la kutogombea nafasi hiyo kwa awamu ya tatu, Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi, amesema kinachotokea kwenye chama hicho ni matokeo ya kupuuza ushauri wake.

Mbowe amewekewa pingamizi na aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Tabora, Kansa Mbarouk, ambaye pia ni mgombea wa nafasi...

 

10 years ago

Vijimambo

Lowassa aongoza.Wafuatia Slaa, Magufuli, Membe, Makamba, Lipumba, Mbowe, Zitto, Ni matokeo ya utafiti mikoa 18.

Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli (CCM), Edward Lowassa.
Nyota ya Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli (CCM), Edward Lowassa, imeendelea kung’aa baada ya Taasisi ya Samunge Social Sciences Research Center (SSSRC), kufanya utafiti na kubaini kuwa kiongozi huyo ni chaguo la kwanza kwa wananchi.

Utafiti huo uliofanywa miaka miwili kuanzia 2013 hadi 2015, unaonyesha Lowassa anaongoza kwa asilimia 20.7 dhidi ya wagombea 31.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam...

 

10 years ago

Michuzi

MATOKEO YA UCHAGUZI MKUU WA CHADEMA TAIFA 2014:FREEMAN MBOWE ASHINDA NAFASI YA MWENYEKITI CHADEMA TAIFA, PROFESA ABDALLAH SAFARI MAKAMU MWENYEKITI WA CHADEMA BARA

 Sehemu ya Wajumbe wa Mkutano  mkuu wa chadema Wakicheza kwa furaha muda mfupi baada ya matokeo ya Uchaguzi kwenye Mkutano Mkuu Kutangazwa Usiku huu Freeman Mbowe akiwashukuru wajumbe wa mkutano mkuu wa CHADEMA  kwa kumchagua tena kushika nafasi ya mwenyekiti Mshindi wa nafasi ya mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe akipongezwa na Katibu Mkuu wa Chadema Dr Wilbrod Slaa Makamu  Mwenyekiti wa Chadema Bara Profesa Abdallah Safari(Kulia)na Mwenyekiti wa Chadema Taifa Freeman Mbowe wakipungia kwa...

 

10 years ago

Vijimambo

Lemutuz: Aliyevuruga Matokeo ya Jana Tuzo za Watu Yupo Busy Pia Kuvuruga Matokeo ya KTMA, Nitamtaja Laivu


lemutuz_nation 'Well, huwa ninaongea na FACTS with EVIDENCE toka jana Usiku nimesema I smell fish kama nilivyo smell Fishy kwenye matokeo ya Miss Tanzania ya Mwaka jana kuna wajinga akili ndogo walioanza kunirushia matusi LE AKILI KUBWAZZZZ now ninasema jana HAKI HAIKUTENDEKA kuna wanaojaribu kuninyamazisha na matusi...great ninarudia tena sikuenda Shule kuwa mjinga so toka jana niliingia kwenye uchunguzi wa FACTS and EVIDENCE of WHO IS BEHIND LAST NIGHT MESS tayari nimeshaanza kupata...

 

9 years ago

Vijimambo

KIWIA AKANUSHA KUZIMIA BAADA YA MATOKEO KUTANGAZWA. ASEMA ANATARAJIA KUFUNGUA KESI MAHAKAMANI KWANI BADO HAJASAINI MATOKEO.

Na:George Binagi-GB Pazzo
Aliekuwa Mbunge wa Jimbo la Ilemela Mkoani Mwanza na Mgombea wa nafasi hiyo kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema chini ya mwamvuli wa Umoja wa Katiba ya Wananchi Ukawa Highness Kiwia, anatarajia kufungua kesia ya kupinga matokeo ya uchaguzi jimboni humo kwa madai kwamba haukuwa wa huru na haki kutokana na kugubikwa na changamoto mbalimbali.
Kiwia ambae ameshindwa kutetea jimbo hilo baada kuchukuliwa na Angelina Mabula kutoka Chama cha Mapinduzi CCM,...

 

10 years ago

Habarileo

JK amaliza taratibu za matibabu

Rais Jakaya KikweteRAIS Jakaya Kikwete aliyefanyiwa upasuaji wa tezi dume katika Hospitali ya Johns Hopkins Marekani hivi karibuni, jana alimaliza taratibu za matibabu huku afya yake ikionekana kuimarika zaidi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Taratibu za kutatua migogoro ya kikazi — 2

KWA wasomaji wapya taratibu zilizowekwa na Sheria ya Ajira ya mwaka 1955; Sheria ya Usalama Kazini ya mwaka 1964; Sheria ya Mahakama ya Kazi ya mwaka 1967; Sheria ya Taasisi...

 

10 years ago

Mwananchi

Yanga mpya inavyojengwa taratibu

Yanga imekuwa ikifanya vizuri katika mashindano mbalimbali ambayo inashiriki msimu huu. Kwanza ipo kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu ikiwa na pointi 43 (kabla ya mechi ya jana dhidi ya Mbeya City) huku ikiwa imecheza mechi 19 za ligi hiyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani