Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Akamatwa na kete 61 za cocaine JNIA

 Mkazi wa Buguruni, Dar es Salaam (Jina linahifadhiwa) amedaiwa kukamatwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) akiwa na kete 61 za dawa za kulevya aina ya Cocaine.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

M-Colombia akamatwa JNIA na cocaine alizozivaa nguoni

Suruali ya mtuhumiwa huyo ikiwa imezungushiwa Cocaine. Baadhi ya dawa alizokuwa amemeza mtuhumiwa huyo.
 KIKOSI cha Kuzuia na Kupambana na Dawa za Kulevya nchini kinamshikilia Andres Filipe Ballesteros Uribe (28) raia wa Colombia kwa tuhuma za kuingiza dawa hizo nchini kinyume cha sheria.

Akizungumza na Waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam leo, Mkuu wa kikosi hicho, Kamanda Godfrey Nzowa alisema mtuhumiwa huyo aliingia nchini saa nane usiku kwa ndege ya shirika la Ethiopian akitokea Adisi...

 

11 years ago

Mwananchi

Mkenya mbaroni kwa cocaine JNIA

>Raia wa Kenya anayeishi Mombasa, AbdulRahman Salim, amekamatwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere(JNIA)  akiwa na kete 141 za dawa za kulevya aina ya cocaine zenye thamani zaidi ya Sh119 milioni.

 

11 years ago

BBCSwahili

Polisi akamatwa kwa wizi wa Cocaine

Polisi wa Ufaransa wamemkamata afisa mmoja wa kukabiliana na mihadarati kwa kuiba kilo hamsini za Cocaine

 

11 years ago

Mwananchi

UHALIFU: ‘Mchina’ akamatwa na vito vya tanzanite JNIA

>Mtu anayesadikiwa kuwa ni raia wa China, amekamatwa akiwa na madini aina ya tanzanite huku kukiwa na utata wa kushikiliwa kwake.

 

10 years ago

Habarileo

Chadema yazidiwa kete Mwibara

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) katika jimbo la Mwibara, ambalo mbunge wake ni Kangi Lugola hadi sasa kimeshinda jumla ya viti 26 vya serikali ya kijiji.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Sitta amzidi kete Chenge

WAKATI kitendawili cha nani atakuwa Mwenyekiti wa Bunge la Katiba kitatenguliwa Jumapili, Waziri wa  Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta amemzidi ujanja Mbunge wa Bariadi Magharibi, Andrew Chenge anayetajwa kuwania...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wenje aizidi kete CCM

MBUNGE wa Nyamagana kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Ezekiel Wenje, amewaacha hoi viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), na Rais Jakaya Kikwete, baada ya kuwataka wasitumie kodi za...

 

11 years ago

Mwananchi

Tanzania yazidiwa kete soko la pamba

Tanzania ni moja kati ya nchi zinazozalisha pamba kwa wingi katika bara la Afrika, lakini inazidiwa kete na nchi za Kenya, Madagascar na Lesotho katika uuzaji wa nguo katika masoko ya kimataifa.

 

11 years ago

Mwananchi

Anaswa na kete 71 Uwanja wa Ndege Dar

 Polisi Kikosi cha Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), wamemkamata mkazi wa Temeke, Mwanahamisi Salim (27) kwa tuhuma za kumeza kete 71 za dawa za kulevya aina ya heroini zenye thamani ya zaidi ya Sh60 milioni.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani