Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mbunge adaiwa kukwamisha mradi

Moses Machali KATIBU Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana amemshambulia Mbunge wa Kasulu Mjini, Moses Machali (NCCR-Mageuzi), na kudai kuwa amekuwa kikwazo cha kuendelea kwa miradi ya maendeleo jimboni kwake, kutokana na kutafuta umaarufu wa kisiasa.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI MABULA AKERWA MSHAURI ELEKEZI KUKWAMISHA MRADI HOSPITALI YA RUFAA MARA


Na Munir Shemweta, WANMM MUSOMA

Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula amesikitishwa na hatua ya kusimamisha ujenzi wa miundombinu kwenye mradi wa kimkakati wa Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Mara iliyopo eneo la Kwangwa Manispaa ya Musoma mkoa wa Mara uliofanywa na Mshauri Elekezi wa mradi huo Kampuni ya ARU Environment Consulting Company Ltd (ABECC) .

Hatua hiyo inafuatia Dkt Mabula kuelezwa na Meneja wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) mkoa wa Mara Goodluck...

 

11 years ago

Michuzi

MBUNGE NA DIWANI CHADEMA WALALAMIKIWA NA WANANCHI KUKWAMISHA MAENDELEO YA JIMBO KWA MIAKA MINNE

Wanafunzi wa elimu ya awali, wakifundishwa na mwalimu Juliana Joseph huku wakiwa wamekaa sakafuni na juu ya paa kukiwa wazi katika moja ya vyumba vya madarasa ya Shule ya Msingi, Unyaghumpi vilivyozuiliwa kujengwa na Mbunge Tundu Lissu kwa kuwakataza wananchi kuchangia fedha na kuwaambia kuwa fedha zote zitatoka serikalini,imeelezwa na Wananchi wa jimbo hilo kuwa kufuatia na hali hiyo miradi mingi imekwama kwa miaka minne sasa,jambo ambalo limewarudisha nyuma kimaendeleo.  Katibu ...

 

10 years ago

Mwananchi

Shy-Rose adaiwa kumpiga mbunge mwenzake Nairobi

Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki (Eala), Shy-Rose Bhanji ameingia katika mgogoro mpya baada ya kutuhumiwa kumpiga mbunge mwenzake kutoka Tanzania, Dk Nderakindo Kessy jijini Nairobi, Kenya.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mbunge ataka fedha za mradi Kwimba

MBUNGE wa Kwimba, Shanif Mansoor (CCM), ameeleza kusikitishwa na kusimama kwa ujenzi wa mradi mkubwa wa bwawa la kilimo cha umwagiliaji Kata ya Mwang’halanga wilayani hapa, na kuitaka serikali ipeleke...

 

10 years ago

Michuzi

WANANCHI KIJIJI CHA MADINDO MLANGALI WASHIRIKIANA NA MBUNGE NA DIWANI WAO KUJENGA MRADI WA MAJI WA MILIONI 15

Mbunge Filikunjombe akishiriki kuchimba mfereji  wa maji kijiji cha MadindoWananchi  wa madindo wakishirikiana na mbunge wao Filikunjombe kukamilisha mradi wa maji
Diwani  wa kata ya Mlangali kushoto na katibu mwenezi wa CCM mkoa wa Njombe  wakijumuika na wanawake wa  kijiji cha madindo kucheza kwa furaha baada ya mradi huo kukamilika ,kulia ni mbunge Filikunjombe akishuhudia Diwani wa kata ya  Mlangali Faraja Mlelwa akisaidia  kukunja nguo kwa ajili ya kumwongeza mbunge Filikunjombe...

 

10 years ago

GPL

SNURA ADAIWA ADAIWA KUPORA MUME WA DAVINA

HAMIDA HASSAN
Staa wa muziki wa mduara, Snura Mushi ameingia katika tuhuma nzito akidaiwa kutoka kimapenzi na mume wa rafiki yake Halima Yahya ‘Davina’.
Kwa mujibu wa chanzo chetu makini, kwa kipindi kirefu, Snura amekuwa akionekana nyakati za usiku akiwa na mume wa Davina, wakati mwingine mwanaume huyo anaenda nyumbani kwa Snura au wawili hao kuzungumza kwa muda mrefu ndani ya gari la mwanaume huyo. Staa wa...

 

10 years ago

Michuzi

Mbunge wa Ludewa,Mh. Deo Filikunjombe akizindua mradi wa maji Jimboni kwake kwa kunywa maji ya Mtoni

Mbunge wa jimbo la Ludewa,Mh. Deo Filikunjombe akizindua mradi wa maji kwa kunywa maji ya mto kwa majani ya mgomba maji ambayo wapiga kura wake wa kijiji cha Madindo Mlangali wamekuwa wakiyatumia. Mbunge huyo mbali ya kuzindua pia alitoa msaada wa matenki makubwa ya maji mawili na vifaa mbali mbali juzi.(picha na Francis GodwinBlog)

 

10 years ago

BBCSwahili

Ebola kukwamisha AFCON?

Ugonjwa wa Ebola umesababisha kutokuelewana kati ya Rais wa Shirikisho la Soka la Afrika CAF na mwenzake wa UEFA.

 

10 years ago

Habarileo

RC atishia kukwamisha bajeti

MKUU wa Mkoa wa Mwanza, Magesa MulongoMKUU wa Mkoa wa Mwanza, Magesa Mulongo ametishia kutopitisha bajeti ya halmashauri ya wilaya ya Magu, iwapo kijiji cha Kahangara hakitakuwemo kwenye bajeti ya kuvutiwa maji ya bomba.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani