Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mbunge Mwambalaswa alia na wanasiasa

Mbunge wa Chunya, Victor Mwambalaswa amesema Katiba inayoendelea kutumika nchini ya mwaka 1977 ina kasoro, ndiyo maana inaundwa mpya.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Mbunge wa Chadema alia

>Mbunge wa Viti Maalum wa Chadema, Rose Kamili amedai kupigwa na kufanyiwa vitendo vya udhalilishaji na wafuasi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wakati walipomkamata na kumshikilia kwa muda kwa tuhuma za kutoa rushwa.

 

10 years ago

Mwananchi

Mbunge alia na Serikali kuifungia migodi ya Mirerani

Mbunge wa Jimbo la Simanjiro mkoani Manyara, Christopher Ole Sendeka ameiambia Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini kuwa hali ya uchumi kwa wakazi wa Mirerani imedorora baada ya migodi 19 kusimamishwa kuchimba madini ya Tanzanite.

 

10 years ago

Mwananchi

Mbunge Sugu alia Dodoma, Faiza amwaga chozi Dar

Jana ilikuwa siku ya aina yake kwa msanii Faiza Ally na mzazi mwenzake, Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’. Wakati Faiza akimwaga chozi katika chumba cha habari katika gazeti la Mwananchi alipofika kutoa ujumbe wa kuomba radhi kutokana na vazi la kitenge lenye kambakamba alilovaa siku ya Tamasha la Tuzo za Muziki za Kilimanjaro, Sugu alimwaga chozi bungeni Dodoma alipowataka wabunge wasijadili mambo yake ya faragha.

 

10 years ago

Mwananchi

Ndassa amrithi Mwambalaswa uenyekiti wa kamati

>Kamati tatu za Bunge ambazo wenyeviti wake walitakiwa kuwajibika  kutokana na kashfa ya Akaunti ya Tegeta Escrow, zimeanza kuchagua wenyeviti wapya huku ile na Nishati na Madini ikimchagua Mbunge wa Sumve, Richard Ndassa kuwa mwenyekiti wake.

 

9 years ago

Vijimambo

WILLY MWAMBALASWA AFANYIWA SHEREHE YA SIKU YAKE YA KUZALIWA DALLAS, TEXAS

Willy Mwambalaswa akikata keki yake siku ya kuzaliwa sherehe iliyofanyika siku ya Jumamosi Septemba 19, 2015 jijini Dallas, Texas.Marafiki wa karibu waliomfanyia Willy tafrijaMarafiki wakijumuika na birthday boy huku wakipata picha ya pamoja.



 

10 years ago

Vijimambo

TUHUMA YA ESCROW ZAMFANYA MWENYEKITI WA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA NISHATI NA MADINI, VICTOR MWAMBALASWA, KUSALIMU AMRI

MWENYEKITI wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, Victor Mwambalaswa, amesalimu amri ambapo ametoa msimamo wake kuwa, yupo tayari kuachia nafasi ya uenyekiti kwani ni maamuzi ya Bunge.Kauli ya Mwambalaswa inakuja siku moja tu, baada ya Naibu Spika wa Bunge, Job Ndugai kuweka wazi wenyeviti watatu wa kamati za Bunge ambao wanatuhumiwa kwenye sakata la Escrow wanatakiwa kuachia ngazi nafasi hizo.Akizungumza na gazeti hili katika mahojiano maalumu, Mwambalaswa alisema tayari Bunge...

 

10 years ago

Mwananchi

Lundenga alia hujuma

Siku moja baada ya Baraza la Sanaa la Taifa (Basata), kuifungia Kampuni ya Lino International kuendesha mashindano ya Miss Tanzania kwa miaka miwili, Mkurugenzi wa kampuni hiyo, Hashim Lundenga amesema hatua hiyo imefikiwa kutokana na shinikizo kutoka kwa baadhi ya watu wenye dhamira ya kuitoa kwenye mstari wa mafanikio sanaa ya urembo nchini.

 

11 years ago

GPL

FLORA ALIA NA VIBAKA

STAA wa sinema za Kibongo, Flora Mvungi  ameeleza masikitiko yake baada ya kuibiwa na vibaka. Kioo kilichovunjwa pamoja na sehemu zilizoibiwa vitu kwenye gari hilo. Akizungumza na paparazi wetu, Flora alisema siku ya tukio mumewe H. Baba alitoka na gari lake aina ya Toyota I.S.T kwenda mtaa wa Lumumba-Kariakoo, akapaki na kuingia kwenye mizunguko yake lakini aliporejea alishtuka baada ya kukuta kioo kimevunjwa na vitu...

 

9 years ago

Mtanzania

Samia alia na alama ‘V’

IMG_0273 (1280x853)NA SARAH MOSSI, KOROGWE

 

MGOMBEA mwenza wa CCM, Samia Suluhu Hassan amesema alama ya ‘V’ haijawahi kushika dola duniani kote.

Samia, alisema hayo jana  alipokuwa akizungumza na wananchi katika eneo la Mombo akiwa njiani kuelekea wilayani Lushoto.

“Sasa hivi vurugu tupu, utawala wa nchi si wa kujaribu, wapeni wenye uthabiti, waliosimama imara na  uwezo ndugu zangu, sumu haionjwi,”alisema Samia.

Mapema akiwahutubia wananchi wa Korogwe mjini katika viwanja vya Shule ya Msingi Mazoezi, Samia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani