Mda wa kusitisha vita waongezwa Ukraine
Rais wa Ukraine Petro Poroshenko ameongeza makubaliano ya kusitisha vita na wapiganajai wanaotaka kujitenga mashariki mwa Ukraine.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili05 Sep
Mkataba wafikiwa kusitisha vita Ukraine
Serikali ya Ukraine na wapiganaji wa nchi hiyo wanaounga mkono Urusi wamekubaliana kusitisha mapigano Mashariki ya nchi hiyo.
11 years ago
BBCSwahili19 Jul
Mda wa majadiliano na Iran waongezwa
Mataifa sita yenye uwezo mkubwa duniani pamoja na Iran yameongeza kwa miezi mengine minne makubaliano ya mpango wa nuklia wa Iran.
10 years ago
BBCSwahili15 Apr
Mda wa kupiga kura waongezwa Sudan
Tume ya uchaguzi nchini Sudan inasema kuwa imeongeza mda wa kupiga kura ya urais na ubunge hadi siku ya alhamisi
11 years ago
BBCSwahili03 Jan
Sudan Kusini itakubali kusitisha vita?
Mazungumzo ya kusitisha vita ambavyo vimekuwa vikitokota Sudan Kusini kwa karibu wiki tatu yameanza mjini Addis Ababa Ethiopia.
10 years ago
BBCSwahili10 May
Waasi wakubali kusitisha vita Yemen
Wanajeshi waasi nchini Yemen wanaowasaidia waasi wa Houthi kudhiditi maeneo makubwa ya nchi hiyo wamekubali usitishwaji wa mapigano
10 years ago
BBCSwahili07 May
Yemen:Saudia yapendekeza kusitisha Vita
Saudia inajiandaa kufanya mashauriano ya siku tano ya kuleta amani na kujiondoa kutoka Yemen kwa sababu ya kibinadamu.
11 years ago
BBCSwahili10 May
Wakubaliana kusitisha vita Sudan Kusini
Rais wa Sudan kusini Salva Kiir na kiongozi wa waasi nchini humo Riek Machar waingia katika mkataba wa kustisha vita.
11 years ago
BBCSwahili17 Jul
Mkataba wa muda wa kusitisha vita Gaza
Hamas na Israel zimekubali kuheshimu makubaliano ya mda ya kusitisha mapigano Gaza baada ya siku tisa za vita vikali.
11 years ago
BBCSwahili27 Jul
Israel kusitisha vita kwa saa 24 zaidi
Serikali ya Israel imekubali kusitisha vita katika eneo la Gaza kwa sababu za kibinaadamu kufuatia ombi la umoja wa mataifa.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania