Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kigwangalla: Ninautaka urais

Mbunge wa Nzega, Dk Hamisi Kigwangalla (CCM) ametangaza nia ya kutaka kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu 2015, huku akisema siyo lazima uwe mtoto wa tajiri au kiongozi ndiyo uonyeshe kipaji chako.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Dk Kigwangalla: Urais hauhitaji uzoefu

>Mbunge wa Jimbo la Nzega, Dk Hamis Kigwangalla ametangaza kwa mara ya pili  kuwania urais wa Tanzania akitoa vipaumbele vitatu na kufafanua kuwa urais hauhitaji uzoefu.

 

10 years ago

Habarileo

Mbunge Kigwangalla kugombea urais

MBUNGE wa Jimbo la Nzega, Dk Hamisi Kigwangalla ametangaza nia ya kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM katika uchaguzi mkuu wa mwaka kesho.

 

10 years ago

Mwananchi

Kigwangalla atenga mapesa ya urais 2015

Mbunge wa Nzega (CCM), Dk Hamis Kigwangalla amesema amejiandaa vizuri kifedha kuzunguka nchi nzima kuusaka urais mwaka 2015, huku akijisifu kuwa ni mwadilifu asiye na chembe ya doa.

 

10 years ago

Michuzi

Tamko rasmi la Dkt. Hamisi Kigwangalla Habari la Kutangaza Nia ya Kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mwaka 2015

 Dkt. Hamisi Kigwangalla, MB (Nzega), Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya TAMISEMI, akiongea na  Waandishi wa Habari Kutangaza Nia ya Kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mwaka 2015 Kwenye Ukumbi wa Zanzibar, Hyatt Regency, The Kilimanjaro Hotel, Dar es salaam, Siku ya Tarehe 7 Septemba 2014.Kusoma tamko hilo BOFYA HAPA

 

10 years ago

Michuzi

Hotuba ya Dkt. Hamisi Kigwangalla, Mbunge wa Jimbo la Nzega na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya TAMISEMI Alipopokelewa Jimboni Nzega Baada ya Kutangaza Nia Kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Awali ya yote nianze kwa kumshukuru mwenyezi mungu, mwingi wa rehema na mwenye kurehemu, kwa kutujalia afya njema na kutukutanisha hapa siku hii adhimu ya leo, maana ni kwa utashi wake tu tunaweza kuyafanya haya yote.


Nitumie fursa hii kwa namna ya kipekee kuwashukuru nyote kwa kuacha shughuli zenu kuja kunipokea na kushiriki mkutano huu. Mmenipa heshima kubwa sana na mimi nawajibika tu kusema ‘ahsanteni sana’.


Mimi hapa ni aidha mtoto wenu, mjukuu wenu ama mdogo wenu, mnapoacha shughuli zenu...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kigwangalla akamatwa na Polisi

JESHI la Polisi wilayani Nzega, mkoani Tabora limemkamata na kumuachia kwa masharti Mbunge wa Nzega, Dk. Hamis Kigwangallah, kwa madai ya kuongoza maandamano ya wachimbaji wadogo wa dhahabu ambao wanapinga...

 

11 years ago

Mwananchi

Dk Kigwangalla hatarini CCM

Mbunge wa Nzega (CCM), Dk Hamis Kigwangalla yuko hatarini kuvuliwa uanachama wa chama hicho, hatua ambayo endapo itachukuliwa itasababisha apoteze nafasi yake ya ubunge.

 

11 years ago

Mwananchi

Dk. Kigwangalla amshushia tuhuma Sitta

>Mjumbe wa Bunge la Katiba, Dk. Abdalah Kigwangalla, jana alimtuhumu waziwazi Mwenyekiti Samuel Sitta kuwa anapendelea kundi la walio wachache.

 

9 years ago

Mwananchi

Dk Kigwangalla awafungia geti wafanyakazi wachelewaji

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk Hamisi Kigwangalla ametoa adhabu kwa wafanyakazi wote waliofika ofisini baada ya 1:30 asubuhi na kwa kufungiwa geti.     

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani