Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mbowe: Tuliishika CCM

MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, Freeman Mbowe (CHADEMA), amesema kuwa waliufahamu mapema mkakati wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa kutaka kuminya muda wa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Mbowe: CCM ni Mbugi

KIONGOZI wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe, amekifananisha Chama Cha Mapinduzi (CCM) na mchezo wa ‘Mbugi’. Wakati Mbowe akiwaita CCM Mbugi, Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mbowe awaumbua wanafiki CCM

MJUMBE wa Bunge Maalumu, Freeman Mbowe, amewaumbua wajumbe wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuwa wengi wao ni wanafiki katika kuchangia mijadala na hoja bungeni. Mbowe alisema kutokana na unafiki huo,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kwa CCM tatizo si CHADEMA ni Mbowe

NDUGU wasomaji, ninapenda sana kuwapa pole kwa kifo cha shujaa wa mapambano dhidi ya ubaguzi wa rangi Nelson Ndlahla Mandela. Kila gazeti, runinga na redio zimeelezea wasifu wake kiasi cha...

 

10 years ago

Habarileo

CCM yatikisa kwa Mbowe, Lipumba

Viongozi wa UkawaMATOKEO ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika mwishoni mwa wiki kote nchini, yameendelea kuanikwa na kuonesha CCM imeendelea kung’ara.

 

11 years ago

Mwananchi

Mbowe aitahadharisha CCM kuhusu Serikali Tatu

Leticia Ghati na Haji Ambar Khamis jana wamechaguliwa kuwa Makamu Wenyeviti wa Chama cha NCCR-Mageuzi, katika Mkutano Mkuu wa Nane wa chama hicho uliofanyika kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mbowe: Serikali ya CCM ina mfumo wa kirafiki

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, amesema serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ina mfumo wa kirafiki katika utawala wenye utitiri wa viongozi unaogharimu taifa mamilioni...

 

5 years ago

CCM Blog

CCM YASITISHA MIKUTANO KUKABILIANA NA CORONA NA YAMTAHADHRISHA MBOWE

  Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesitisha shughuli zenye mikusanyiko ya watu wengi, ikiwa ni hatua za kudhibiti kuenea kwa virusi vya Corona  Ugonjwa huo ulioanzia katika mji wa Wuhan, China Desemba, 2019 na baadaye kuanza kusambaa nchi mbalimbali umesababisha vifo vya watu zaidi ya 4,500 huku Tanzania ikiwa nchi ya tatu Afrika Mashariki kuwa na mgonjwa wa corona baada ya Kenya na Rwanda.
Agizo hilo limetolewa leo tarehe 17 Machi 2020 na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Humphrey Polepole...

 

10 years ago

Mwananchi

Mbowe: Tabora ni kama vile wamepewa limbwata na CCM

>Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amesema wananchi wa Mkoa wa Tabora ni kama wamepewa limbwata na CCM na kuendelea kutoa majimbo yote 10 kwa chama hicho licha ya mkoa huo kuwa miongoni mwa mikoa maskini nchini.

 

10 years ago

Mwananchi

Mbowe: Vigogo CCM wamechota Sh1.2 mradi bomba la gesi

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe amewatuhumu vigogo wa Serikali kwa ufisadi wa Dola 600 milioni za Marekani, sawa na Sh1.2 trilioni walizotumia katika mradi wa ujenzi wa Bomba la Gesi kutoka Mtwara kwenda Dar es Salaam.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani