Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MCHUNGAJI GWAJIMA

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MCHUNGAJI GWAJIMA AJISALIMISHA POLISI

Mchungaji Josephat Gwajima. MCHUNGAJI Kiongozi wa Kanisa la Uzima na Ufufuo, Josephat Gwajima leo amejisalimisha kituo cha polisi kati kuhojiwa juu ya kutoa lugha chafu dhidi ya Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Muadhama Polycarp Kardinali Pengo. Gwajima alirekodiwa kwenye ibada ya kanisa lake Jumapili iliyopita ambapo ‘alimtusi’ Pengo akituhumu kuwa ni msaliti kwani amekwenda kinyume na...

 

10 years ago

Mtanzania

Upelelezi kesi ya Mchungaji Gwajima wakamilika

gwajimaNA KULWA MZEE, DAR ES SALAAM
UPELELEZI wa kesi inayomkabili Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Mchungaji Josephat Gwajima na wenzake watatu umekamilika na kesi inatarajiwa kuanza usikilizwaji wa awali Julai 2, mwaka huu.
Wakili wa Serikali Mwandamizi, Shadrack Kimaro aliifahamisha Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jana wakati kesi hiyo ilipokuwa inatajwa.
Mbele ya Hakimu Mkazi Hellen Riwa, Kimaro alidai kesi ilikuwa inatajwa, lakini upelelezi wa kesi hiyo umekamilika hivyo aliomba tarehe...

 

10 years ago

GPL

KANISA LA MCHUNGAJI JOSEPHAT GWAJIMA KAWE LATAKIWA KUVUNJWA

Mchungaji Mchungaji Josephat Gwajima Nakala ya barua kutoka kwa Meneja wa Mkoa wa Kinondoni wa NHC. KANISA la Mchungaji Josephat Gwajima  lililokuwa likiendesha shughuli katika viwanja vya Tanganyika Packers  Kawe, wilaya ya Kinondoni, jijinI Dar limeamriwa kuondoka eneo hilo. Kanisa hilo ambalo kwa muda mrefu  limekuwa likiendesha shughuli zake eneo hilo limedaiwa kusababisha usumbufu na kero kubwa za… ...

 

10 years ago

Vijimambo

KANISA LISILO RASMI LA MCHUNGAJI JOSEPHAT GWAJIMA LAVUNJWA KAWE

Kanisa la lisilo rasmi la mchungaji Mchungaji Josephat Gwajima lililokuwa likiendesha shughuli zake kinyume na taratibu katika viwanja vya Tanganyika Packers Kawe,wilaya ya Kinondoni,jiji Dar limeamuriwa kuondoka mara moja na kuwacha eneo hilo wazi kwa ajili ya maendeleo ya watu wa kawe. Kanisa hilo ambalo kwa muda mrefu lemekuwa likiendesha shughuli zake kinyume na taratibu na kusababisha usumbufu na kero kubwa za makelele kwa wakazi wa maeneo hayo. Katika Barua iliosainiwa na Meneja...

 

10 years ago

Vijimambo

Mchungaji Gwajima Avamiwa.....Apigwa Panga Kichwani na Kulazwa ICU


MCHUNGAJI wa Kanisa la Ufufuo na Uzima jijini Mwanza, Samson Gwajima na Ofisa wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), Amin Neigwa, wamevamiwa na majambazi ambao wamewajeruhi vibaya kwa kuwakata mapanga vichwani.Tukio hilo lilitokea usiku wa kuamkia jana katika Mtaa wa Lyila, Kata ya Buhongwa, Wilaya ya Nyamagana, jijini Mwanza.Akizungumza kwa taabu na mwandishi wetu akiwa wodini kwenye Hospitali ya Rufaa ya Bugando (BMC), alikolazwa kwa matibabu, Neigwa, alisema akiwa...

 

10 years ago

Vijimambo

MCHUNGAJI GWAJIMA ADAI MTOTO ALIEJIFUNGUA FLORA MBASHA SIYO WAKE


Huyu ndiyo mtoto alie jifungua Flora Mbasha, mchungaji Gwajima aruka kimanga na kukana kuwa mtoto huyu siyo wake na kusema kuwa (It doesn't hold water) akiwa na maana haina mashiko. Mbasha nae alivyoulizwa juu ya mtoto huyu majibu yake aliyajibu kwa kutuma ujumbe wa wimbo huu wa injili hadi sasa watu wanashindwa kupata ukweli  wa nani baba wa mtoto huyu lakini mwenye majibu ya  maswali yote ni mwenyewe Flora Mbasha. Jitiririshe na wimbo wa Emmanuel Mbasha hapa chini kama majibu ya wale wote...

 

10 years ago

Vijimambo

Siku 30 za notisi zimetimia Mchungaji Josephat Gwajima Kufunga virago Kawe!

Kanisa la lisilo rasmi la mchungaji Mchungaji Josephat Gwajima lililokuwa likiendesha shughuli zake kinyume na taratibu katika viwanja vya Tanganyika Packers Kawe,wilaya ya Kinondoni,jiji Dar limeamuriwa kuondoka mara moja na kuwacha eneo hilo wazi kwa ajili ya maendeleo ya watu wa kawe.Kanisa hilo ambalo kwa muda mrefu lemekuwa likiendesha shughuli zake kinyume na taratibu na kusababisha usumbufu na kero kubwa za makelele kwa wakazi wa maeneo hayo. 
Katika Barua iliosainiwa na Meneja wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani