Mbunge Kigwangalla kugombea urais
MBUNGE wa Jimbo la Nzega, Dk Hamisi Kigwangalla ametangaza nia ya kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM katika uchaguzi mkuu wa mwaka kesho.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi.jpg)
Hotuba ya Dkt. Hamisi Kigwangalla, Mbunge wa Jimbo la Nzega na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya TAMISEMI Alipopokelewa Jimboni Nzega Baada ya Kutangaza Nia Kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
.jpg)
Nitumie fursa hii kwa namna ya kipekee kuwashukuru nyote kwa kuacha shughuli zenu kuja kunipokea na kushiriki mkutano huu. Mmenipa heshima kubwa sana na mimi nawajibika tu kusema ‘ahsanteni sana’.
Mimi hapa ni aidha mtoto wenu, mjukuu wenu ama mdogo wenu, mnapoacha shughuli zenu...
11 years ago
Michuzi.jpg)
Tamko rasmi la Dkt. Hamisi Kigwangalla Habari la Kutangaza Nia ya Kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mwaka 2015
.jpg)
11 years ago
Michuzi07 Sep
MBUNGE WA JIMBO LA NZEGA DR.KHAMIS KINGWANGALLAH ATANGAZA NIA YA KUGOMBEA URAIS 2015

BOFYA HAPA KUSOMA HOTUBA YAKE
11 years ago
GPL
MBUNGE WA JIMBO LA NZEGA DK KHAMIS KIGWANGALA ATANGAZA NIA YA KUGOMBEA URAIS 2015
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Serikali za Mitaa na Mbunge wa Jimbo la Nzega, Dk. Khamis Kigwangala, akitangaza nia yake ya kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania wakati alipokutana na waandishi wa habari ambapo amesema hajasukumwa na mtu yeyote ila ni yeye mwenyewe ameamua kwa moyo wake. Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Serikali za… ...
10 years ago
GPL
Vijana wapiganie sasa haki ya kugombea urais, Vijana wasisubiri wazee wawaruhusu kugombea urais
Patrice Lumumba. Julius Nyerere. Na Walusanga Ndaki
IJUMAA moja ya alasiri na kiangazi jijini Dar es Salaam, mwandishi wa makala hii ambaye sasa ana umri wa miaka 60 alikuwa akifanya mzaha wa kupiga danadana mpira wa miguu nje ya ofisi yao kabla ya kwenda kwenye mechi ya soka kati ya timu ya ofisi yake na taasisi moja ya habari. Mwandishi huyo alifanya hivyo kwa umahiri mkubwa kwa kama dakika tano mbele ya wafanyakazi wenzake...
11 years ago
Mwananchi08 Sep
Kigwangalla: Ninautaka urais
Mbunge wa Nzega, Dk Hamisi Kigwangalla (CCM) ametangaza nia ya kutaka kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu 2015, huku akisema siyo lazima uwe mtoto wa tajiri au kiongozi ndiyo uonyeshe kipaji chako.
10 years ago
Mwananchi10 Feb
MASWALI 10 KWA MBUNGE WANGU: Dk Hamisi Kigwangalla
>Kufaidika: Nimekuwa mtetezi na sauti yenu siku zote. Kuhusu kuridhika, hilo ni gumu kidogo, maana ni uamuzi wa mtu, ila haya machache yafuatayo ndiyo niliyojitahidi kuyafuatilia na kuyasimamia.
10 years ago
Mwananchi08 Jun
Dk Kigwangalla: Urais hauhitaji uzoefu
>Mbunge wa Jimbo la Nzega, Dk Hamis Kigwangalla ametangaza kwa mara ya pili kuwania urais wa Tanzania akitoa vipaumbele vitatu na kufafanua kuwa urais hauhitaji uzoefu.
11 years ago
Mwananchi07 Oct
Kigwangalla atenga mapesa ya urais 2015
Mbunge wa Nzega (CCM), Dk Hamis Kigwangalla amesema amejiandaa vizuri kifedha kuzunguka nchi nzima kuusaka urais mwaka 2015, huku akijisifu kuwa ni mwadilifu asiye na chembe ya doa.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
07-May-2025 in Tanzania