Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mkenya mbaroni kwa cocaine JNIA

>Raia wa Kenya anayeishi Mombasa, AbdulRahman Salim, amekamatwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere(JNIA)  akiwa na kete 141 za dawa za kulevya aina ya cocaine zenye thamani zaidi ya Sh119 milioni.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Mcolombia mbaroni kwa Cocaine

KIKOSI cha Kuzuia na Kupambana na Dawa za Kulevya nchini kinamshikilia Andres Filipe Ballesteros Uribe (28) raia wa Colombia kwa tuhuma za kuingiza dawa hizo nchini kinyume cha sheria. Akizungumza...

 

11 years ago

Mwananchi

Akamatwa na kete 61 za cocaine JNIA

 Mkazi wa Buguruni, Dar es Salaam (Jina linahifadhiwa) amedaiwa kukamatwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) akiwa na kete 61 za dawa za kulevya aina ya Cocaine.

 

11 years ago

Michuzi

M-Colombia akamatwa JNIA na cocaine alizozivaa nguoni

Suruali ya mtuhumiwa huyo ikiwa imezungushiwa Cocaine. Baadhi ya dawa alizokuwa amemeza mtuhumiwa huyo.
 KIKOSI cha Kuzuia na Kupambana na Dawa za Kulevya nchini kinamshikilia Andres Filipe Ballesteros Uribe (28) raia wa Colombia kwa tuhuma za kuingiza dawa hizo nchini kinyume cha sheria.

Akizungumza na Waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam leo, Mkuu wa kikosi hicho, Kamanda Godfrey Nzowa alisema mtuhumiwa huyo aliingia nchini saa nane usiku kwa ndege ya shirika la Ethiopian akitokea Adisi...

 

11 years ago

BBCSwahili

Polisi akamatwa kwa wizi wa Cocaine

Polisi wa Ufaransa wamemkamata afisa mmoja wa kukabiliana na mihadarati kwa kuiba kilo hamsini za Cocaine

 

9 years ago

Mwananchi

Kwa nini pembe za ndovu zinapita kirahisi JNIA?

Katika tovuti ya The Citizen toleo la jana kulikuwa na habari kuhusu wanajeshi wawili wanaofanya kazi ya ukaguzi wa mizigo kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), kuhusika na utoroshaji wa pembe za ndovu  zenye uzito wa kilo 262 na thamani ya Sh826 milioni.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mkenya ''atimuliwa kwa sababu ya rangi''

Atimuliwa mashindanoni baada ya kudai kuwa alikuwa amebaguliwa kwa msingi ya rangi yake katika klabu ya gofu ya Karen huko Kenya.

 

10 years ago

Habarileo

Mkenya, Mrundi jela kwa wizi wa gari, mafuta

RAIA wa Kenya na mwingine wa Burundi waliokuwa wakikabiliwa na kesi ya wizi wa gari na mafuta ya petroli wamehukumiwa kwenda jela mwaka mmoja kila mmoja, huku Watanzania watatu wakiachiwa huru kwa kukosekana ushahidi.

 

10 years ago

Vijimambo

MKENYA HYVON NGETICH AMALIZIA MARATHON KWA KUTAMBAA



Mwanariadha wa mbio ndefu Hyvon Ngetich alimaliza mita 50 za mwisho kwa kutambaa baada ya kuishiwa na nguvu akiwa karibu na mstari wa kumalizia.Ingawa mwanariadha wa masafa marefu kutoka Kenya Hyvon Ngetich hakufanikiwa kushinda mbio za masafa marefu za Austin mwaka huu bila shaka alifanikiwa kuteka nyoyo za watu kutokana na ujasiri wake wa kutambaa na kuhakikisha kuwa amemaliza mbio hizo.
Hyvon Ngetich mwenye umri wa miaka 29, aliishiwa na nguvu akiwa mita 50 kutoka kwenye mstari wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Mkenya anayeendesha maisha kwa kutegemea urefu wa kucha

>Inaweza kuonekana kuwa ni kitu cha ajabu kwa binadamu wa kawaida kukaa bila kukata kucha kwa mwaka moja, lakini kumbe inawezekana kabisa mtu kufuga kucha kwa muda wa miaka 12.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani