Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mcolombia mbaroni kwa Cocaine

KIKOSI cha Kuzuia na Kupambana na Dawa za Kulevya nchini kinamshikilia Andres Filipe Ballesteros Uribe (28) raia wa Colombia kwa tuhuma za kuingiza dawa hizo nchini kinyume cha sheria. Akizungumza...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Mkenya mbaroni kwa cocaine JNIA

>Raia wa Kenya anayeishi Mombasa, AbdulRahman Salim, amekamatwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere(JNIA)  akiwa na kete 141 za dawa za kulevya aina ya cocaine zenye thamani zaidi ya Sh119 milioni.

 

10 years ago

Habarileo

Mcolombia kortini kwa kuingiza kokeni

RAIA wa Colombia, Andres Uribe (38), amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na mashitaka ya kuingiza nchini dawa za kulevya aina ya kokeni zenye thamani ya Sh milioni 45.2.

 

11 years ago

BBCSwahili

Polisi akamatwa kwa wizi wa Cocaine

Polisi wa Ufaransa wamemkamata afisa mmoja wa kukabiliana na mihadarati kwa kuiba kilo hamsini za Cocaine

 

5 years ago

BBCSwahili

Polisi mbaroni kwa kumburuza mwanamke umbali wa mita 200 kwa tuhuma za wizi

Viongozi na wanaharakati wa haki za binaadamu kutoka kaunti ya Nakuru nchini Kenya wamepaza sauti zao kukemea vitendo vya ukatili unaofanywa na polisi mjini humo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mwanamke mbaroni kwa kujeruhi kwa maji ya moto

JESHI la Polisi mkoani Singida linamshikilia mkazi wa Misuna, katika Manispaa ya Singida, Mary Muna (31) kwa tuhuma ya kumuunguza kwa maji ya moto mwilini mwanamke mwenzake kutokana na wivu...

 

11 years ago

Mwananchi

Mbaroni kwa kuua mwanafunzi kwa moto

Jeshi la Polisi mkoani hapa linawashikilia watu watatu kwa tuhuma za kumjeruhi kwa moto na kusababisha kifo cha mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Ruaha mkoani Iringa (RUCO), Daniel Lema (25).

 

5 years ago

Michuzi

WAWILI MBARONI KWA KUJARIBU KUINGIA MBUGA ZA WANYAMA KWA UJANGILI HUKU WENGINE WAKIMBILIA NCHI JIRANI YA KENYA Inbox x


Bunduki ya kivita aina ya AK47 ambayo imekamatwa wilayani Ngorongoro na Jeshi la polisi wakishirikiana pamoja na kikosi cha ujangili kanda ya Ziwa huko Oloshoo Kata ya Enguserosambu picha Zote na Ahmed Mahmoud Arusha.

Sehemu ya risasi zilizokutwa kwenye magazine ya bunduki hiyo baada ya msako mkali wilayani Ngorongoro

Askari wa kikosi kazi cha Jeshi la Polisi akijaribu Silaha hiyo mbele ya waandishi wa habari kabla kamanda wa Jeshi hilo hajaongea nao leo jijini hapa

Kamanda Shana akiwa na...

 

11 years ago

Michuzi

34 MBARONI KWA KUFANYA FUJO NA KUHARIBU MALI KIBAIGWA NA WENGINE WATATU KWA KULIMA BANGI HEKARI SITA NA NUSU MKOANI DODOMA

Na Sylvester Onesmo wa Jeshi la Polisi Dodoma. 
 Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma linawashikilia watu 34 wakazi wa Mji mdogo wa Kibaigwa Kata ya Kibaigwa Wilaya ya Kongwa Mkoa wa Dodoma kwa makosa ya kufanya fujo na kuharibu mali tukio lililotokea tarehe 05/05/2014 majira ya saa 13:30Hrs.   Kamanada wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi DAVID MISIME – SACP  (pichani)amesema Vijana wanaokadiriwa kuwa zaidi ya 300 wakishirikiana na Wabeba mizigo wa Soko Kuu la Mazao...

 

11 years ago

Michuzi

34 MBARONI KWA KUFANYA FUJO NA KUHARIBU MALI KIBAIGWA NA WENGINE WATATU (3) KWA KULIMA BANGI HEKARI SITA NA NUSU MKOANI DODOMA

Na Sylvester Onesmo wa Jeshi la Polisi Dodoma.
Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma linawashikilia watu 34 wakazi wa Mji mdogo wa Kibaigwa Kata ya Kibaigwa Wilaya ya Kongwa Mkoa wa Dodoma kwa makosa ya kufanya fujo na kuharibu mali tukio lililotokea tarehe 05/05/2014 majira ya saa 13:30Hrs.
Kamanada wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi DAVID MISIME – SACP amesema Vijana wanaokadiriwa kuwa zaidi ya miatatu wakishirikiana na Wabeba mizigo wa Soko Kuu la Mazao la...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani