Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mbunge amsihi Dk. Magufuli kuingilia sakata la Zanzibar

Mbunge wa Viti Maalum wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mkoa wa Simiyu, Gimbi Masaba, amemshauri Rais Dk. John Magufuli, kuingilia kati mgogoro wa kisiasa Zanzibar. Masaba amesema hatua ya Rais Dk. Magufuli kuingilia kati suala hilo, kutalinusuru taifa kukosa msaada wa fedha za Bodi ya MCC zaidi ya Dola milioni 472.8 za Marekanizinazotolewa na Serikali ya Marekani. Alisema yeye

CHADEMA Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

SERIKALI IMEOMBWA KUINGILIA KATI SAKATA LA FAMILIA YA JUMA ISANGU, ARUMERU

 Mkazi wa eneo la Duluti wilayani Arumeru mkoani Arusha, Juma Isangu akiwa na mkewe Janet Tinai pamoja na mwanao, Issa Juma (katikati) wakiangalia nyaraka mbalimbali nje ya nyumba yao mara baada ya kufukuzwa na kisha kuvunjiwa nyumba yao wilayani humo na kampuni ya Majembe Auction Mart kwa amri ya mahakama.Mkazi wa eneo la Duluti wilayani Arumeru mkoani Arusha, Janet Tinai akilalamika mbele ya waandishi wa habari akiwa na baadhi ya vyombo vyake  mara baada ya kuhamishwa kwa amri ya mahakama...

 

11 years ago

Mwananchi

NLD Zanzibar wamtaka Msajili kuingilia kati uteuzi

Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi ametakiwa kutoa ufafanuzi wa kisheria kama upo uwezekano wa chama cha siasa kupata usajili iwapo ombi la chama husika kusajiliwa kisheria bila ya uwakilishi wa wadhamini wa wanachama kutoka pande mbili za Tanzania.

 

9 years ago

StarTV

ACT Wazalendo wamwomba Dk. Magufuli kuingilia kati mgogoro wa Zanzibari

 

Chama cha ACT Wazalendo kimemtaka Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dokta John Magufuli kuingilia kati suala la mgogoro wa Zanzibar na hatimaye matokeo ya uchaguzi yafahamike na mshindi atangazwe.

Kiongozi wa Chama hicho ambaye pia ni Mbunge mteule wa Kigoma Ujiji Zitto Kabwe amesema Rais asiposhughulikia suala hilo linaweza kusababisha mpasuko mkubwa.

 Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema kazi anazozifanya...

 

10 years ago

Mwananchi

Mbunge amjia juu DC sakata la wanawake wa Rombo

Moshi. Mbunge wa Rombo, Joseph Selasini amewajia juu Mkuu wa Wilaya ya Rombo, Lemrise Kipuyo na Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya hiyo, Anthony Tesha akiwataka wajiuzulu nyadhifa zao kwa kushindwa kusimamia sheria wilayani humo.

 

11 years ago

BBCSwahili

Tutu amsihi Museveni kuhusu mswada mpya

Desmond Tutu amuomba Rais Museveni afikirie tena mswada kuhusu wapenzi wa jinsia moja

 

9 years ago

Habarileo

RC amsihi Yussuf Manji akubali kuachia Coco Beach

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Mecky Sadiki amemuomba mmiliki wa Kampuni ya Q Consult inayomilikiwa na mfanyabiashara Yussuf Manji kutumia busara kukubali kuuachia ufukwe wa Coco jijini Dar es Salaam.

 

10 years ago

Vijimambo

Ukweli wa Sakata Zima la Richmond Na Jinsi Lowassa Alivyohusishwa na Sakata Hilo


Kwa mara ya kwanza Waziri Mkuu wa Zamani, Edward Lowassa amefunguka na kueleza ukweli halisi wa sakata zima la Richmond lililomfanya achukue uamuzi wa kujiuzulu wadhifa wake wa uwaziri mwaka 2008.Katika maojiano maalumu na Mpekuzi,Lowassa amewaka wazi kuwa anapata shida kujua kama tupo makini kusimamia ipasavyo mambo yanayohusu maisha yetu,kwani masihara ya kisiasa yaliyoratibiwa na baadhi ya wabunge ndiyo yaliyosababisha serikali ...

 

11 years ago

Mwananchi

Mbunge ‘awashambulia’ Mwakyembe, Magufuli

Joto la hasira dhidi ya mawaziri limeendelea kupanda bungeni, ambapo safari hii limemgusa Waziri wa Ujenzi, Dk John Magufuli na Waziri wa Uchukuzi Dk Harrison Mwakyembe ambao wameshambuliwa kuwa siyo wasikivu ni wabinafsi kwa kuwa wameshiba sifa za magazeti.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani