Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MCHEZAJI NGULI WA BRAZIL PELE AMELAZWA HOSPITAL KWENYE CHUMBA CHA WAGONJWA MAHUTUTI (ICU)

Mchezaji wa siku nyingi nchini Brazil na aliyeiwezesha Brazil kunyakua kombe la Dunua mara tatu  amelazwa hospitali ya mjini Sao Paulo kwa maambukizi baada ya kufanyiwa upasuaji kuondoa mawe kwenye figo ya mchezaji huyo.

Pele mwenye miaka 74 alilazwa kwenye hospitali hiyo  jumanne wiki hii baada ya kupata maambukizi kutokana na kufanyiwa upasuaji kuondoa mawe kwenye figo mwezi uliopita.

Madaktari wa hospitali ya Albert Einstein ya mjini Sao Paulo wamesema hali ya mchezaji huyo inaendelea...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Chumba cha wagonjwa mahututi ni nini na ni wagonjwa gani wanastahili kukitumia?

ICU ni wodi maalum inayotoa huduma kwa wagonjwa ambao wako katika hali mbaya na watafuatiliwa kwa karibu lakini chumba hiki kikoje?

 

5 years ago

BBCSwahili

Waziri Mkuu Boris Johnson apelekwa katika chumba cha wagonjwa mahututi

Boris Johnson ahamishiwa chumba cha wagonjwa mahututi baada ya hali yake kiafya kuzorota zaidi .

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Waziri mkuu wa Uingereza Boris Johnson yuko katika chumba cha wagonjwa mahututi.

Coronavirus: Waziri Mkuu wa Uingereza yuko katika chumba cha wagonjwa mahututi.

 

5 years ago

Michuzi

Virusi vya corona: Waziri Mkuu Boris Johnson apelekwa katika chumba cha wagonjwa mahututi

Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson amepelekwa katika chumba cha kuhudumia wagonjwa mahututi baada ya hali yake kiafya kuwa mbaya kwa siku kumi zaidi kwasababu ya ugonjwa wa virusi vya Corona, kwa mujibu wa msemaji katika makazi ya Waziri Mkuu.

Bwana Johnson amemuambia Waziri wa mambo ya nje Dominic Raab kuchukua usukani "pale ambapo kutakuwa na ulazima wa kufanya hivyo", msemaji ameongeza.

Waziri Boris ,mwenye umri wa miaka 55, alilazwa katika hospitali ya St Thomas mjini London wakati...

 

5 years ago

BBCSwahili

Pele: Aliyekuwa mchezaji soka maarufu Brazil anahisi aibu kutoka nyumbani kutokana na hali mbaya ya kiafya

Bingwa mara tatu wa Kombe la dunia hataki kutoka nyumbani kutokana na hali yake ya afya iliodorora kulingana na mwanawe Edinho.

 

5 years ago

BBCSwahili

Pele: Mchezaji maarufu wa soka nchini Brazil asema hali yake afya ni jambo la kawaida kwa watu wenye umri kama wake

Pele, aliyekuwa mchezaji soka maarufu Brazil amezungumza kwa mara ya kwanza tangu mwanawe alipodai afya yake huenda ikawa kizuizi cha kuwa nyumbani na kusema hali yake ya afya ni jambo la kawaida kwa mtu mwenye umri kama wake.

 

11 years ago

Mwananchi

BRAZIL 2014: Makumbusho ya Pele kivutio Santos, Brazil

>Hatimaye mfalme wa soka, Pele ametengenezewa jumba lake la makumbusho ambalo limefunguliwa Jumapili iliyopita kwenye mji wa Valongo mjini Sao Paulo, Brazil.

 

11 years ago

BBCSwahili

Je wagonjwa mahututi wasaidiwe kufa?

Desmond tutu amesema kwamba anaunga mkono wagonjwa mahututi wanaotaka kusaidiwa kufariki wafanyiwe hivyo.

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Kwanini hospitali za Uhispania zimetangaza kuhudumia wagonjwa mahututi pekee?

Hospitali zimewataka wasio na dalili kali kurejea nyumbani ili ziweze kuwahudumia vikongwe

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani