Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mdee atoka jela kwa mbwembwe

HATIMAYE Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) na Mbunge wa Kawe, Halima Mdee (35) na wenzake nane wametoka gerezani baada ya kukamilisha masharti ya dhamana. Juzi Mdee na...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

BONDIA FRANCIS CHEKA ATOKA JELA SASA KUTUMIKIA KIFUNGO CHA NJE

Bondia Frncis Cheka (pichani) amebadilishiwa kifungo sasa kumikia kifungo chake nje. Bondia Cheka alihukumia kwenda jela miaka mitatu baada ya kupatikanika na kosa la kumpiga meneja wa baa yake.
Mahakama Mkoani Morogoro imembadilishia kifungo bondia Francis Cheka cha miaka mitatu ndani na sasa bondia huyo atatumikia kifungo cha nje.

 

10 years ago

Mwananchi

Chid Benz atoka kwa dhamana

Msanii wa muziki wa hip hop nchini, Rashid Abdallah Makwaro ‘Chid Benz’ (29) ameachiwa kwa dhamana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam baada ya kukamilisha masharti aliyopewa.

 

10 years ago

Mwananchi

Lowassa, Sitta waanza kwa mbwembwe

Mwanza/Dodoma/Dar. Makada wanaoomba kupitishwa na CCM kuwania urais jana walianza kusaka wadhamini kwa staili ya aina yake baada ya Waziri wa Uchukuzi, Samuel Sitta kuibuka na basi la kifahari atakalotumia kuzunguka mikoani, huku Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa akitua Mwanza kwa ndege.

 

10 years ago

Mwananchi

URA yaichapa Simba kwa mbwembwe

Simba imekubali kipigo cha bao 1-0 kutoka kwa URA katika mchezo wa kirafiki uliofanyika jana kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

 

10 years ago

Mwananchi

Gwajima atoka hospitali, aachiwa kwa dhamana

>Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima ameruhusiwa kutoka hospitalini alikokuwa amelazwa na baadaye kuachiwa na polisi kwa dhamana isiyokuwa na masharti.

 

9 years ago

Mtanzania

Sunday Oliseh atoka kapa kwa Mkwasa

Sunday-OlisehNA BADI MCHOLO, DAR ES SALAAM

KOCHA wa timu ya Taifa ‘Taifa Stars’, Charles Boniface Mkwasa, anawaumiza vichwa wapinzani wake, timu ya Nigeria ‘Super Eagles’ baada ya kupata ugumu wa kushindwa kuelewa falsafa ya kocha huyo mzawa, badala yake wamebaki kutumia muda mwingi kuangalia video za michezo ya zamani.

Kocha wa Nigeria, Sunday Oliseh, licha ya kuwa katika nafasi nzuri ya pili katika kundi G linaloundwa na timu za Misri, Chad na Taifa Stars, amekuwa akikesha kuangalia video za Stars na...

 

10 years ago

CloudsFM

DIAMOND APOKELEWA KWA MBWEMBWE UGANDA JANA

Staa wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul 'Diamond Platnumz' akiwa na mfanyabiashara mrembo na muimbaji wa Uganda, Zarinah Hassan 'Zari' au 'The Boss Lady' baada ya kuwasili Uganda jana.Diamond Platnumz akiwa na Zari the Boss Lady wakiondoka Uwanja wa Ndege wa ndege jana.Diamond Platnumz akiwa na Zari the Boss Lady kwenye pozi.Diamond Platnumz na Zari wakipigwa picha na wanahabari.

 

10 years ago

Vijimambo

WATANZANIA SEATTLE WAFUNGA MWAKA KWA MBWEMBWE

 Watanzania Washington, Seattle wakifanya sherehe ya kufunga mwaka iliyofanyika siku ya Jumamosi Desemba 27, 2014 katika mji wa Seattle uliopo jimbo la Washington na kuhudhuriwa na Watanzania na marafiki zao.Watanzania Washington, Seattle wakipata picha ya kumbukumbu katika sherehe ya kufunga mwaka 2014 na kuukaribisha mwaka 2015 iliyofanyika siku ya Jumamosi Desemba 27, 2014.Wakina dada wa Seattle katika picha ya pamoja.ni kupendeza kwa kwenda mbele katika sherehe ya kufunga mwaka...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani